Тёмный
No video :(

WENGI HAWAFAHAMU KUHUSU JINI MAHABA ,PASTOR SUNBELLA KYANDO 

Reality of Christ Church
Подписаться 76 тыс.
Просмотров 57 тыс.
50% 1

#SunbellaKyando #RealityofChrist #RocTv
Somo hili linaelezea ni jinsi gani Jini mahaba linaweza kuharibu maisha yako kwa namna moja ama nyingine,pia watu wengi wamekuwa wakiishi na vifungo au jini mahaba pasipo wao kujua

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 536   
@neemawilly1281
@neemawilly1281 Месяц назад
Asante Yesu kwa kuniponya na kuniweka huru tena 🙏. Wakati mtumishi wa Mungu anaomba nikiwa nimeshika kidole cha pete, nimeskia tumbo linacheza kisha nikakakamaa mwili kwa dk hv hlf ghafla nikarud kwenye hali yangu ya kawaida. Naamini nimepokea uponyaji kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai. Mungu akubariki mtumishi wa Mungu 🙏
@ElvinaDadu-hp2ib
@ElvinaDadu-hp2ib 11 месяцев назад
Asante Mungu wangu kwa kuniweka huru siku hii ya leo, wakati mtumishi wako alipokua anaomba kuna kitu nmekihiss kwa mwili kimetoka kinapaa, pia nmevua pete zote na nmepiga nduru kupitia hayA maombi na imani nmekombolewa katika jina la yesu, jini mahaba hana nafasi tena katika mwili wangu🙏🙏🙏
@lilianmrema6568
@lilianmrema6568 2 года назад
Asante Yesu kwa kuniponya, wakati Mtumishi wa Mungu anaomba nimesikia kama moto kwenye tumbo la uzazi. Naamini Mungu katenda jambo kwenye maisha yangu.
@floramlewamlewa8147
@floramlewamlewa8147 Год назад
Thanks u Jesus
@user-py3qf8ig7u
@user-py3qf8ig7u Год назад
Wakat mtumishi anaomba nilisikia mwili unatetemeka Asante yes najua kunakitu kimetendeka ubarikiwe Sana mtumishi ameen
@user-kb5zd9lw9z
@user-kb5zd9lw9z Месяц назад
dawa please
@kaysmuwandia1409
@kaysmuwandia1409 11 дней назад
​@@user-py3qf8ig7ujhi
@ngaghekamwelaikamwela9319
@ngaghekamwelaikamwela9319 3 года назад
Wakat unaomba nimehisi kitu kinatoka kupitia mgongo .......asante Yesu nmekuwa huru sasa kwan mi ni binti wa miaka 20 nmekuwa nkisumbuliwa na hamu ya kuangalia ponography mara kwa mara na nikijaribu kujizuia nashindwa lakin kwa sasa nmepona na niko huru kwa jina la Yesu wa nazaleti aliye hai ...Amen
@pamelanyamko5293
@pamelanyamko5293 3 года назад
Tangu niaze kukanyaga madhabah hii nimekutana na deliveries Zaid ya mbili now Niko ok Mungu amenifungua na soon naleta sadaka ya shukran na kusema vile nilikua na Sasa...
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 Год назад
@@pamelanyamko5293 panaitwaje nahitaji Kwenda
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 Год назад
@@pamelanyamko5293 Mtaa Gani
@neemaKyabona
@neemaKyabona 4 месяца назад
Nashukuru kipindi unaomba chuchu ilikuwa ikiwasha na kidole cha Pete kimewasha mpaka Sasa naamini nimepona Amina
@Mamaeli-kd6ot
@Mamaeli-kd6ot 12 дней назад
Asante yesu nimefungulia,nimetoka kwenye kifungo Cha majini mahaba Asante yesu kwa kuniweke huru Amen
@hanielmngodo8276
@hanielmngodo8276 Месяц назад
I felt a burning sensation in my chest. Thank you Jesus I'm free😊
@VailethGaudioza-ds9hd
@VailethGaudioza-ds9hd Месяц назад
Asanteee nimefuguliwa maana vitu vilikuwa vinatoka vidoleni Bwana Yesu Apewe Sifa
@shijapastory3209
@shijapastory3209 2 месяца назад
Asante Mungu,nimeenda chooni ule mzigo nilioutoa ni mkubwa sana naamini Mungu amenifungua
@rahmahamisi7604
@rahmahamisi7604 4 года назад
Mungu akubariki sana PASTOR tunapona kwakweli kupitia wewe maana tuko nchi za nje kanisa letu ni hili .
