Тёмный

Wimbo Wa NASA Tibim Uliniharibia nyumba 

Radio Jambo KENYA
Подписаться 420 тыс.
Просмотров 112 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 266   
@madamboss348
@madamboss348 7 лет назад
😂😂😂😂😂😂niokotwe Saudi nasa tibiim hunichizisha sana 💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💪💪💪💪💪💪💪👏👏👏👏👏👏👏team Saudi tibiim
@harrietkemmy8062
@harrietkemmy8062 7 лет назад
Lilian anyona hahaha hahaha intige gaki nakure kweli ndoa ndoano
@hahaahaha4858
@hahaahaha4858 7 лет назад
saudiii daaniii tena sana Wacha election ishe kwanza apapaswe ata kuja kukutafuta lakini c ja ona makoma hapo kwani aki dance ni baya
@rebeccahnyandika9793
@rebeccahnyandika9793 7 лет назад
Harriet Kemunto obogima nabuobuo ma sisyy kongi ekebago
@irenewanjikushinking8351
@irenewanjikushinking8351 7 лет назад
why you didn't punch that man nkt
@bethm6587
@bethm6587 7 лет назад
Lilian anyona 😆😆😆😆😆niokotwe China. waaaaaah ati NASA song imevunja nyumba😆😆
@naomimiriamkwendo543
@naomimiriamkwendo543 7 лет назад
Good morning radio jambo I love u n miss you guys.......aaaaaah tialala niokotwe Iraq...big up.
@zeitunstevenson6354
@zeitunstevenson6354 7 лет назад
Wololo! Nasa Tibiim......Gidi na Ghost, hii ndoa itarudiana after Aug 8.....he he, tialala aaaaa
@Awickowuodnyapala
@Awickowuodnyapala 7 лет назад
ZEITUN IRUSA umesema after 8 Aug ndo watarudiana? 😂😂😂😂
@classiccell9671
@classiccell9671 7 лет назад
hahahaha 😂😂😂😂😂 acha mimi ninase Dirhams huku kwa mwaarabu 😂😂😂tialalaaaa!!!!💃💃💃💃💃😂😂😂
@karanikevin5707
@karanikevin5707 6 лет назад
mtembei patanisho
@ruthmocks6973
@ruthmocks6973 5 лет назад
Kabisaa dubai oyeee
@lucylucy7909
@lucylucy7909 7 лет назад
Saudi ndaniiiii ..EVERYTHING NI NASA!!!!!
@ednahkerubo5169
@ednahkerubo5169 7 лет назад
Nasa nasa tialala heheheheheheh jamen Mungu wangu mpaka ndoa n nasa hahahahah mtanaswa till when
@justusmutemi9547
@justusmutemi9547 7 лет назад
hahahahahahaha!tialalaaaa bahrain pap viva ndaaaaaaaani kabisa NASA hapa
@JesusChristLovesUs4ever
@JesusChristLovesUs4ever 7 лет назад
If the meaning of the words of the song are evil...then innocent people will lose alot..people should be carefull and do research before welcoming the evil spirits into their lives without knowledge...Lord have mercy
@ilzabeth7417
@ilzabeth7417 4 года назад
Heeeee tibim Waaaaaaaaaaa hata Mimi karibu niaribike na hio wimbo
@kanyasicongo7918
@kanyasicongo7918 6 лет назад
Wakenya mnapenda kucheka na mnachekesha hongera
@agneskhakali2069
@agneskhakali2069 7 лет назад
mwanamke mang'aaa arudishwe kwao. hii ni kali
@linetwachiye882
@linetwachiye882 6 лет назад
Wimbo haiwezi haribu nyumba ya mtu style up u lady
@felistersmbaru8992
@felistersmbaru8992 7 лет назад
Tialalaaaaaa NASAtibim ndani kabisa 😘
@noreenitenyo7107
@noreenitenyo7107 7 лет назад
Tialala imeharinu nyumba lol hahahahahahaha!!!!joto ni mob huku Riyadh Aki we're melting
@mwariwanjeri9391
@mwariwanjeri9391 7 лет назад
noreen itenyo in riadh too , tuvumilie dada
@noreenitenyo7107
@noreenitenyo7107 7 лет назад
Joyce Mwangi inabidi swrthrt jikaze
@noreenitenyo7107
@noreenitenyo7107 7 лет назад
mama peku peku 😂😂😂😂 sweetie tulinaswa huku kwa waarabu Aki but mafii mushikila Bora riyal zimeingia
@mamapekupekupilipilimuwash9016
noreen itenyo yani we cha tu tuna nasa riyal na tuna naswa na joto lakini hatujali bora tunase riyal igweee hahaahahaha yani nimecheka
@mamapekupekupilipilimuwash9016
noreen itenyo bora watuache tunase hela bwana tuko radh kunaswa na warabu lakini nawao tunasa wanasa na riyal igweeeeeee
@stephenanyango587
@stephenanyango587 7 лет назад
You have a role to play! You must give your wife what she wants.
