Тёмный

WHO yatangaza hali ya Dharura ya Afya Duniani kutokana na mlipuko wa virusi vya Homa ya Nyani Afrika 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 153   
@HassanAhmed-hr6rx
@HassanAhmed-hr6rx 2 месяца назад
Hawa wazungu wapingwe mrufuku kuingia Africa wanaleta maradhi mengi ya kutengeneza kuua vizazi vitu wako na nia mbaya sanaaa kwetu.Allah atawashinda InnshaAllah
@LatifaMwandu
@LatifaMwandu 2 месяца назад
A aleykum wapenzi ktk imani Kila mmoja asome ayat kursiyu 17 katika maji.kisha tumwe ukitaka mara 1 au mara 3.tumuombe allah kwa dhati na unyenyekevu atunusuru na maradh ya mlipuko yaliyopo na yatakayokuja shukran
@faridhamad3678
@faridhamad3678 2 месяца назад
Waalleykumu salaam warahmatullahi wabarakatuh jazakallah khair. Allahumma Amiin.
@msafirlaizer2368
@msafirlaizer2368 2 месяца назад
Hamna kitu hapo. Wanataka tu kutushusha WaAfrica kwasabab wameona tunakuja juu kwa kasi. Mungu unganisha Africa, Mungu ibariki Africa ❤️
@AmaniRashidi-i9b
@AmaniRashidi-i9b 2 месяца назад
Wanataka kutuua tena wametengeneza vya kwanzaa vime dunda mungu atuepushe wana sns😢
@mhabimina4023
@mhabimina4023 2 месяца назад
Unaona so sad😢
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 2 месяца назад
Alafu kila kitu kinaanzia congo kwenye madini mengi
@SallmaXg
@SallmaXg 2 месяца назад
​@@Shokolokobango9385unajuwa kwa nini maginjwa mengi huwa nayaanzia Congo,wanakula sana nyama za wadudu tena sana
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 2 месяца назад
Mbwa hawa ndio waone hawa wezetu wazungu wnaaona furaha kuua palestine sasa wnatka kuua watu.
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 2 месяца назад
Hao Mbwa hawatofanikiwa na wasipokuwa makini tutawapelekea huko huko kwao wakafe wenyewe
@adow9musictz931
@adow9musictz931 2 месяца назад
usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.
@ivankadaudi8161
@ivankadaudi8161 2 месяца назад
Mungu tutetee wafrica wote 🙏🙏🙏🙏
@SanguloRaahoo
@SanguloRaahoo 2 месяца назад
Maraz wanatengeneza wenyewe w h o😂
@Nuru9568
@Nuru9568 2 месяца назад
Mungu atusaidie jaman yakutokee kama ya corona😢
@AGATHALEKEY-q7e
@AGATHALEKEY-q7e 2 месяца назад
HAPANA , hatupaswi kuwa na wasiwasi wowote💪Mungu wetu wa mbinguni aliyeumba vinavyoonekana kwa macho na visivyoonekana kwa macho ya nyama ana uweza mkubwa sana wa kukausha hao virus ... kila mtu awe na imani kuwa hatadhuriwa na hao virus 🎉🎉💪
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 2 месяца назад
Amin🤲🤲
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy 2 месяца назад
Wameona vita vigumu sasa wanaleta virus.. namsubir dj sma❤
@giztony2009
@giztony2009 2 месяца назад
Acha kupotosha umma mbona ARVs unazitumia kubali asingekuwa mzungu ungeshakufa siku nyingi na hata wakiamua kukuua ni siku moja tuu pumbavuu
@momylaviel
@momylaviel 2 месяца назад
Mungu tuokoeeee 😢😢😢
@danvannyzawad6452
@danvannyzawad6452 2 месяца назад
Wameona ngoma Aitoshi wanaleta ujinga mwingine😢😢kubababakeee
@MenejaMakucha-xg6yd
@MenejaMakucha-xg6yd 2 месяца назад
Inshallah mwenyezi mungu aendelee kutulinda
@thaniakassim7687
@thaniakassim7687 2 месяца назад
Hasbunallahu waniimalwakiiil☝️
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 2 месяца назад
Jamani tatizo nyani nao Afrika baadhi ya inchi wamefanya kitoweo.na mwengine tunaletewa magonjwa ili waje wachukue mari zetu Mungu atusaidie
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 2 месяца назад
Nashangaa
@starmz428
@starmz428 2 месяца назад
@dj sma alisema na kutabiri kuhusiana na kujiandaa na mlipuko mwengine bigup to #sns time will tell
@hellenmassawe7284
@hellenmassawe7284 2 месяца назад
Mungu tulinde na mabaya
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 2 месяца назад
Eeeh mwenyez Mungu tuepushe baba,,tunajua ya kuwa tunakukosea sana mola wetu lkn tunaomba huruma yko😭😭nimejaribu kuwaza tu ndo uwe km corona na hyu rais tuliyenaye msafir kwenye ndege mda wote😢😢😢wwzungu wakimtongoza tu tumeisha,,r i.p Magu😢😢