@HappinessMmari-bq4hl
@HappinessMmari-bq4hl Год назад
Wakati wa maombi nimelia Sana nilikuwa nasikia koo linauma nimetokwa jasho mno na kutema mate namshukuru Mungu nimefunguka
@Blessed.Marion
@Blessed.Marion Год назад
Nimesikia nguvu ya Mungu.. I declare that I am a free woman.. and blessed 🙏🏽
@NoellaKennedy
@NoellaKennedy 2 дня назад
Asante Asante pasta tunashukuru mungu anafanya kazi
@petsacademy4757
@petsacademy4757 2 года назад
Naamini kuwa niko huru, na majini mahaba wameniachia, asante mtumishi wa Mungu sunbella kyando. Asante Mungu Baba kwa kuniokoa
@robertpropheticchild2941
@robertpropheticchild2941 3 года назад
Asante yesu nimefunguliwa kwenye kifungo cha kuangalia ponography na kuwaingilia wengine kinyume cha maumbile
@elizabethtaylor6320
@elizabethtaylor6320 2 года назад
Nimejisikia kuvurugika sana kwa mwili wote, nakutokwa machozi kulia kwa chini chini. Asante Mtumish kwa jina la BwanaYesu. Amen
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 Год назад
Hata mm nmeshindwa
@patriciammbando5870
@patriciammbando5870 2 месяца назад
Amina🙏Asante Mungu kwa kunikomboa na kunifungua!!!Asante Mtumishi wa Mungu kwa kunifanyia maombi🙏Sifa na utukufu ni kwako tu Bwana Yesu🙏 Mtumishi wakati unatuombea Mungu kanitendea hao majini mahaba waliokua wakinitesa kwa mda mrefu wameniachia kabisa na wameteketea kwa damu ya Yesu katika Jina last Yesu sawasawa na ulivyoomba na ninajisikia kua mwepesi sana saga na mwenye amanita na furaha tofauti na mwanzo🙂Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏
@Mr.Isayamaziku
@Mr.Isayamaziku Месяц назад
Thank you Jesus for this delivery
@user-vf1un5be8d
@user-vf1un5be8d 7 месяцев назад
Naitwa lulu namshukuru mungu mtumishi wa mungu alivokuwa anaomba nikawa nahisi Kuna vitu vinatoka mwilini.
@lukaantony5360
@lukaantony5360 3 года назад
Asante Yesu nimini nime funguliwa kupitia mt. Wako maana nime jikuta natetemeka sana na nime piga kama miayooo kisha nika kohoa sana alafu chamwisho nime toa ute mdomoni mwangu asnte sana Yesu kupitia Roho mtakatifu kwa mt. Wako Amen
@floranicholaus3565
@floranicholaus3565 5 месяцев назад
Asante Mungu nimefunguliwa wakat Mtumishi unaomba nimesikia vitu vinatembea kichawan na kuniachia. Asante yesu I’m free and competent delivered
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 4 месяца назад
Nimefunguliwa katika jina la Yesu Kristo
@EmaOliva
@EmaOliva Год назад
Nakufatilia sana Pasta nateseka nipo iringa mafinga natamani Mungu anisadie nifike dar tuonane
@fadhilimazoya4031
@fadhilimazoya4031 9 месяцев назад
Asante mungu Kwa kuniweka huru barikiwa mtumishi Wa mungu
@jacquelinerite3730
@jacquelinerite3730 2 года назад
Mungu amenifungua kwa damu ya Yesu nimeuona mkono wa Mungu..Nimekohoa na kutetemeka wakati wa Maombi haya.Nakushukuru Mchungaki Namshukuru bwana Yesu kwa damu yake nimekombolewa.Amen
@user-py3qf8ig7u
@user-py3qf8ig7u Год назад
Asante mtumishi mungu akubarik Sana Kwa maombi
@user-kj1xy8qn2u
@user-kj1xy8qn2u 4 месяца назад
Asante Mungu nimefunguka kabisa hiyo ndoto imenisumbua sana
@user-zg3do8uo8d
@user-zg3do8uo8d 2 месяца назад
Nimesikia baridi mwili mzima barikiwe sna mtumishi
@jescaapolinary4858
@jescaapolinary4858 Год назад
Asante Yesu nmepokea nmehisi tumbo linahema na kifua
@blessedtumaini516
@blessedtumaini516 2 года назад
Asante sana Mungu Baba kuniweka huru kwa njia ya Yesu Kristo aliye hai. Wakati wa maombi nyayo zimewasha na nimepata wepesi sana. Barikiwa sana Mtu wa Mungu kwa huduma. Amina.
