Тёмный
No video :(

WEMA: 'Diamond Amenipigia Simu Nikamjibu Hivi!' 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 732 тыс.
50% 1

WEMA: DIAMOND AMENIPIGIA SIMU NIKAMJIBU HIVI...
Malkia wa Filamu Bongo, Wema Sepetu, alihudhuria katika hafla ya WCB, Walipokuwa wakimtambulisha Msanii Mbosso kama msanii mpya na rasmi katika lebo hiyo.
Global Tv ilifanikiwa kumnasa mtegoni Wema na kuzungumza naye kulikoni akafika katika hafla hiyo ilihali ilishasemekana kama yeye na X-Wake, Diamond wana ugomvi, ambapo amesema hawana tatizo lolote na Diamond mwenyewe ndiye aliyempigia simu akamuomba ahudhurie mahali hapo.
Wema pia ameongeza kuwa maneno maneno yanayoendelea yakimhusisha yeye na Diamond, ni kwa sababu tu walishawahi kuwa wapenzi (Strong Couple) na mashabiki wao hawakutaka waachane lakini wao binafsi wana ukaribu mzuri tu.
Subscribe muda huu / uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 393   
@sophiasndekete.3916
@sophiasndekete.3916 6 лет назад
Miongoni mwa watu wanaopenda hii couple irudi mimi ni wakwanza WALLAH.
@ygettenoona3055
@ygettenoona3055 6 лет назад
I like how diamond look so happy and handsome today because of wema, you know is longtime diamond platnumz to see wema face by face and to give wema big hug.
@shamilamct5442
@shamilamct5442 6 лет назад
Wema ni mwanamke wa maana mwenye kujielewa anafanya nini na anayo personality yake kajaliwa mashallah, good wema unaroho nzuri mashallah Allah akuzidishie sister 😘 na inshallah mapenzi yenu wewe na diamond yarudi ✌👏👏
@Jgf654Hgf
@Jgf654Hgf 4 месяца назад
Wema dada yangu unene ulikupendeda
@kemmypius8619
@kemmypius8619 6 лет назад
Love wema....... Team you forever
@maryambintally6525
@maryambintally6525 6 лет назад
Hii couple ilipendeza sana jamani hebu murudiane musahau yaliyo pita love you diamond and wema
@kanengwamuba6409
@kanengwamuba6409 6 лет назад
Mariyam Hussain asalam alaikum
@ubahabdisahal7012
@ubahabdisahal7012 6 лет назад
I love wema she is very strong woman ❤️
@sabinaviolet805
@sabinaviolet805 6 лет назад
Strong Woman,big heart 😘
@rosechami649
@rosechami649 6 лет назад
Go go go girl whatever your doing I will always be by your side I trully love you mum una moyo wa kipekeeee
@farajarajah2927
@farajarajah2927 6 лет назад
I love u Wema
@alibinali_
@alibinali_ 6 лет назад
Big up wema
@user-qw7zg7yz9b
@user-qw7zg7yz9b 6 лет назад
lv u wema
@dadileonard2392
@dadileonard2392 6 лет назад
very beautiful girl and Arousal Of Passions.
@khadijajyma6776
@khadijajyma6776 6 лет назад
ndio maana nakupenda wema
@jensennashon6147
@jensennashon6147 6 лет назад
Penda sana interview...Wema you so strong may the Lord God stand by your side.
@hopechidera
@hopechidera 6 лет назад
Wema unanenepa sana,fanya gym jaman💪
@tinahk2471
@tinahk2471 6 лет назад
I'm a daughter of The Lion of Judah as long as she is healthy she is fine.... She is very beautiful
@hopechidera
@hopechidera 6 лет назад
Tinah K yes she is😍
@florangowi4990
@florangowi4990 6 лет назад
Absolutely yes madam ucishi kwa kucklza watu
@christinekas5696
@christinekas5696 6 лет назад
Je t'aime wema wangu, uko mwanamuke pekee anaye jitambua 😘😘😘😘😘😘😘😘
@CaroLina-qq1hl
@CaroLina-qq1hl 6 лет назад
Wema is mature...very beautiful voice
@tonidieumerci
@tonidieumerci 6 лет назад
The voice kf this girls self mehn
@g4jr.176
@g4jr.176 6 лет назад
Unayo sema niukweli heshima nilazima hiwe kati ya wewe na ex wako nakusapotiana katika kazi sio vibaya, big up sana my Sepetu 😘😘😘🤩
@valentinamussa4212
@valentinamussa4212 6 лет назад
hivi wewe mtangazaji huo mkono unataka kushika maziwa ya wema au,huwezi kuongea bila kuchezesha mkono unatia wasiwasi
@angelinemully3271
@angelinemully3271 6 лет назад
Love you Wema Sepetu...