@SalomeRenatusi
@SalomeRenatusi 2 месяца назад
Tunaomba Mwenyezi Mungu uliye hai uturehemu sisi waja wako. Wew ndiwe kimbilio letu tuokoe sasa maana Dunia imechefuka hatujui tunakoelekea tuko kwenye giza nene bwana tupe Amani katika jina la YESU KRISTO ALIYE HAI Amen.😢😢😢😢
@JansanMokiwa
@JansanMokiwa 2 месяца назад
Vita malazi wazungu daah😢😢😢
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 2 месяца назад
Hawa mashetani njama zao ni nyingi sana kwa Afrika. Lkn kwa sasa hakuna mtu watamdanganya kila kitu kiko wazi. M'mungu ndio atawahukumu hapa duniani kbl ya Akhera. Na tutaushinda hili gonjwa walilotubambikia kwa uwezo wa Mungu inshaAllah.
@nassoromfumya7319
@nassoromfumya7319 2 месяца назад
Hapa ndo tutajua kwanini alama katika sehem za kutibia ni alama ya YOKA!! na vingine vingi vitakuja tuombe tu mungu atusimamie waafrica
@MashaMbwana
@MashaMbwana 2 месяца назад
Mungu tusaidie😢😢😢😢tunakukosea ila sisi ni waja wadhaifu kwako
@lucymtui8680
@lucymtui8680 2 месяца назад
Saivi hatuchanjwiii Tunaijua hiyooo
@Africaamkenitznawenuso
@Africaamkenitznawenuso 2 месяца назад
Leteni tu magonjwa Wanangu maana hiidunia mmengeuza kuwa yenu mna plfanya mnavuo taka tengenezeni Sana magonjwa mtajirike mpaka utajiri wenu mzikwe nao
@JerisonRaphaely
@JerisonRaphaely 2 месяца назад
Good morning good afternoon nani wewee embu toka apa
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 2 месяца назад
😂😂atutokee
@deusmtiri6341
@deusmtiri6341 2 месяца назад
kwanin huo ugonjwa usiende Somalia
@Manlikeremy
@Manlikeremy 2 месяца назад
DAH 😢
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 2 месяца назад
Washenzi,mbinu ya wizi kwa africa.
@fadhilimhagama2650
@fadhilimhagama2650 2 месяца назад
Mungu atatutetea na magonjwa ikiwa tutaacha kujipendekeza Kwa wazungu , na kuwa na madaktari bingwa
@ashahassan2120
@ashahassan2120 2 месяца назад
Mungu usituache pekeyetu ss wenyewehatuwezi simama nasi tunakuombea na tunakulilia
@Yayouselim
@Yayouselim 2 месяца назад
Oya kimeumana wadau 😢😢
@saimarmuhsin9578
@saimarmuhsin9578 2 месяца назад
Hatari wana kila aina ya mbinu ya kutuangamiza waafirica Allah atunusuru hizo chanjo zao ndo zinazoleta magonjwa
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 2 месяца назад
Mungu njo muepushaji na kila baya atatulinda maombi tu njo muhimu
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 2 месяца назад
Nyani tunaishi nao sasa inakuaje mzungu anataka kufanya lab text tena Africa 😢
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 2 месяца назад
Acheni kututia hofu izo ni njama za magharibi kutaka kuua uchumi wa dunia na kufanya biashara za madawa
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 2 месяца назад
Burundi iyo igonjwa imesha fika kijijini
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 2 месяца назад
Hoooh god tuhurumie🙏🏾
@JerisonRaphaely
@JerisonRaphaely 2 месяца назад
Nafurahi sana yani furaha isiyo eleweka Afrika tunasumbuliwaga na magonjwa tu wakati wenzetu wanasumbuliwaga na uchumi wakuzidi kuwa juu
@AishaHaji-h4d
@AishaHaji-h4d 2 месяца назад
Nikimuonaga huyu mzee nakosa amani 😐😐hajagi na habari njema
@emanueluroki6160
@emanueluroki6160 2 месяца назад
Wazungu ndio wanao tengeneza magonjwa hususa marekan na hiyo who ndio tarifa lao na Mfumo wao wa pamoja pesa zinatakiwa hapo za kudanganya watu na kuuwa watu
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 2 месяца назад
@@emanueluroki6160 hiyo dabiliyuu echi hoo si inasupport hadi ushoga wanadai ni haki za binadamu
@martinisadru9899
@martinisadru9899 2 месяца назад
Kama hujui vitu vingi usiwe una kurupuka, mbona alie andaa virusi va ukimwi ni mtu mweusi na mbaka sasa yupo hai, amesababisha watu zaidi ya 40,000,000 kupoteza maisha,, kwani nae ni mzungu? Hizo ni chuki za ubaguzi wa rangi. Aliegundua simu ni myahudi, na ndio unatumia hapo mtandaoni, mbona humsifii, na simu zimeleta maendereo makubwa duniani kote.