@Monica-fd2oc
@Monica-fd2oc 2 года назад
Wakati wa maombi nimepiga sana miayo..naamini Mungu amenifungua.Amen 🙏
@ramsomichael2250
@ramsomichael2250 2 года назад
Thnx pastor, God bless you,by Ramso,manyoni,singida.
@gloryernest9028
@gloryernest9028 Год назад
Nimewekwa huru wakati wa maombi nimesikia kitu kimeniachia na nikasikia uchangamfu na uhuru ndani yangu Asante YESU kwa ukombozi .MUNGU akubariki dady bella 🙏🙏🙏
@mariaurrasa5796
@mariaurrasa5796 9 месяцев назад
Asante mtumishi wa Mungu najisikia huru
@VanillaMungure
@VanillaMungure 2 месяца назад
Amen naamin mungu aliehai amenifungua na mm leo
@misnasma7875
@misnasma7875 2 года назад
I feel fire all over my body and I trust that God has delivered me from these spirit husbands... glory be to God Almighty...Amen
@joycebenedict6172
@joycebenedict6172 3 года назад
Namshukuru Mungu nimefunguliwa nitaendelea kuangalia mpaka kieleweke
@elvirastuder4492
@elvirastuder4492 2 года назад
Mwili wangu umesisimka kwanzia juu mpka chini..alafu nikaanza kupiga miayo mingi,,, thank u Jesus I'm Free
@bachimabachi
@bachimabachi Год назад
Pastor nlikuwa napiga miayo zaidi ya mara 2 nina Imani Mungu ameniweka huru katika jina la Yesu,amina
@reginasanga2322
@reginasanga2322 2 года назад
Asante Kwa maombi mtumishi...nimefunguliwa Kwa jina la YESU kristu.Amina
@Queen..113
@Queen..113 3 года назад
Amina baba nimefunguliwa leo kwenye hiki kifungo hakika nimemwona Bwana akitenda kwangu
@ericwanny5500
@ericwanny5500 2 года назад
Asante kwanza kwa message yako mchungaji nahisi nimefunguliwa ,na nimeona maana nilikua kama kipofu na maombo yamevunja ngome ya wovu ambayo ilikua imeniteka nyara ,na hili liwe somo kwa wengi ,kwa kuwa yote ulioyazungumuza yamenipitia kila nikiota na lala nahuyu jini ,najua mambo hayaendi sawa na maranyingi imekua changamoto kwangu kwenye maswala ya mahusiano ,Asante mchungani kwafundisho lako Zuri Mungu akubariki saana
@irenesylvester6434
@irenesylvester6434 2 года назад
Asante sana Bwana Yesu nimefunguliwa, nilisikia nguvu za ajabu kwenye kidole changu cha pete mpka nikavua pete yangu ya ndoa, nimepiga mihayo mingi sana na miguu imewasha sanaaa, namshkuru Mungu nimefunguliwa, ubarikiwe sana Pastor Sunbella. Asante sana.
@demarianiccky5812
@demarianiccky5812 2 года назад
I feel instant healing all of my Body thank you God bless you abundantly.
@DominasRichard
@DominasRichard 5 месяцев назад
Asante pasta katika Jina la yesu nimefunguliwa mm nilikua nikiota ndoto usiku nikiwa nafanya zinaa na mtuu ninae mjue au nisie mjua naamini katika Jina LA yesu nimeokolewa na pepo limetoka amini🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@scollaboniface4940
@scollaboniface4940 2 года назад
Namshukulu Mungu kipindi unaomba mwili wangu ulipata joto sana na jasho kunitoka ubarikiwe nimepokea na nimefunguliwa,Amen.
