"uhuni sio sifa,, sifa ni uelewa " moja ya maudhui ya huu wimbo.. Kuna haja ya umoja wenu kurudi upya il muimarike zaid.. All in all Kaz nzur wapoloo 💪💪💪💪
Weusi ni kundi ambalo liko creative sana kila mmoja ana mchango mkubwa sana ktk kuleta mziki mzuri, Naweza kusema wanaiwakilisha A town to the world map big up kwenu Weusi. Tuko pamoja
..Ndo ki2ambaxhooo kilikuwa kinasubiriwaa n.a. people mzingaaa mzuka kama woteee ndo huo kama unavyo uonaaa hapo juu mambo ni motoo kama unawakubali WEÜŚI weka like apo xhinii.......
kaskazini republic.....hivi vichwa noumaaah sana sema tu wabongo wanapenda sana wabana pua...jamaa wameua ua...na jux naye mhuni daaaaah nimejikuta nacheka....