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 2 месяца назад
@@martinisadru9899 haya tupe elimu ndugu huyo mtu mweusi aliendaa vvu anaitwa nan na ilikuaje
@HassanhaidaryKamana
@HassanhaidaryKamana 2 месяца назад
Tutajie huyo muafrika aliyeanzisha ukimwi na maabara yake we Ndiyo Wa kwanza nakusikia Tangu nizaliwe wapende ww ha😂❤🎉😢😢 2:36 2:36
@zakariaabdalla-uo3nk
@zakariaabdalla-uo3nk 2 месяца назад
Washenx tu ao mungu atatulinda
@yassinmohamed8241
@yassinmohamed8241 2 месяца назад
Mbwaaa hawa viumbe vya ovyp kuwahi tokea duniani siwapendi hawa mbwaaa wanaitwa us marekan
@djsma255
@djsma255 2 месяца назад
Sikuzote muda uongea fqcts & logic
@godfreymwaipungu4932
@godfreymwaipungu4932 2 месяца назад
Ulitabiri hili mkuu wangu ❤
@bigowillythomaskayanda7763
@bigowillythomaskayanda7763 2 месяца назад
Sma nipo Unguja kwa Mchina hapa nakufatilia sana.
@RashidRajab-oz5ec
@RashidRajab-oz5ec 2 месяца назад
Hatudungi chanjo yeyote mmetuzoea vibaya
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 2 месяца назад
😂
@johnmike6059
@johnmike6059 2 месяца назад
Washenzi sana wanatengeneza magonjwa mapya kila siku ma ibilisi aya
@mussajuma7460
@mussajuma7460 2 месяца назад
ndio lengo lao hawa jamanaa
@FrancisJoseph-eb3ul
@FrancisJoseph-eb3ul 2 месяца назад
😢😢
@AbubakarMinya
@AbubakarMinya 2 месяца назад
Hatutaki chanjo jamani mbona munachuki sana
@bonfilsbigirimana3068
@bonfilsbigirimana3068 2 месяца назад
Awawatu nishida sana
@zephaniazacharia519
@zephaniazacharia519 2 месяца назад
Wameanza tena
@RamadhaniMohamedi-de2vc
@RamadhaniMohamedi-de2vc 2 месяца назад
Waongo sana kwani nyani wapo kwetu tuweni makini jamani viongozi wetu wasikubali kubali madawa ovyo.
@aboudijaaboudija
@aboudijaaboudija 2 месяца назад
kwahiyo wameona afrika watuuwe 😮😮😮😮hawa vipi
@MwanaHussein-s2n
@MwanaHussein-s2n 2 месяца назад
Haya kumeshakuchaa tenaa😂😂 Ata corona mlisema itakuwa kuwa hatari Zaid kwa wa Africa lkn ikawa kinyume chake😂😂😂
@Golanh4786
@Golanh4786 2 месяца назад
KAZI ya vyombo vya habari sasa itakuwa kutangaza hofu ya huo mchongo kila kukicha
@MasterVoltron-i7o
@MasterVoltron-i7o 2 месяца назад
Hawa jamaaa wanataka kutumaliza washenzi hawa
@AllaudinMeghji
@AllaudinMeghji 2 месяца назад
Yaani hii mijitu imeona Dunia Ina Amani Sana sasa wanataka kuiondoa😢
@heaven.love.foundation
@heaven.love.foundation 2 месяца назад
Wapumbavu sana
@StrongbowArrow2004
@StrongbowArrow2004 2 месяца назад
Waliona corona ilianzia kwao watu weusi tulijifanya atuogopi sasa wameamua kuanzisha huku huku afrika😢😢😢😢
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy 2 месяца назад
Wazungu wazuiwe kuja afrika
@EzekielKandonga
@EzekielKandonga 2 месяца назад
Kila siku Africa, kwanini sio kwao.Hawa ndio Mashetani wakubwa kabisa
@azizayassin3623
@azizayassin3623 2 месяца назад
Wherever kazi kutangazia watu ugonjwa lkn wameshindwa kufunga viwanda vinavyotengeneza nyama ya binadamu WHO ni wapuzi tu
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 2 месяца назад
Watu wanataka kupiga dili zao hapo
@AGATHALEKEY-q7e
@AGATHALEKEY-q7e 2 месяца назад
ukishakuwa na wasiwasi ujasiri unaondoka unaweza kufa hata kwa hofu tu!!
