Ni yeeyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee si God..ndo huyo yeye sasa sir God......alaaaaaaaah...ghaaaaaaà...weusiiìiiiiii tiiiiiiii, goma ilo sasa jumapili gwajima aruke nalo sasa..
Hahahahaaa mme nishtukiza.. Sikutegemea hii. Mme amua kumfuata kanye na mase.. Nawatakia kila lakheri kwenye njia hiyo.. Ila mkumbuke mungu hachezewi.. You must be honestly and respectfully 🙏🙏🙏
Angalia hapa makala ya #Mwanamalundi, shujaa WA wasukuma aliyefanya miujiza ya kutisha ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Mf0AxWxeKGQ.html ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Mf0AxWxeKGQ.html
ni jambo kubwa sana kuona wasanii wanaimba nyimbo za kusifu na kumshukuru Mungu, hivo tujue ni wakati muafaka kuacha matendo yetu mabaya na kumcha Mungu na ukaka katika kweli yake na kushika amri zake maana yote ni ubatili lakin neno la Mungu litadumu milele.
HAWA JAMAA NI WAZURI KIMUZIKI LAKINI WABINAFSI SANA, HAWANA MCHANGO WOWOTE KUINUA VIPAJI VYA ARUSHA. JAMAA WANA CONNECTION NA MEDIA ZOTE LAKINI WACHAGA WACHAGA TU ROHO MBAYA.
Hii ndo Maana halis ya Kipaji na unaifanya Unavotaka hautumii Nguvu saana... Nitashangaa sana Nikiona watu wanabishana na watu wanao Jua hivi wanaimba wamerelax hata mshipa haitok