wouw .that's a nice interview for sure. umejibu kwa hekimaa sanaa.. Nakupenda Angel Benard. nyimbo zako zote ni nzuri na zina uwepo wa Mungu. keep going sis.. you're an international gospel music artist. nakuona mbali sanaa. ipo Siku ambao hawajakuelewa bado watakuja kukuelewa tu
wewe ni roll model wangu sister angel napenda kila kitu kwako unavyoimba unahekima sana katika kuongea na unamafuta siyo ya kawaida l love you my sister
I like this"unapofanya kitu afu mtu hakuelewi, kuna kitu ww unajua afu yy hakijui au yy anajua usichokijua ww"umejfunzia wap dada, hongera sana. Wimbo wako wa #Nikumbushe wema wako# nahs ulkuwa ujumbe wa MUNGU moja kwa moja kwa wanadamu....hongera mno, endelea zaidi dada.
The way i like your works.... so super and touching. that song 'YOTE YALIKWISHA' raised me in my whole teenage life av been growing listening to that song and get encouraged into the gospel life in christ. since then you have been my favorite gospel singer. the style you sing is AMAZIIIIING..... every day you come with a new thing that is more and more attractive. i remember last year when you released your song 'NI WEWE' every one in my office was calling me 'MAMA NI WEWE' the way i kept listening the song tirelessly. Seriously, YOU ARE A WOOOW. I LOVE YOU, I LOVE WHAT YOU DO FOR GOD. I LOVE THE WAY YOU TRANSFORM THE WAY US BORN AGAIN CHRISTIANS PERCEIVE. KEEP IT UP. AM YOUR FAN.
Angel, I have never watched u being interviewed, so this is my first time..and to be honest I like that wisdom, the way you respond to the questions and your perspective about life and the way u deal with real life situations..I want to believe that this is the REAL you, i mean the way u talk, reason, reply-the tone n the content n staffs (kwamba hata kwa le' hubby ni hivi hivi) and that this is not for the CAMERAS! Nimependa the attitude of accepting that there is always 'something that you don't know that someone else knows' n that to be the basis of what he/she does, with that attitude utafika mbaaaliii sanaa aiseee..for real..also, i have liked sana where u get the materials to believe as umesema....labda nijifunze au nielekezwe, THROUGH THE WORD OF GOD THAT THIS IS WRONG..aisee ni five to seven point five percent wana huo ufahamu actually EGO yao imekubali kuwa ''whether i love it or not THE WORD IS THE REALITY OF LIFE'' as PAUL said in 2cor 10:3-5.. bringing to captivity every imaginations and every high thing that exalts itself against the KNOWLEDGE OF GOD...TO GOD BE THE GLORY! Blessings!
Dada hata unkitenda wema watu watakusema,uko sawa kabisa wacha roho wa mungu akuongoze na uache watu wajudge just ignore them juu aal ppl can not accept you,be yourself as u said.God bless u.i love you and ur ministry
Unajibu vizuri,but napenda zaidi unapojibu kwamba .. Upo open kama ukijifunza jambo kutoka katika Biblia kwamba jambo Fulani si sahihi utaacha.Huyo ndio ukristo,kadri unavyokuwa karibu na Yesu unaongoka(badiliko +) jambo hili,lile hadi kufikia viwango vya kimbingu.No one is perfect,only God.Kumbuka uliko toka (Tom boy) na Leo ulivyo kesho pia hutakuwa hivyo ukiendelea kuwa karibu na Yesu.Ubarikiwe.
millard ayo mambo natamani sana kuwaelimisha watu juu ya mazoezi napenda ata kupata interview moja nawe nifatilie trainer kasim you tube acount yangu kama utaipenda utanicheki
Hao wana cheza na Mungu hakuna muimbaji hapo yeye akaimbe Bongo fleva Mungu afanyiwi mzaa na upuuzi kama huo hata wachungaji wanao unga mkono nyimbo za aina hizo akili zao aziko sawa wako kidunia zaidi, hakuna Mungu hapo bali ni ujinga mtupu
Meka up Na marangi hayo ya mdomoni Na manywele hayo vyote ni vya kishetani sema mahali ulipookokea hajakufundisha kweli yote kasome isaya 3:16-24 Na 1petro 3:3 Na 2 Timoteo 2;9 Na shuhuda ya mwijilist magreth ore mwasasu Na bint aliye kuwa wakala Wa shetani miaka kumi Na mbili