Тёмный
No video :(

WOLPER ATOA YA MOYONI KUACHANA NA RICH MITINDO NIMECHOKA HAYA MAHUSIANO/ MANGE KIMAMBI 

Carrymastory
Подписаться 472 тыс.
Просмотров 72 тыс.
50% 1

WOLPER ATOA YA MOYONI KUACHANA NA RICH MITINDO NIMECHOKA HAYA MAHUSIANO/ MANGE KIMAMBI #JUKLINNE #wolper #RICHMITINDO #RICHIMITINDONAJACKLINEWOLPER #mangekimambi

Опубликовано:

 

19 мар 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 270   
@fatmaismail7683
@fatmaismail7683 4 месяца назад
Wolper bila kupepesa macho huwa nakupenda sana we ni mke wa ndoa ila unahekima sana we sio mropokaji Mungu atakutia nguvu na nakuombea siku moja uishi na amani ktk ndoa yako
@farajaishebabi8089
@farajaishebabi8089 4 месяца назад
Wanaozipambania ndoa Mungu awatie nguvu,hyo vita ni zaidi ya WW🙌
@user-yf6zu3xj4b
@user-yf6zu3xj4b 4 месяца назад
Hizi ndoa hizi Mungu ndio anajua maumivu tunayoyapitia kwenye hizi ndoa na hawa wanaume 🙌
@user-id8ys3lg5d
@user-id8ys3lg5d 4 месяца назад
Kunywa soda my.. yani hata ufanyaje matukio matukio tu
@lusiaMushi-rf6jt
@lusiaMushi-rf6jt 4 месяца назад
Ndoa ni ngumu sana ...
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 4 месяца назад
Bora hata wewe unamsimamo na ndoa yako,Siku zote chui hawezi kuwa Kondoa,chui atabaki chui tu,Songs Mbele Mumeo bado mdogo sanaaa,Shukuru Mungu umepata watoto ,
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 4 месяца назад
Wolper nimekupenda sana kwa majibu yako ya hekima, wewe kweli ni Legendary upo vizuri sana, kuanzia roho ,uzuri,hekima ,hata unapoongea umetulia, huna papara, even movie zako zote upo hivyo aunty. Hongera sana.23.03.24.
@ednakatunzi1290
@ednakatunzi1290 4 месяца назад
Haya mateso ya ndoa ni hatari kila familia, tuombe tu Mungu atulinde wanawake wote
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 4 месяца назад
Nmekupenda umeongea vizuri umenyooka hujataka kumpamba uongo Peace of mind is everything
@rosehaule6765
@rosehaule6765 4 месяца назад
Kuingea inaponya dear❤ Mungu ni.mwema.mtakuwa sawa polee
@hawababy120
@hawababy120 4 месяца назад
Pole sana da wolper Mungu Awe nawewe zaidi nakupenda unavo nyooka kwenye maelezo!!
@justinampanga6854
@justinampanga6854 4 месяца назад
Pole mwaya wanaume ndo mambo yao uaminifu baadhi yao ni ndoto, mwombe Mungu akipe hekima usiseme mengi kwenye media, ndo unazidi kumpoteza mapeturi watamdaka❤
@BeatressRobertson
@BeatressRobertson 4 месяца назад
I love you My mdogo Wolper Mungu akupe nguvu na Umri mrefu. Wachaga hatulii hovyooo mbele za watu.
@chariedecute8200
@chariedecute8200 4 месяца назад
Wolper polee sanaa ila kuna sisi wanawake tuwe tunajiombea sanaa na kujitafakari sanaa coz na mama yangu mdogo n mzuri sana ukimuona kim uyu apa but kipindi yuko na miaka ya 20-28 jmn alikuwa anachukua wanaume wenye hela pengne anajua na hajui n waume za watu ila anafanya kusudi saiv kaolewa mume wake kuna mtu amemshika uko analia kila siku wakat yeye alikuwa anasema uyo mke wake namkomoa anajiskia sana yuko ivi yuko vile mama wa watu anampigia cm na kulia aachane na mume wake anamjib vby saiv yanamrudia analia na kuona anaonewa ila malipo yanakuwa hapahapa duniani tujutafakari njia zetu watoto wa kike