@nicerkenny4239
@nicerkenny4239 Год назад
Amen nimefunguliwa kwa jina la Yesu Kristin... wakat mtumishi unaomba ulipofika hatua ya kuhesabu nimetetemeka mpk meno yakawa yanagongana nikaishiwa nguvu Mungu ametenda
@beatricetemu325
@beatricetemu325 4 месяца назад
Asantee Yesu na shukuru nimepokea na nimefunguliwa nimetengwa mbali kama mashariki ilivo mbali na magaribii jini mahaba halina nafasi Tena kwangu jina la Yesu limeinuliwa juu🙏🙏
@neemalema5312
@neemalema5312 Год назад
Namshukuru Mungu wakati wa maombi niliona kbs vitu vinanitoka mwilini Ubarikiwe sana
@aquillarnguma
@aquillarnguma 8 месяцев назад
Asante Yesu umeniokoa nimetetemeka sana kudondoka wakati mtumishi wa Mungu anaomba kwa imani nimefunguliwa thankyu Jesus
@phabianmathew9484
@phabianmathew9484 2 года назад
Amina pasta nimefunguliwa naamin haitakosea kusumbuliwa
@saradeviaalexander2097
@saradeviaalexander2097 11 месяцев назад
Asante Yesu namshukuru Mungu wakati mtumishi akiomba nimehisi kuishiwa nguvu na kulegea kabisa nina imani Mungu amenifungua ahsante sana mtumishi
@bertinailomo1230
@bertinailomo1230 2 года назад
Asantee sana baba kwa huduma yako naamini nmepokea .maana nlishawahi kuota ndoto nafanya mapenzi nkiwa advance na sasa npo chuo.lakin ndoto haijawah jirudia tena.Mungu akubariki sana
@MariamMbuguni-wl6se
@MariamMbuguni-wl6se Год назад
Asante mtumishi wa Mungu wakati unaomba Mimi nimepiga Sana miayo naamini Mungu amenifungua..Mungu akubariki
@scholasticamrango6871
@scholasticamrango6871 4 месяца назад
Nilisikia tumbo limenibana na nilikuwa nahema kwa haraka sana naamin mungu amenifungua na nimepona kwa jina la yesu amina
@annakbunga8377
@annakbunga8377 Год назад
Ameeeeen 🙏 napokea uponyaji mtumishi
@vanjelistdaud4770
@vanjelistdaud4770 2 года назад
Amen nmekombolewa Sasa kupitia maombi haya naamini katoka jina la Yesu kirsti aliehai, kwa uwezo wa Mungu na maombi haya kunakitu kimetoka ndani kwangu mda anaomba pastor kunakitu kimetoka ndani kwangu.
@juliethdionise6448
@juliethdionise6448 4 месяца назад
Asante kwa kila jambo🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@jamilaausi7851
@jamilaausi7851 Год назад
Asante mtumishi ulivyokuwa unaomba mwili ulikuwa unatikisika na kulia Sana naimani kubwa Sana huyu kiumbe hatofanya kwangu ndio makazi yake na kunitesa nimepokea uponyaji Amen
@norahkabutu
@norahkabutu 8 месяцев назад
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu sana nimefunguliwa Mimi nipo huru niliona kabisa mwili ukiangaika na pia nilivyo maliza kusali nimenena Kwa lugha na sijawahi neno Kwa lugha nikiwa nyumbani Mungu mwaminifu amenifungua ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@amosnzumbi-mu6vv
@amosnzumbi-mu6vv Год назад
Mimi nirijiukutua kama navuta Pete kwenye mkono itoke nashukulu sanaaaa yesu amenifungua
@flobad.mhubiri
@flobad.mhubiri 3 месяца назад
Jambo waamini wa BWANA. Miminilisikiya kidole cha pète kinawasha,na bas ventre na kiuno,asante papa pasteur.naamini nimefunguliwa kwa jina la YESU CHRISTO
@JOHNKINDEGE
@JOHNKINDEGE Месяц назад
Amina ubarikiwe mtumishi
@benoisjoseph8824
@benoisjoseph8824 Год назад
Amen nimefunguliwa kwa jina layesu
@zarinahkassim
@zarinahkassim 11 месяцев назад
Asante mtumishi nimefunguliwa