@sumiismail4764
@sumiismail4764 7 лет назад
Niokotwe Riyadh Naaaaasa wa naaaase kabisa Rao tosha
@ayadddd6040
@ayadddd6040 7 лет назад
😂😂😂😁😁😁😀😀nasaaaaa nawaget poa ktk oman ndoa jamiiiiii
@jacksonkimario1859
@jacksonkimario1859 6 лет назад
Ni noma saana jemen!!!!!!
@saramamu3040
@saramamu3040 7 лет назад
Mmmmmmh...Mambo ingine mnaweza kutatua nyi nyi wenyewe Kenya yote kumshangilia kanisa iko au guiding and counseling.
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 5 лет назад
HUYO SI MKE BALI NI KIDONDA, Huyu jamaa hampendi juu angesimamisha hiyo sarakasi haraka saaana
@gracendungu5860
@gracendungu5860 7 лет назад
NASA TIBIIM TIALALA hahaha wacha nicheke tu😂😂😂😂nomareeeeeeeeeeeeee
@domtella3507
@domtella3507 6 лет назад
Grace Ndung'u 😂😂😂😂😂😂😂
@wyclefgiftmwawughanga7741
@wyclefgiftmwawughanga7741 7 лет назад
Riyadh Tibiim...ata nimefundisha boss wangu
@juliejulie6063
@juliejulie6063 7 лет назад
jaman hii n kali imenasa hadi qwa ndoa hehe tialala qweli qweli😂😂😂😂😂😂😂😂
@happytimes9896
@happytimes9896 7 лет назад
NASA NASA nisiokotwe uko jamani ndoa ni balaa kwanza ukiwa shabiki wa radio jambo kipindi gidi n ghost huwezi ingia kwa ndoa tutegeeni fallen angles jameni Gidi mwambie angoje election iishe ndio wafanye patanisho
@faithkageka7785
@faithkageka7785 7 лет назад
Raila tosha for beingi President NASA tiblim mbele
@missxexykenya6028
@missxexykenya6028 7 лет назад
Hahaa huyu mwanaume ni kama hajui kucheza na wife wacha bibi hajienjoy lol...nasa tibiim
@sejerian
@sejerian 7 лет назад
I think she's a dancer lol
@sirajiali7493
@sirajiali7493 2 года назад
Kweli umenaswa.......
@merlymine5418
@merlymine5418 7 лет назад
Tibiim 😁😁😁😁ndoa pia nasa kali hiyo
@GoEunbeol_049
@GoEunbeol_049 2 года назад
Hii ni chama gani mtu huenda na Bibi?
@نايفالشمري-ط3د
@نايفالشمري-ط3د 7 лет назад
hahaha niokotwe hail mie josephine
@mwangolofrank5868
@mwangolofrank5868 6 лет назад
Waaaah.....hii ni nomareee
@bensonkalindera5817
@bensonkalindera5817 4 года назад
Ame nunua gazeti jioni
@josphinecherubet6846
@josphinecherubet6846 7 лет назад
NASA Tibiiim NASA Tialalaa NASA Ndaaani 😂😂😂😂😂😂
@silvesterngesa4222
@silvesterngesa4222 7 лет назад
Josphine Cherubet Hello Josephine. How is Rift
@josphinecherubet6846
@josphinecherubet6846 7 лет назад
Silvester Oduor hello,nikupoa kabisa
@myshylysh3554
@myshylysh3554 7 лет назад
Saudi tibiim 😂😂😂😂😂 na ni miluhya
@avisaa1448
@avisaa1448 7 лет назад
mysh lysh Mimi huyu hapa Riyadh.
@dianahandi35
@dianahandi35 7 лет назад
mysh lysh miluhya ndio nani?
