Wewe sijui Diva sijui na hicho Kingereza chako mmh hebu acha unajua, wewe ni mtangazaji hii radio husikiluzwa na wanajua Kiswahili na wasiyo jua.Diamond fungua idara ya Kingereza mpeleke huko binafsi sijapenda.
Nyie waandishi mkiwa mna ongea na mteja mumsikiluze Kwa makini na siyo pale Penye point yenu mnayo itaka,Mzee kasema amekubali maendeleo ya Yanga .Lakini hayo maendeleo aliyo leta yasifanye kukukuka taratibu yaani katiba
Mahakama kwan kesi ya yanga ipo mahakaman kuna kesi mbaya dunian kama kesi ya ushoga unataka hiv mahakama kuwa tass zetu zote hawajafksha swala hl mahakaman kwel je hapa unapata tafsr gan kwenye stability ss tunabomoa kwenye ujinga tuna imarisha # tuna uliza mwenye hii timu ni nan wakat mwengine ndio unaona mungu kionyesha ujinga unaishia kwenye ujinga sizan hii kesi ilihtaj hata airtime mahakaman kuna hak hapo ya msng kwel #
Hao Wazee ni Wachawi lazima mulifahamu...Haikubaliki hivi wanavyotaka...kusudio Lao kuchafua Nchi yetu..... Wasaidizi wa Mama mpelekeeni Habari hiyo mbaya asione ajabu Jangwani tukakugeuza Nairobi.. tujuane Wananchi wote.
Hawa wazee kwa nini mambo ya mpira yapelekwe mahakamani wao walitakiwa wshitaki kwenye vyombo vya michechezo wana sheria zao hili seala ni batili mgoja tusubiri kdg mtapata ukweli na hiyo kesi kwa nini ijulikane wakat wa hukumu tu ilitakiwa iwe wazi na watuhumiwa waitwe hamna kitu hapo
Hello there mimi naitwa Iddi kutoka Marekani. Dada yangu kazi nzuri unayo fanya ila nataka kutowa ufafanizi kidogo. Kinachomfanya mchezaji alipwe kiwango kikubwa na service yake anayo towa kwa timu wala sio mtu. Kinachosajiliwa sio mtu bali nikilile unacho fanya. Mbona feiso analopwa mpunga wakutosha nikwasababu yakile anacho honyesha uwanjani.
Nikweli kulipwa pesa nyingi nikutokananskazi unayo fanya but hii hapa tz imeanzajuzituu wakati simba ikifanya transformation. Nyumahuko wachezaji walikua waburudishajituu hawakua wanalipwa pesanyingi hata uwe star, unakumbuka akina Alex masawe pawasa akina chumila mogela chuji wotehao wengiwao waliendesha maishayao kwa biasharanyingine nje yampira walioweza kujipanga mbakaleo wana maisha angalau wengine walipoteakabusa. Hivyo diva hajakosea
MAKOLO WAMEFURAHIIIIII SANA KUSIKIA ENGENEER HERISI SAIDI ANATOKA HA HA HA HAAA MAKOLO HOYEEER KWELI LEO NIMEAMINI SIMBA WOOTE NI MAKOLO ILA MTAMBUE YANGA ATOKI MTUUU WANGA NYINYI 😂😂😂😂
Hii kesi ilifunguliwa lini na kwa nini vyombo vya habari havikuiripoti? Hukumu ya mahakama ya kisutu itakatiwa Rufaa na maisha ya kawaida yataendelea, wala Hukumu hii isiwatie hofu, kwani, wanachama wa yanga % 99 wanaikubali yanga hii na hakuna zaidi ya. Kuweni na amani hizi ni kelele za muda tu.
Mafanikio ya yanga yamevuruga stability ya simba... na hakuna team ya kufunga yanga, ni mahakama tu.. hiyo hukumu ni kuhamisha agenda ya nchi,tuache kufuatilia issues za wafanyabiashara wa tz na yanayoendelea Kenya
Leo team kwakuwa yamewakuta sio ivi Kuna team inazungumziwa tz hii kma simba wazee mgeni nn Aya mambo ya kawaida tyuu na yakitokea ndiyo kma ivi na sio mara ya kwanza au mgeni ndugu kwenye soka Ili ndugu izo ndiyo simba na yangu karibu acha kujaa upepo🙌
Msianze kusingizia Simba, tangu mwanzo mliambiwa mambo ya kupitisha MTU bila kupingwa. ( Lengo lilikua Zuri, kiongozi Ni mzuri ila shida katiba yenu hamjaifuata). Hawasema kiongozi ni mbaya. " UTARATIBU MLIOJIWEKEA UFUATWE". Mpira wa Bongo bado ujanja mwingi. Migogoro ya Ndani hiyo. Na hiyo kesi imefunguliwa tangu 2022 Wala sio Leo 😂😂
Sio kweli wanazuiaje we usiangalie yanaendelea kenya kwa utandawazi huu, hiyo kesi imeenda kortini hata kabla ya hiyo uprising ya kenya haya mambo yako tz kwa vila Hivi huu ni upuuzi ambao upo since time immemorial
KUNAWAKATI TUNAHITAJI KUSIKIA MAWAZO YA HUYO UNAEFANYANAE KIPINDI ILA TATIZO DIVA UNAONGEA SANA UNATAKA KUSIKIKA WEWE TU MWEZIO AKIONGEA KIDOGO TU UNAMKATISA WHY UNABOA ETI!"