@hidayayusufu4639
@hidayayusufu4639 6 лет назад
vizuri sana wema
@aboudmalinda7275
@aboudmalinda7275 6 лет назад
safi WEMA nimekupenda bule mwaaaaaaaaaaaa
@kyleenhorze4111
@kyleenhorze4111 6 лет назад
hhhhhhh very strong couple once upon a tyme love u sepengaaaaàaaaaaaa
@hongerakkachawasemewwkzbut4996
huyo mtangazaji anataka kufuta wanja wa wema😂😂
@marrymallya3596
@marrymallya3596 6 лет назад
hahahhahahahahhha
@madinakipingu4252
@madinakipingu4252 6 лет назад
hongera kk acha waseme ww kz buti Alnomania 😂😂😂jaman
@aishamohamed9868
@aishamohamed9868 6 лет назад
Nakupenda bure
@miriamusadiki9712
@miriamusadiki9712 6 лет назад
love you wema
@beatricelichoti1650
@beatricelichoti1650 4 года назад
Hapa wema alikua mzuri mashallah, kwasai amekonda hata yuatisha
@neemahassan8786
@neemahassan8786 6 лет назад
I love you so much wema
@alliabaraka5810
@alliabaraka5810 6 лет назад
Love my sweet heart
@risperladee5718
@risperladee5718 6 лет назад
Yeah I like the way she has talked about this..
@omarychediel1307
@omarychediel1307 6 лет назад
Good wema respect sn love u so much❤
@ashminaabdullah5626
@ashminaabdullah5626 6 лет назад
Km nilikuwepo hapo safi xana
@MariamsLifestyle
@MariamsLifestyle 6 лет назад
Ameongea Vizuri wema
@gloriozampawenimana9166
@gloriozampawenimana9166 6 лет назад
Mwuziki afrika
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 6 лет назад
Yani nasibu ww, sio vizuri kwa sasa unavyomfanyia zaituni, hadi ukampigia cm wema, kweli cha kale skuzote hakiozi, haya tunasubiria yatakayofuatia baadae.
@rachellebahati6510
@rachellebahati6510 6 лет назад
Nakupenda sana wema
@antonymaleu8664
@antonymaleu8664 6 лет назад
I love you wema
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 6 лет назад
Mtangazaji huo mkono usije mtoa wema jicho tu khaaa😂😂😂😂😂
@marryndewele785
@marryndewele785 6 лет назад
love u wema sepetu
@zennahalhabibi9681
@zennahalhabibi9681 6 лет назад
Arooo nakupenda bure jamani😂😂😂hata wakitoka kwani dhambi jamani
@sheebqpsheebqp8314
@sheebqpsheebqp8314 6 лет назад
Mumependez sana
@saidhamed7746
@saidhamed7746 6 лет назад
nakupenda sana wema
@fallymetoo191
@fallymetoo191 6 лет назад
kwa kweli nimekuwa hasama za kuendelea za nini mwisho wa siku sote chini ya udongo. big up sana uaduni , hasama ni ujinga wa maendeleo
@bettiejoy-mtotowamama
@bettiejoy-mtotowamama 6 лет назад
Mtangazaji kwani unatamani kumguza Wema ?😂😂😂mara mkono wakaribia uso mara kwa kifua...😂😂😂😂😂😂
@elizasaumucharo7971
@elizasaumucharo7971 6 лет назад
Bettie Joy -Mtoto Wa Mama hahahaha
@rahiymrahiym9548
@rahiymrahiym9548 6 лет назад
😁😁😁😁😁
@tausak4568
@tausak4568 6 лет назад
Bettie Joy -Mtoto Wa Mama 😂😂😂😂😂😂
@bosslady9198
@bosslady9198 6 лет назад
Bettie Joy -Mtoto Wa Mama nimecheka jameni
@martinrahj8526
@martinrahj8526 6 лет назад
hahaahaaaa eee umewezaa kweli..