@wemajay1462
@wemajay1462 Год назад
Wakati unaomba mm nimejikuta nalia sana machozi yanatoka namshukuru mola sana kwa maombi yako
@EdnahHassan-js5cl
@EdnahHassan-js5cl Год назад
Asante Sana pastor hakika wakati unaomba sauti kubwa imetoka na pia nimeeza kusikia nikama naona Giza asante Sana aki
@estelletomichael6553
@estelletomichael6553 2 года назад
Hello pray the lord ..Am free in the name of JESUS .THANKS MCHUNGAJI ULIVYOKUA UNAOMBA KUNAVTU NILIKUA NAHISI VINATOKA
@giselemurekatete6908
@giselemurekatete6908 2 года назад
Ubarikiwe mtumishi wamungu.nakufata kutoka Kigali Rwanda.ili nimeyagunduwa mengi kwa maisha yangu.ivi nitajitaidi kuja Tanzania nikuone ukaniombee nateseka saaaana.mungu akulinde tena
@lemmychai9139
@lemmychai9139 Год назад
Asante pasta niko huru usiku huu waleo nilikuwa nikisumbuliwa na huyo jini na amenisumbua zaid ya miaka saba nawakati ulipo sema nishike kidole changu cha pete ulipo anza kuomba nilihisi nguvu zamungu ndani yangu
@viviansalamajoshua2336
@viviansalamajoshua2336 9 месяцев назад
Nimeskia moto kwenye mwili wangu wote naamin mungu ameniponya jina la bwana libarikiwe amen
@musamwamulima3361
@musamwamulima3361 2 года назад
Asante mutumishi mm naitwamusa mwamulima yes kanikomboa mm nilisikia tumbo rikiuma
@kathinisharon2768
@kathinisharon2768 11 месяцев назад
Asanti sana nimepokea uponyaji kwa jina la yesu
@brianbaraka4563
@brianbaraka4563 2 года назад
Nimefunguliwa kwa jina la Yesu niko huru ahsante Yesu. Hakika Mungu amekutumia mtumishi wakati unaomba kuna vitu nimevisikia mwilini na nimetema mate. Ahsante Yesu kwa kuniweka huru.
@happymgaya2770
@happymgaya2770 2 года назад
Asante Kwa Somo zuri mtumishi
@renaw1439
@renaw1439 3 года назад
Heh nimefuguka katika jina la yesuuuuuu Amen!!! Kweli wewe You are a man of God and anointed.!!!! God bless your ministry 🙏
@farajageorge8711
@farajageorge8711 2 года назад
Asante YESU ...wakati Mtumishi unaomba nimetapika sana.Thank you Lord Jesus.. am free
@syliviakaigarula1250
@syliviakaigarula1250 2 года назад
Amen, Asante Yesu wangu kwa KUNIFUNGUA!!!, kiukweli najiskia kama kitu kimeachia mwili wangu kabsaa, na wakati wa maombi nimetapika na pia kuna mda yalikuwa yanaongea kusema ntaolewa yakasema hadi wakati na mwezi
@OswardDaisoni-vl8pc
@OswardDaisoni-vl8pc Год назад
Amina niwakati wangu wakumshukuru MUNGU alie nisaidia kupitia mtumishi wake wakati wamaombi nimeponywa nimeteemeka,nimepumuwakwa mhemo,nimeanguka, mungu amenisaidia ubalikiwe mtumishi wa mungu
@SyriviaNyakato
@SyriviaNyakato 10 месяцев назад
Ubarikiwe mtumishi
@florawanna8248
@florawanna8248 2 года назад
Shaloom, wakati unaomba na kushika kidole nimepiga kelele, nimerusha mikono, mwili mzima umetetemeka...Mungu akubariki sana mtumishi Kyando.
@annamalishee524
@annamalishee524 5 месяцев назад
Nimesikia kusisimkwa, goosebumps
@halmakalage4566
@halmakalage4566 2 года назад
Nmeskia tofauti nitafatilia maombi mpaka kieleweke jini mahaba Hana nafasi Tena kwe mwili wangu kwa jina la Yesu........
@mariajoshua6202
@mariajoshua6202 Год назад
Asante Mungu
@florahchollah1092
@florahchollah1092 3 года назад
Ufunuo 12:11. Napenda kumshukuru Mungu kwa kuwa mchana wa Leo nimefunguliwa kwa kusikiliza maombi haya kwa Imani.