Hii hukumu Wananchi hatuibali kabisa,, wasisababishe Uvunjifu wa Amani.... Mama Samia kila leo unasisitiza Amani,,, Mbona hawa Wazee wanataka Machafuko makubwa Daresalam??
Kwani mahakama ina mamlaka ya kubadili maisha ya watu? Pengine na yenyewe imejikita kwenye kipengele kimoja. Hivyo wahusika watakata rufaa na kujenga hoja nyingine
Hawa wazeee awana akili, timu kwa Sasa Iko vizulii hao wazeee wanataka Nini, wazee mtoke yanga msitulenteee mauchawi yenu tokeni yanga, na plizsidet wa yanga atoki msutualibie timu, hiii sio timu ya mtaani, tokeni Yani mmetulibia siku sana, Yani haya mazee ndio yaleyale matumbo mfoko tokeni mkalishwe na watoto wenu,
😂😂bora ulivokosa kuwa ndugu yangu.maana ungetuchanganya sanna. yan unajuwa kuna watu wengine wamekaa kuvuruga hal ya hewa, hawapend kuona sehem kuna aman. najarbu kujiuliza ao wazee wakipewa iyo team wanaweza kufanya zaid ya alivyofanya ghalib na gsm yake😂. yan uwez amin asilimia 99 yA wana yanga naiman hawatakuwa pamoja na ao wazee muda walio anzisha ili jambo sio sahh watafute muda mwengine lakin sasahv hakuna mwanayanga mpenda maendeleo atakae kubal hersi said aondoke madarakan kwa upumbav wa watu wachache.
Ina maana hoyo kesi toka imefinguliwa mpaka hukumu inatolewa mahakama haikuweza kuujulisha uongozi? Iweje wanachama hatujui kama tunakesi? Vipi watu wawili watuamulie maelfu ya wanachama?
Watu huko mpaka sasa hatujui tunapata vp viongoz wa serikal za mitaa katika mfumo upi wa sheria mnaenda sehemu zilizo kuwa stable hebu tuache ujanja ujanja nchi yetu
Ss hatuna haja ya sheria tunataka wazee watuambia wao wanataka nn harafu tuwape timu yao wazee ss tutaacha jina lao tutanunua singida fc harafu tutahamia huko harafu tutawaacha na jina lao yanga kuna wakat sio mfumo kuna nyakat sheria zinabadilika sana tena sheria za kibinaadamu tumeshuhudia mengi kwenye chama uwe wa kwanza kula za maono unakuta wa tatu kapewa kiti kwenye jimbo unakuta wa nne katangazwa bas tuwe fair enough mahakama mkiona sehemu kuko stable ebu tuache ujinga tufanye mambo mengine mnataka timu ziende mbele mnataka mafanikio nyny mna haribu mifumo tena kwel nch yetu tunapenda ujinga sio reality
tumetoka kwenye majini,tukaleta VAR,sasa tumeleta HERSI atoke YANGA kweli maskini hampendi maendeleo mmeanza hayo,SIMBA PAMBANANENI MMEKWISHAAAAAAAAAA ,HIYO NDIYO SOLUTION YA KUIMALIZA YANGA KWELI NCHI HII INA WATU.MMEWAPA PESA KIASI GANI MMEKWISHAAAA HATA VARAAAA ZENU HAZIJAANZA KUANZA KAZI MMETUMIA WAZEE HERSI PAMBANAAAAAAAA.
Kwanza wazee hao mambumbumbu kiukweli Kwa wazee hao hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kuiendesha hiyo timu na naamini hao wamepewa mpunga ili watuharibie timu yetu na ni washamba sana walianza na manji afu wanakuja Kwa huyu GSM ,hivi hawaoni Aibu hata Kwa mafanikio tuliyonayo ??? Wamepigwa na kitu kizito!!!