@zainabualtz1455
@zainabualtz1455 6 лет назад
Safisana Wema Usiwasikilize watu fanya unavyo jiskiiya ww
@siwemachilongola9379
@siwemachilongola9379 6 лет назад
Nimekupenda bure Wema, mapenzi wanayajua waliopendana nimekusifu kwa kujitambua kwako. penda sana
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 6 лет назад
Wema ana moyo wa utu mungu amzindishie
@Superman--un9xz
@Superman--un9xz 6 лет назад
nimekupenda bure wema
@saidali5846
@saidali5846 6 лет назад
Mrudiane tu,nasibu wewe simuislam? Oa wote tu
@mariammkande2574
@mariammkande2574 6 лет назад
nakukubali wema
@jillyanimoshi5388
@jillyanimoshi5388 6 лет назад
waaaaao cute real love you
@trepauwriting7454
@trepauwriting7454 6 лет назад
waaa huyu anachukua tu matapishi. Dee anakudharau Wema...wewe ni mrembo. Nilikuwa nimesahau.....hauzaiiiiii. woi. TEAM ZARI HOIYIE
@user-dx5lz6du4y
@user-dx5lz6du4y 6 лет назад
waache watu waseme usimuache diamond umetoka nae mbali Dada wema
@Nadineshimirimana
@Nadineshimirimana 6 лет назад
Love wema ❤️❤️❤️
@tabuabdalah8661
@tabuabdalah8661 6 лет назад
Na kupenda sana wema
@judithjackson264
@judithjackson264 6 лет назад
wema fanyeni mludiane na dee mnapendeza sana
@advelahezron6005
@advelahezron6005 6 лет назад
nampemda sana wema jamani wenyewivu mbaya wajinyonge wema yuko vzr
@williamgodfrey1574
@williamgodfrey1574 6 лет назад
xafiii sanaa wcd
@dazuuhmd819
@dazuuhmd819 6 лет назад
Safi sana
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 6 лет назад
he hiyo mekap umejikandika mpaka uso huwez kunyanyua utafikil umeweka gluu ukitaka kunyanyua macho inakubid unyanyue sura yote mtazeeka kabla ya time
@elizawilliam6537
@elizawilliam6537 6 лет назад
nice madam wema sepetu
@rahmamavura406
@rahmamavura406 6 лет назад
kaongea vzr wema
@nurukamanza9391
@nurukamanza9391 6 лет назад
Kana ongea vizur haka ka dada
@BigZhumbe
@BigZhumbe 6 лет назад
Jamani mick isushe kidogo unamfanya mtu juu juu kama unataka kumlambisha koni 😂😂😂😂😂
@stellahmutheu9249
@stellahmutheu9249 6 лет назад
Umenchekesha wewe
@missagatha1756
@missagatha1756 6 лет назад
WAMALIKO LUMUMBA Hahahaaaaa
@tumtumkhan3115
@tumtumkhan3115 6 лет назад
WAMALIKO LUMUMBA eti nn kumlambisha cone
@shaniatwilka5063
@shaniatwilka5063 6 лет назад
WAMALIKO LUMUMBA 😀😀😀
@hawaafungwetuukasola473
@hawaafungwetuukasola473 6 лет назад
aya bwanae
@aminaharapaharapah2174
@aminaharapaharapah2174 6 лет назад
Haha wame once upon a time u 're true their bby respect💋💋💋
@blacknature7637
@blacknature7637 6 лет назад
Basi tena wema kujifanya mtoto zungumza vizuri
@ahmedmazinge4075
@ahmedmazinge4075 6 лет назад
Black Nature hahahahahaaa
@jaybchaponda6886
@jaybchaponda6886 6 лет назад
Umenenepa sana eee
@sharonmwanza1940
@sharonmwanza1940 6 лет назад
bahati alice mmm
@anifatwaha1412
@anifatwaha1412 6 лет назад
upo vizuri sana wema Umesema kweli
@teddykrekamoo1051
@teddykrekamoo1051 6 лет назад
Once upon a time..