@carolinamponji4294
@carolinamponji4294 2 года назад
Mungu kaniponya nami wakati unaomba midomo yangu ilikua inacheza kwa namna ya ajabu na kidole changu cha pete nimekivuta san namshukuru Mungu wa madhabahu hii ni wakati wangu wa kupata mume nimetesek san na mandoto haya Mungu akutunze baba
@grolyjosephat8263
@grolyjosephat8263 2 года назад
Asante Yesu kwa kuniokoa,asante Yesu kwa kuniokoa Nimeokolewa na kufunguliwa leoo Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@user-mh4qt3fh6t
@user-mh4qt3fh6t 9 месяцев назад
Kupitia maombi ya mtumishi mungu nimesikia nguvu ya roho mtatifu imepita ndani ya tumbo la uzazi kwa kuanzia sasa nimefunguliwa kwa jina la yesu wa nazareti aliyehai 🙏🙏
@sophiankwera9020
@sophiankwera9020 3 года назад
Asante YESU kwakuniweka huru hyo roho imenisumbua kwa mda mrefu Sana huu mwaka wa saba nimepiga miaya Sana Hadi mafua yakawa yananichuruzika jama maji
@stevenluteli4125
@stevenluteli4125 Год назад
Namshukuru Mungu amenifungua nimesikiliza hii video Jana usiku Pastor alivyoanza Maombi nilitetemeka mwili mzima na mikono,jini mahaba limekimbia lilinisumbua kwa mda mrefu,na huwezi amini nimefanikiwa kupata kazi leo,Mungu akubariki pastor wewe kweli ni Mtumishi wa Mungu.
@msseyedita8108
@msseyedita8108 Год назад
Asante ninaimani kuanzia leo nimepona,, mchungaji kanisa lako liko wapi nahitajiji kuja uniombee Hawa wadudu wamenutesa Sana ubariwe Sana mchungaji amina
@ericambwilo3309
@ericambwilo3309 2 года назад
Asante yesu nmepona
@omegalyimo8023
@omegalyimo8023 Год назад
Mtumishi Bwana Yesu asifiwe,wakati napita kwenye RU-vid nkakuta na somo ulilofundisha kuhusu jini mahaba,nmefuatilia somo kwa makini na dalili ulizozitaja mojawapo ninayo...na pia nmemaliza chuo miaka 13 iliyopta nkiapply kazi naitwa kwenye intervw lakn cjawah kuvuka had leo nmeolewa,wakati wa maombi nmepiga miayo naamin Mungu amenifungua kwenye hcho kifungo na ntaenda kupata kazi,barikiwa sana mtumishi.
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 6 месяцев назад
Pole Sana kaka
@user-vf1un5be8d
@user-vf1un5be8d 7 месяцев назад
Namshukuru mungu kwa kunifungua.
@esteritete5724
@esteritete5724 Год назад
Nimesikia kusisimka mwili na pepo limetoka Asante Yesu kunifungua Mimi ni mzima kuanzia sasa
@user-wl3sp3tc3n
@user-wl3sp3tc3n Год назад
Asante yesu wakati mtumishi unaomba nimepiga kelele isivyo kawaida na kugalagala chini,Asante yesu roho ya jini mahaba Haina mamlaka tena kwenye mwili wangu
@gloriamaya8900
@gloriamaya8900 2 года назад
Nimejisikia hofu,nikafanya ishara ya kuvua pete ,nimetapika ,asante Yesu kwa kunifungua .niko huru kwelikweli.
@violetmanyanga5926
@violetmanyanga5926 4 года назад
Shallom baba nimeangali leo ila nimeriact nimepita sana kelele na nikawa nataka kukimbia nimepona kwajina la yesu kristo Amen asante sana baba
@rozaliacolman5960
@rozaliacolman5960 8 месяцев назад
Nimefunguliwa katika jina la yesu
@EmaOliva
@EmaOliva Год назад
Amina Mtumishi Mungu akubariki nipo iringa mafinga nasumbuliwa sana nahaya madudu Bwana Yesu aniponye
@karenkitajo
@karenkitajo 2 года назад
Asante Yesu kwa kunifungua
@elizabethlupatu7539
@elizabethlupatu7539 2 года назад
Asante yesu kupitia mtumishi wako naona nimetua mzigo katka maisha yangu.barikiws
@deodathamhagama1
@deodathamhagama1 2 года назад
Asante God nimefunguliwa nilipokuwa kwenye maombi nilikuwa naskia kitu kinatoka ndani yangu
Далее
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Просмотров 383 тыс.
KUPAMBANUA ROHO(NDOTO) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:37:34
JE, UNAJUA KWANINI VITU VYAKO VINAKWAMA?
55:30
Просмотров 119 тыс.