@zainafwenah7751
@zainafwenah7751 5 лет назад
myshy lysh nko hapa shaghala wa iraq
@faithkiio385
@faithkiio385 7 лет назад
niokotwe saudi jeddah
@shigitau7548
@shigitau7548 7 лет назад
nasa tiarara 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hki mulee kicheko 😅😅😅😅😅😅tbt hehehhe
@princesseschriss6398
@princesseschriss6398 7 лет назад
Ati passwords ya nasa ni tialalaaa Oman danii
@muumbisdota5509
@muumbisdota5509 7 лет назад
princesses chriss uliniblock kumbe uko huku heheheee
@princesseschriss6398
@princesseschriss6398 7 лет назад
Muumbis Dota hello siz pole I use another fb acct
@metrinekhasandi6672
@metrinekhasandi6672 7 лет назад
NASA tibiim tialala.....nko Saudi Riyadh
@samuelmwasa.k.asammyboi8800
@samuelmwasa.k.asammyboi8800 6 лет назад
Hi Metrine
@whiteneyhoston9895
@whiteneyhoston9895 7 лет назад
Kenya yetu waa I wish nimekuwa Kenya nisikia hiyo tialala
@yasminneemayasminineema8893
@yasminneemayasminineema8893 7 лет назад
nasa safari hii itanasa kilakitu 😁😃😁😃mimi ntanaswa hapo saudi arebia tabuku ushindi ni nasa raila juu
@consolataakwabi7321
@consolataakwabi7321 7 лет назад
NASA tibim. .inaonyesha baba atashinda haaaaaa
@naimkangi6027
@naimkangi6027 7 лет назад
hahahaaa tibim tialala,mambo bad
@lucywambetsa2141
@lucywambetsa2141 4 года назад
Haaaaaaaaaaahaaaaaraila igweeeeeee.....igweeeee Nasa tialala
@janetwambua738
@janetwambua738 7 лет назад
Nasa round hii ya NASA kila kitu.
@bethm6587
@bethm6587 7 лет назад
janet wambua hii NASA sasa ni mbaya. kwani ni mtego wa panya.inanasa mpaka wamama
@kennzain4487
@kennzain4487 6 лет назад
What you listen is what you do,be careful for what you hear.
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 6 лет назад
Nasa tibimm... Igwe.. igwee wololooo niokotwe Qatar pwaaaa!!!
@cleanheart8560
@cleanheart8560 7 лет назад
Heeeee!!!...yarabi tialala yawa.Nawapata nikiwa hapa Saudi riyals .ndoa zimeanza kuvunjika na ndio bado hamjapata kiti.sasa itakuwaje miaka tano?
@gladykhadambi7585
@gladykhadambi7585 7 лет назад
Nice musupu
@wadantash8913
@wadantash8913 7 лет назад
Nasa wote baba
@cleanheart8560
@cleanheart8560 7 лет назад
Wadan Tash hahahaaaa@wadan
@shiksssraph6450
@shiksssraph6450 7 лет назад
Uuuuiiii NASA inanasa ata ndoa nawakienda Canaan kutakua aje
@gracewaithior1366
@gracewaithior1366 7 лет назад
hahaaa hiyo nibaya bibi mpangu ya kadu..alafu mzee 35 yrs 37 bibi kawaida y eye kiongozi wahiyo nyumba kuxema ni yeye
@labolabo8875
@labolabo8875 7 лет назад
kwani ghost anakaa wapi kenya hii penye hasikii hii song ya tialala
@mama22299
@mama22299 7 лет назад
ndiyo maana nasrmaga baba c mtu mzuri kila mahali ni lazima aharibu hadi ndoa hahahahaha NASA tibim !!!NASA inanasa kila area
@joelondongo7702
@joelondongo7702 7 лет назад
enes mwangi kwani baba ndio alimchukua wacha wivu wa ukabila wee
@evaevemayamei6874
@evaevemayamei6874 7 лет назад
😂😂😂😂NASA inanasa kila kitu
@eunicekwamboka1094
@eunicekwamboka1094 7 лет назад
NASA hawa.... tialala tiibim ... niokotwe gioto..... tuko pamoja
@lilianundisa3434
@lilianundisa3434 7 лет назад
😂😂😂😂 niokotwe Dammam
@zainafwenah7751
@zainafwenah7751 5 лет назад
Lilian Undisa madem Saudi, mimi kilinu liche ya kutoka Saudi haah Wacha hiyo ndoa ikae
@yakoobsuper6798
@yakoobsuper6798 7 лет назад
NASA tibim #10million plus caanan 1week tunaingia
@erickgiteya7726
@erickgiteya7726 6 лет назад
Ni uchungu sana mke akishikwa nyonyo mbele za mume.....