@Anthonyzombie-d2s
@Anthonyzombie-d2s 2 месяца назад
Hii Congo ina maradhi ya ajabu ajabu tu dah
@StevenMagema-ik2yt
@StevenMagema-ik2yt 2 месяца назад
😢😢😢 wazungu kila siku kutuletea magonjwa ili wapige pesa
@loyalforumtv
@loyalforumtv 2 месяца назад
Nyie ndo mnaowapotea na utalii wenu 😅😅
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 месяца назад
Hawa wano kula nyani na nguruwe na vibudu ndio wanaotuambukiza magonjwa wanakula uchafu sana
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 месяца назад
shida waafrika wengi hasa congo wanakula nyama ya nyani!!!
@corrolesscps
@corrolesscps 2 месяца назад
Na hiyo ndio shidaa, aNyani wana virus vywa kila aina, ni Raisi Binadam kubemaneter mambukizi, alafu huu ugonjwa wa Monkey pox, hautofautiani sana na Smallpox( ugonjwa wa ndui, nao ni Virus, ugonjwa wa ndui ulisumbua Dunia miaka mingi, na virusi vywa nyani navyo ni Mipele mipele kama ya virus vywa ndui vile vile
@salummassoud9876
@salummassoud9876 2 месяца назад
Apa nishaona kuna mpango wa kuletewa chanjo
@emanueluroki6160
@emanueluroki6160 2 месяца назад
Wahazabe wanakula nyani na awahumwi
@HeriDunia-i7m
@HeriDunia-i7m 2 месяца назад
nyani tumeishinao kwa miaka yote ila saiv ndo wawe na magonjwa wao wanawachukua nyani mbona awaumwi
@kibwamoko8767
@kibwamoko8767 2 месяца назад
DJ SMA Alishatabiri, alisema jiandaeni na PANDEMIC DISEASE nyingine inakuja baada ya CORONA. Ma sasa Mambo yameanza mdogo mdogo.
@TiosalverSalverdor
@TiosalverSalverdor 2 месяца назад
Yaleyale 😂😂😂😂
@khadi-z4o
@khadi-z4o 2 месяца назад
WANATAKA KUWAMALIZA WA AFRIKA WACHUKUWE WANALOTAKA. KWA7BU ULAYA HAKUNA NYANI
@malkiawagiza1327
@malkiawagiza1327 2 месяца назад
Siamini wanachosema hata kidogo, wataka kuuza chanjo zao tu na hali ya dharura ya afya ni kisingizio.
@somoeomar4861
@somoeomar4861 2 месяца назад
Iyo yote mwataka dunga watu chanjo hatutaki kadungeni huko congo lakini sio africa nzima jamani
@Pemba680
@Pemba680 2 месяца назад
Kongo imelaaniwa
@Golanh4786
@Golanh4786 2 месяца назад
Haya kumekucha mikopo ya chanjo Tena inaandaliwa,tunaandaliwa madani kila kukicha.