@aishamrembo6769
@aishamrembo6769 6 лет назад
Mtangazaji taratibu sije ukafuta makeup ya madam😂😂😂
@christinenjeri6146
@christinenjeri6146 6 лет назад
Aisha Mrembo 😂😂😂😂
@khayrahsalum7616
@khayrahsalum7616 6 лет назад
Nice
@brakahhamis6621
@brakahhamis6621 6 лет назад
penda sana dada wema 💋
@princesssitora4651
@princesssitora4651 6 лет назад
I like her 😘
@neemaayams3922
@neemaayams3922 6 лет назад
hongera sana
@salmabintuthman3243
@salmabintuthman3243 5 лет назад
Kama Wema Ni star wakujiheshimu huo mkono Wa mtangazaji angekua ashausukuma mbali Na kifua chake.. classical women have their class. Wajuzi wanajua Hilo 😁
@mariamwaziri5691
@mariamwaziri5691 6 лет назад
nakupenda sana madame wema
@hejopansimon5217
@hejopansimon5217 6 лет назад
Lov u mama
@mafinamaizez2514
@mafinamaizez2514 6 лет назад
Watu mnatukana malaya hata kama malaya ni yeye weye hata mkono tu hujawahi mgusa maneno yakutoka kama umekunywa maji machafu vipi weye jiheshimu
@danahasan1649
@danahasan1649 6 лет назад
Ma Fina Maize ž hahahaha duh nimefurai Sana
@julianajoseph6663
@julianajoseph6663 6 лет назад
binadamu wameumbwa kusema acha waseme wema
@jenfan8781
@jenfan8781 6 лет назад
Mapenzi kitu kingine bhana ukiona mtu anatukana jua hajapenda bado
@annamapesa31
@annamapesa31 6 лет назад
Nawapendaaaaa
@somoemohamed7316
@somoemohamed7316 6 лет назад
love wemaa
@frankjully5457
@frankjully5457 6 лет назад
mbona kwa idris hukwenda hili demu halina akili halafu si alihamia team kiba yaani ndomaana sishangai ccm kwenda chadema
@hejopansimon5217
@hejopansimon5217 6 лет назад
frank jully Mpe akili zko bhc
@hejopansimon5217
@hejopansimon5217 6 лет назад
frank jully Mpe akili zko bhc
@sifamugongo8186
@sifamugongo8186 6 лет назад
achana na wema wewe, wema anafanya Yale anapenda
@shaztiana7791
@shaztiana7791 6 лет назад
frank jully mmh
@monayusuf1684
@monayusuf1684 6 лет назад
Nakupenda wema
@tausimzee8481
@tausimzee8481 6 лет назад
safi sana wema watu kuongea kazi yetu fanya upendavyo na sio watu wanasema nini
@kisombolaestate8425
@kisombolaestate8425 5 лет назад
Mtangazaji huo mkono huna karibia kifuani na husoni hunatamani kumgusa ao tuambiye pls😀😀😀😀
@lynnlynn603
@lynnlynn603 6 лет назад
Wema doesn't look fat... She simply looks swollen!
@sophyshushu9641
@sophyshushu9641 6 лет назад
safi sana mwema
@umydaddy4697
@umydaddy4697 6 лет назад
Nyie mfanyeni bwege zari. Maana kama ni support basi ile mikumbatiano na mipapasano ya nini. Ingekua zari kenda kumsapoti mtu halafu anapapaswa mondi angefurahi. Lakini wote sawa. Ikiwa maziwa anapata ya nini anunue ng'ombe
@kashindyengamba0995
@kashindyengamba0995 6 лет назад
umy daddy bkbss nk
@ygettenoona3055
@ygettenoona3055 6 лет назад
Dream is came true guy.