@kevohwapipelinetransami4351
@kevohwapipelinetransami4351 7 лет назад
hahahaha hizi chama walahi na song ya tiarara inastahili kuwa burned kabisa
@charlownomasanamathew5682
@charlownomasanamathew5682 6 лет назад
Hahahaaa noma sana meen
@lydiahnyabonyi2943
@lydiahnyabonyi2943 7 лет назад
Aki gidi umecheka mpaka unasahau number,nasa inanasa Kila mtu,tialala
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 5 лет назад
ULIKUA UMEKETI UKINGOJA NINI?
@makenagitonga4647
@makenagitonga4647 7 лет назад
ahahahaha....nasaaaaaaaa
@sahroshire3939
@sahroshire3939 7 лет назад
Kama imekuharibia nyumba yako unamwambia nano?
@mdajhare1748
@mdajhare1748 7 лет назад
tialala tibiim
@esthermaina5189
@esthermaina5189 7 лет назад
Hahaha....ati wanaenda na maboy
@vincentabuga8623
@vincentabuga8623 7 лет назад
Esther Maina hae Esther
@esthermaina5189
@esthermaina5189 7 лет назад
Hi too
@abdifatahali5789
@abdifatahali5789 7 лет назад
This guy ni bure kabisa.
@esthernzisa6284
@esthernzisa6284 4 года назад
Nawaume wakinda chama what do they do
@EStyle-xf1cb
@EStyle-xf1cb 6 лет назад
The best idea is langat to stop calling earlier before the program, should be a surprise to the other party when she or he directly received and answers the phone. who agree with me?
@marykirika5078
@marykirika5078 7 лет назад
nasa....nasa 😂😂😂😂😂niokotwe Oman ...
@happytimes9896
@happytimes9896 7 лет назад
Mary Kirika uko Oman side gani
@alicekimamo1664
@alicekimamo1664 7 лет назад
Mary kirika also niko hapa +968
@marykirika5078
@marykirika5078 7 лет назад
Happy times suwayq
@marykirika5078
@marykirika5078 7 лет назад
Alice Kimamo wapi
@alicekimamo1664
@alicekimamo1664 7 лет назад
+Mary Kirika Almarat
@mrNana-su2se
@mrNana-su2se 7 лет назад
Dar salaam NASA tialala
@lokoronasuma232
@lokoronasuma232 7 лет назад
watu wariadh saudia kam back to kenya tushague mzee tibiim
@ogollahjoseph3369
@ogollahjoseph3369 6 лет назад
Io ndo lyf kabisa
@rebeccahnyandika9793
@rebeccahnyandika9793 7 лет назад
waaaahh ka n ukweli jamaa anaongea bana wanawake wajiheshimu
@هديلالشمري-ن1ص
@هديلالشمري-ن1ص 7 лет назад
Hahaa! ata ndoa zinanaswa saudia niko ndani
@nzisakasau8234
@nzisakasau8234 7 лет назад
😂😂😂jamani hii NASA inamaneno....tusambazieni baridi....Kia kuwaka uku.....from riadh
@muthamikamaupianist8033
@muthamikamaupianist8033 7 лет назад
Suzzie Kasau Waah ndoa Zina mambo, kwa hivyo joto umekuzidia kama Mimi
@nzisakasau8234
@nzisakasau8234 7 лет назад
Kamau Francis.....Jay imewaka Hata waweza chroma maindi....ndoa siku hizi za Hitaji tu maombi...
@muthamikamaupianist8033
@muthamikamaupianist8033 7 лет назад
Suzzie Kasau uko Riyadh side gani
@nzisakasau8234
@nzisakasau8234 7 лет назад
Kamau Francis niko izdiar
@Sherl9
@Sherl9 7 лет назад
age is a number! mtuachishe
@dxbfd8156
@dxbfd8156 7 лет назад
niokotwe Bahrain, ngoma ya NASA vitu tibim
@christineajega8767
@christineajega8767 7 лет назад
Dxb Fd niokote Gudabyia karibu na Hoora
@dohrina4809
@dohrina4809 7 лет назад
Haaa, Gost nasa iinaskika hata outside country kwani we unaishi venus ! Niokotwe nikinasa.