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 месяца назад
Washaanza wamemshindwa urusi wanatafuta cha kuwachanganya watu waende zao huko
@hatibumohamedi3471
@hatibumohamedi3471 2 месяца назад
Like jamani fest one sasa🎉🎉
@kombosalehe9787
@kombosalehe9787 2 месяца назад
Hivi Hawa washenzi kwani ulaya hakuna nyani? Au nyani wao Wana ELIMU ya afya
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 2 месяца назад
Hakuna kuuwa Nyani mbugani hao wanafki wanatengeneza watutawale kwa urahisi viongozi wetu msimame kwa ajili ya bara letu la Africa siyo kwajili yao
@exaudmphuru6172
@exaudmphuru6172 2 месяца назад
Hivyo ni visa vya wazungu tu. Namna ya kulimaza bara la Africa. Ila sisi tumekuwa wajinga wakukubali misaada ya wazungu. Mbona kipindi Cha corona Mzee wetu Magufuli aliwagomea hatukufa km wao. Tufungue macho
@rahmasalum1317
@rahmasalum1317 2 месяца назад
Mishenzi tu hii mijitu kaz kutia watu hofu magonjwa yakutengeneza
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 2 месяца назад
Washatengeza ugonjwa sasa wataka kuanza kutulaghai
@SamiaGullam
@SamiaGullam 2 месяца назад
Ni uongi hao WHO ni wachawi washindwe
@HeriDunia-i7m
@HeriDunia-i7m 2 месяца назад
tujitaidin kuomba kufunga kama mzee wetu magufuli alivyosema kipindi cha covid19 alaf tutafuten dawa ili tuendelee kuwaumbua akuna gonjwa lisilokua na dawa dawa tunayo
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 2 месяца назад
Ma mbwa hao waache uongo
@ibrahimasuleyman
@ibrahimasuleyman 2 месяца назад
Hizi zote ni plans ya UN mungu atawashinda Ameen
@aloycekomba1
@aloycekomba1 2 месяца назад
Alisema SMA sasa ndo masubi ajue DJ ni habar nyingine
@SamiaGullam
@SamiaGullam 2 месяца назад
Kenya wafisadi namba moja burundi uganda na Rwanda serekalu hizi hukubaliana na chochote ilimradi wale pesa ya misaada itakayo toka huko juu ili wabige dili 🤦 shame on you W.H.O and african politician
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 2 месяца назад
🥴🥴🥴 yote nivta Na politics you government plan to kill peoples 😢😢😢
@Godfreyolekidongo
@Godfreyolekidongo 2 месяца назад
Kila wakati wanatengeneza magonjwa khaaaaa! Baada ya Corona tena wametuletea hili!
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 2 месяца назад
Huyu kiongozi kibaraka anatumiwa hakuna kuogopa Mkubwa tumewachoka mabeberu kila siku wanakuja na mbinu mpya kutaka kuiba rasilimali .
@CantonaKunona
@CantonaKunona 2 месяца назад
Homa ya nyani name jizuia ila nmechekaa 😂 Tanzania ni inchi ya ahadi trust me guys ...ebora ilikuwa kongo had burundi Tz haijawai fika hata korona haijatusumbua sana Mungu yu nasi...❤😢
@jofreykilangila4118
@jofreykilangila4118 2 месяца назад
Tayali wamela magonjwa. Wanataka kupiga Hela
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 2 месяца назад
Ni vita nyingine ya kibairojia dhidi ya Afrika, hii ni baada ya Putin kutangaza kuilinda Afrika dhidi ya Mataifa ya Magharibi na Ulaya.
@michaeljuma254
@michaeljuma254 2 месяца назад
Wametengeza ugonjwa mwingine baada ya COVID na Cha kushangaza vyote huanzia huku Afrika tu
@Ethnicfm91
@Ethnicfm91 2 месяца назад
Walisema Pia Corona Ikifika Afrika Kitakuwa Kituo kipya cha Maambukizi watu watakufa wengi kwa sababu Hatuna Elimu,Maskini na Wajinga Afrika Lakini Cha Ajabu Mungu akatulinda Ingali walikufa Lakini sio Kama Wao. Na Kwenye Hili Mungu Atatulinda pia
@mdl6463
@mdl6463 2 месяца назад
Itakuwa wamejalibu kusaple kwa nyani ikashindikana sasa mnatutesa sasa AFRICA uwanja wa majalibio Mungu tuokoe
@kombosalehe9787
@kombosalehe9787 2 месяца назад
Hata tuuzieni chanjo
@eben_ezer8853
@eben_ezer8853 2 месяца назад
Wapigaji washaanza vile watatengeneza mamilion tafadhali msikubali hayo mavitu yao
Далее
진 (Jin) 'I'll Be There' Official MV
03:15
Просмотров 6 млн
Китайка и Пчелке Холодно😂😆
00:21
HISTORIA HALISI YA MWAFRIKA, WAZUNGU WANAYOIFICHA!
23:26
진 (Jin) 'I'll Be There' Official MV
03:15
Просмотров 6 млн