Тёмный

WAZEE CCM WAMSHANGAA RAIS MWINYI 

AL FATAH TV ONLINE
Подписаться 98 тыс.
Просмотров 2,8 тыс.
50% 1

Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 9   
@Zanzibar-e4h
@Zanzibar-e4h 7 часов назад
wao wanashiba na watoto wao
@sulleyally5040
@sulleyally5040 2 часа назад
Cku moja mualike mzee baraka shamte natamani sanaaa
@Grataaaaa
@Grataaaaa Час назад
Viwanda Bandar vp shekh
@hassanali-og8ym
@hassanali-og8ym 3 часа назад
Picha shot nyengine hazina hedroom
@saidmakombeni5155
@saidmakombeni5155 3 часа назад
Aso macho apewe gongo ayaone
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 11 минут назад
😂😂😂 kwani Zanzibar ndo kwanza kuna maghorofa??? . hawajasikiya Kama kulikuwa na beit la ajabu? na majengo mazuri zaidi na ya thamani yalodumu kwa miaka 100 na zaidi hapo Zanzibar. Dr. Hussein ni wajibu na fahari yake akiitengeneza Zanzibar Kama Rais na kafanya mambo mengi kwa muda mfupi aloshika URaisi. Haki yake APEWE. Sasa tusubiri wengine waje wabadikishe mambo mengine. Miaka mitano mitano inakutosheni. Wananchi wa Zanzibar wanataka Maendeleo hawataki FUJO. Walopita hawajafanya kitu. Inaskitisha…..
@OmarMohammedOmarMohammed-h9u
@OmarMohammedOmarMohammed-h9u 8 часов назад
Heeee jamaa wazanzibar washamba wamagorofa dah! sasa hizi shida
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 2 часа назад
Usitarajie kutakuwa na siku wote tutakuwa na kipato sawa haiwezekani, utofauti wa maisha ndiyo mwendo halisi wa kutumikiana ili maisha yaende. Pasipo masikini/fukara hapana tajiri. Utautowa wapi wakati hakuna mchango wa masikini. Tujitume katika kutafuta mungu haandikii mtu barua kumjulisha kama atakupa kipi.tuache kulalama na kudanganywa kuwa watawala wanatuumiza ni uongo huduma ipi iliyokosekana, kutafuta juu yako mwenyewe.
@BimkubwaOthman
@BimkubwaOthman Час назад
Mwambie Sana maana wengine vuoofu
Далее
Wait for winner 🏆 😂 #shorts
00:42
Просмотров 6 млн
TURKEY | A Muslim Superpower?
13:52
Просмотров 84 тыс.
HII NDIO SIRI YA UTUKUFU WA MPEMBA
14:30
Просмотров 9 тыс.
BlackRock: The Conspiracies You Don’t Know
15:13
Просмотров 1,1 млн