Тёмный
No video :(

Wimbo WA Moyo Mtakatifu WA Yesu kwamshangao tuwaze. John Maja 

John Maja
Подписаться 25 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Wimbo huu hutumika katika ibada za moyo Mtakatifu wa Yesu. ni wimbo mzuri sana pia kwa ajili ya kutafakari na umeimbwa na John Maja

Опубликовано:

 

9 авг 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@davidlelo6192
@davidlelo6192 11 месяцев назад
Amina
@amatongowi8464
@amatongowi8464 4 года назад
Asante sana kwa wimbo huu, Mungu akubariki uendelee kumtumikia na kumpenda siku zote za maisha yako. Nakuomba utuandalie ule wimbo wa kuabudu Ekaristi takatifu iliyowekwa siku ya Alhamisi na Yesu kristo mwenyewe kabla ya kufa kwake. Unao itwa "" Atukuzwe Mungu wetu sote daimaa litukuzwe jina lake takatifuuu.."". Naupenda sana pamoja na ule wa Sakramentii kuubwa hiyo twaheshimu uu kifudi na sheria ya zamani ikoomeshwe ee na hiyoo. Usisahau na hii apa""Asilegee ee Moyowe"" wa Kwaresma.
@JohnMaja
@JohnMaja 4 года назад
Asante nitajitahidi kufanya hivyo ila asiregee upo angalia vizuri utauona
@amatongowi8464
@amatongowi8464 4 года назад
Asante sana kwa kunijibu Mungu akubariki sana. Nimesha uwona lakini sauti yake ni tofauti na ile ya zamani nafikiri huu wimbo wa "asilegee ee Moyowe" utakuwa na sauti mbili tofauti ile nyingine naipenda sana kiongozi wangu. Ni likuwa nausikia nikiwa mdogo sana.
@stephentossi2626
@stephentossi2626 Год назад
Hongera sana Mwl Maja nabarikiwa sana kusikiliza nyimbo hizi
@Bilhagitonga
@Bilhagitonga 3 года назад
Naomba maneno ya wimbo
@josephshio4849
@josephshio4849 4 года назад
Vizuri sana
@revocatuspaul42
@revocatuspaul42 2 года назад
Ahsante baba Maja ubarikiwe
@JohnMaja
@JohnMaja 2 года назад
Amina Baba
@charlesmbunda6215
@charlesmbunda6215 5 лет назад
Nakukubali sn
@JohnMaja
@JohnMaja 5 лет назад
Amina asante kiongozi wangu tuendelee kuitazama Chanel yetu kusifu na kuabudu
@niyonkulubikuba8473
@niyonkulubikuba8473 3 года назад
Blessings 🥰
@vmmunene9018
@vmmunene9018 4 года назад
God bless you
@JohnMaja
@JohnMaja 4 года назад
Ooh thank you lord
@margaretoyugi7137
@margaretoyugi7137 4 года назад
KWA MSANGAO not MSHANGAO...is a deeper meaning
@veronicasamwel4251
@veronicasamwel4251 4 года назад
kiswahili n mshangao,, msangao n nini?
Далее
NYIMBO ZA KUABUDU EKARISTI TAKATIFU - 2024
22:56
Просмотров 51 тыс.
Big Baby Tape - Turbo (Majestic)
03:03
Просмотров 154 тыс.
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Просмотров 1,5 млн
Kwa Ajili Ya Mateso Makali Ya Yesu
23:55
Просмотров 252 тыс.
NASIKIA YESU WANIITA NA JOHN MAJA
5:12
Просмотров 119 тыс.
#Mix: Mkusanyiko Nyimbo za Mama Bikira Maria | Vol. 01
25:24
RAFIKI YANGU BWANA YESU - TRADITIONAL BY JOHN MAJA
6:16
Nyimbo za Mama Bikira Maria
18:45
Просмотров 112 тыс.
NYIMBO ZA BIKIRA  MARIA | Valeriana Mayagaya
38:00
Просмотров 85 тыс.
Big Baby Tape - Turbo (Majestic)
03:03
Просмотров 154 тыс.