@peternyakwaramouko4667
@peternyakwaramouko4667 4 года назад
Eti tibim tialala hehehe my god
@asiminana4097
@asiminana4097 7 лет назад
c wimbo wa NASA Tibiim umekuhariharibia nyumba, huyo mkeo ywa zoea M pango wa kando,coz kama ni Mara ya kwanza mbele ya macho yako,huyo alikua mshikakaji mwenzio .
@naomimogen8081
@naomimogen8081 7 лет назад
😂😂😂😂hii ni noma
@vincentabuga8623
@vincentabuga8623 7 лет назад
Naomi Mogen hae Naomi
@joshuamule4398
@joshuamule4398 5 лет назад
Utakuwa ngombe kiasi gani kuachilia bbi achukuliwe ukitazama
@timelessbeauty5677
@timelessbeauty5677 7 лет назад
ah! uongo tu ni vipi bb yako akaanza kucheza na mtu ukiwa
@rosemaryondeche5789
@rosemaryondeche5789 7 лет назад
aki kweli,uongo,na venye mabwana wana wivu,mmhu
@rahim3184
@rahim3184 7 лет назад
wacha nsungue hamam kwanza 😅😅😅😅😅😅😅
@nooproblem9171
@nooproblem9171 7 лет назад
ghost na kicheko aky .ahahaaaa
@carolinewangui6803
@carolinewangui6803 7 лет назад
hahahahaha.......mpaka ndoa zinanaswa
@sylviaashuma5815
@sylviaashuma5815 6 лет назад
gai jameni tuziharibu nyumba zetu qwa siaza.
@henryabuya
@henryabuya 7 лет назад
NASA tibim !!!!!
@madamboss348
@madamboss348 7 лет назад
nasa no joke 😂😂😂😂😉😉😉😉😉
@kingsdaughter7212
@kingsdaughter7212 7 лет назад
Niokotwe kwa ma fiency bed
@marahkibali8632
@marahkibali8632 7 лет назад
wololo niokotwe Alhada Riyadh
@florencegacemba5077
@florencegacemba5077 7 лет назад
Nasa Tibiim Riyadh
@susanchitala6677
@susanchitala6677 7 лет назад
Hahaha nasa tiaalaaa
@princessyvetteevedollyisma2586
😂😂😂😂😂😂Nasa wote tibimm
@mamapekupekupilipilimuwash9016
haahahahahahahahaahahah jamani nime cheka nasa nasa ina fanya kazi yake kunasa
@henryabuya
@henryabuya 7 лет назад
inanasa kweli
@mamapekupekupilipilimuwash9016
henry abuya wau kweli nasa sio mchezo
@mamitomamita6284
@mamitomamita6284 7 лет назад
niko jeddah mambo yanatupita tibiiiiim teleeleeeee nasaaaaa
@florencenduta3660
@florencenduta3660 6 лет назад
Never marry some older than u!!!ifn in the bible Adam was older the man MUST be older.iav listened to several patanishos where the man is young n it has never ended wel
@annemmbone8326
@annemmbone8326 7 лет назад
poleni aki NASA imenasa
@loisegitau4897
@loisegitau4897 5 лет назад
ni bibi mjinga sana, kwani hakuwa ametosheka raha, na wewe ungemkataza bibi yako aki behave hivyo. ama alikuwa na raha siku hiyo.
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 5 лет назад
Gidi uneacha huyu jamaa amalizie story. ati mke wake akatoka inje...........................jamaa akamfuata na ?????
@rosenjoki6972
@rosenjoki6972 7 лет назад
ati ni tialala
@artsfhshbs2511
@artsfhshbs2511 7 лет назад
Hahaha
Далее
Bwanangu Ni Mchungaji  Mwitu
20:53
Просмотров 106 тыс.
RAYVANNY - KWETU (Official video)
3:40
Просмотров 39 млн
Miekethano 11th-13th Oct 2024
7:56
Просмотров 292
JAGUAR'S PERFORMANCE
3:09
Просмотров 401 тыс.
GnG:PT:S03E15: Bwanangu hanitoshelezi kitandani
16:55
NASA Vs Jubilee Party Full Match Highlights
10:36
Просмотров 525 тыс.
Usifurahi Juu Yangu
6:00
Просмотров 10 млн
HARMONIZE- NIAMBIE ( BEHIND THE SCENE PART 1)
10:15
Просмотров 1,3 млн