@tryphonetimotheo3043
@tryphonetimotheo3043 6 лет назад
watu tunapenda lakini wanamiziki wamezidi kama vile wamelaaniwa ! Mara anahuyu mara huyu. tubu na mumurudie mungu.
@salachaboli4334
@salachaboli4334 6 лет назад
Wabongo kushikashika nywele bandia wanapenda mikono kichwani kila dakika
@mohamedsadiki9846
@mohamedsadiki9846 6 лет назад
Mm nakupendeaha saut ykotu
@reflyndelaph7482
@reflyndelaph7482 6 лет назад
nampenda wema ila huo mwili its too much aende gym na akizaa jee?
@tinavicenti2284
@tinavicenti2284 6 лет назад
Natamani tena mungekuwa pamoja km.....
@queenbibisha1961
@queenbibisha1961 6 лет назад
Mimi kwa hili sina lakusema kweli, anyway wapishi wenzangu kariburi kwenye channel yangu
@user-tp9em8yd1k
@user-tp9em8yd1k 6 лет назад
Penda saan my sisi wema💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋
@faidhaally9033
@faidhaally9033 6 лет назад
we mtangazaji utamtoboa mcho co kwa vidole hivo
@yasminkaruma9262
@yasminkaruma9262 6 лет назад
ni unene au ndo umeshaanza kuzeeka
@shishisalzshishibeb6803
@shishisalzshishibeb6803 6 лет назад
heeeeee babaz huo mkono inaenda wapy sasa huezi kuongea mpka utumie mkono lol😅😂😂😂
@mercygodia4084
@mercygodia4084 6 лет назад
Salz Abdu hahaha lol
@joycejoyce6442
@joycejoyce6442 6 лет назад
Salz Abdu 😂😂😂😂
@mwasitihatibu9691
@mwasitihatibu9691 6 лет назад
penda wema mwenye povu lake akafulie habari ndio hiyoo
@rahmaomarali4123
@rahmaomarali4123 6 лет назад
Mwasiti Hatibu 😆😆😆😆😆
@twahbampanda5330
@twahbampanda5330 6 лет назад
Mwasiti Hatibu umeonaeeeeeeh
@frankmgimba1034
@frankmgimba1034 6 лет назад
rick kuross
@WhatsPoppinwithFayee
@WhatsPoppinwithFayee 6 лет назад
what happenned to her voice
@emmybaby4707
@emmybaby4707 6 лет назад
wema nilikuw nakupenda sana ila nimegunduw wew nimsalit unamzunguk zari acha hiyo tabia
@rahmaanderson2621
@rahmaanderson2621 6 лет назад
We mtangazaj na ww unaongea kwa vitendo sana kaaaah full kulushalusha mkono sijui kama mrembo wema alikosa kibao😂😂😂
@samiapeter1262
@samiapeter1262 6 лет назад
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@ridahmainde7508
@ridahmainde7508 6 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@juliussikale7619
@juliussikale7619 6 лет назад
Safi sana diamond
@khamisjuma4691
@khamisjuma4691 6 лет назад
Husiharibu.happy kwa.boss lead wema.your danger
@theewheelchairbabygirl
@theewheelchairbabygirl 6 лет назад
Ubaya upo Mbna hukumsupport idriss kwa sultanxformen
@patriciamazula557
@patriciamazula557 6 лет назад
Wema u look gud girl!!
@patriciamazula557
@patriciamazula557 6 лет назад
Kuuliza c ujinga hivi cku hizi Bongo kuna winter?? Boots na joto duh.
Далее
Как дела перцы?
00:25
Просмотров 72 тыс.
MILLION JAMOASI 2024 4K
2:17:51
Просмотров 12 млн
SUGU: "Mimi Siyo DIAMOND Wala ROMA, Ningempiga SHONZA"
13:44
Mbosso - Watakubali (Official Video)
3:48
Просмотров 12 млн
Full Video: ASLAY Amtoa Machozi Mama Nandy, Escape 1
10:12
HARMONIZE Alivyomwaga Machozi Kisa DIAMOND - KUSINIGHT
11:11