@estermathias8354
@estermathias8354 4 месяца назад
Nikweli sio vzr.lkn wolpa alikua anachukua wadogo ambao hawajaoa lbd kama tusiyoyajua
@ElianaBashweka
@ElianaBashweka 4 месяца назад
Umeongea ukweri Mungu akusaidie,, Usijipe mawazo kisa baba mzima uyo Mwishowe uache watoto yatima piga kazi Mama p, nimekupenda Buree, Lea watoto achana na viruka njia❤❤❤
@user-ct3kz3rq1q
@user-ct3kz3rq1q 4 месяца назад
Kumbe uko mwanamke mwenye Akili nzuri
@user-qh2bx5em6j
@user-qh2bx5em6j 4 месяца назад
Pole Mum kila ndoa ina changamoto. Tumuombe Mungu atupe uzima tulee watoto
@salmakasim8390
@salmakasim8390 4 месяца назад
Anajikaza sana anatamai hata kulia pole mam mungu akupe nguv
@FatumaIssa-kw3vv
@FatumaIssa-kw3vv 4 месяца назад
Nimeumia sana Allah akufanyie wepesi
@missmoona4497
@missmoona4497 4 месяца назад
Hapa zamarad unalakujifunza, maana sio kwazile sifa unazomsifiaga yule bb wakat unamagumu anayokupitisha. Nampenda wolper anavyo nyookaga hana makando kando kanyoooka.
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 4 месяца назад
Kbsaa yaan,,anataka kutuaminisja kuwa hana magumu anayopitia kwenye ndoa yke wakat wanaume ndo hawahawa🥲
@estermathias8354
@estermathias8354 4 месяца назад
​@@user-uj5wg9mm2tsio wote asee.
@mxofmfk8406
@mxofmfk8406 4 месяца назад
tatizo nyie mnapenda kusikia tu watu wana matatizo na ndio inakuwa furaha yenu (hasa nyie baadhi ya wanawake mlio na wivu wa maisha ya watu). Namshauri Zamaradi aendelee kukaza hapo hapo ili muendelee kukasirika na maisha ya watu wapuuzi nyie
@gladnesswilliam3688
@gladnesswilliam3688 4 месяца назад
Hizi ndoa jaman achani tu hasa mtu akiolewa na mwanaume mpole ambae siyo muongeaji then mwanamke akawa muongeaji sana siku zote huwa wanaonekana wanawake ndo wanashida kumbe ogopa sana mwanaume mkimya nyie mmmh 😥😥 wanamakucha marefu hao ,,Wolper namuelewa sana
@AniaSawaki
@AniaSawaki 4 месяца назад
Kbsaaaa ..ndomaana mm bora nipate chakaramu tu mwanaume mpole namuogopa sana
@jeedymasoud4269
@jeedymasoud4269 4 месяца назад
Umeongea vizuri sana sana. Pokea mauwa yako. Si ndoa tu hata mahusiano hayatakiwi kuanikwa hadharani( mambo yenu)
@miruhongin
@miruhongin 4 месяца назад
Dada mungu yupo na wewe be strong ? Sisi wana damu aturiziki mungu awa saidie wewe na mume wako muwe sawa
@ernestmavoa
@ernestmavoa 4 месяца назад
Pole Sana nashukuru kwa hekima ulio nayo mungu akubariki sama
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 4 месяца назад
Ndoa inaweza kykutoa roho kamuulizeni diva😂
@user-yg8yo3ul8h
@user-yg8yo3ul8h 4 месяца назад
Nikwer kabisa dada wolper mungu azidi kutulinda wanawake tunapitia magumu sana kwenye ndoa kiukwer
@syliviasimon8415
@syliviasimon8415 4 месяца назад
Nakupenda sana na nakukubali sana dadangu big up
@salmakasim8390
@salmakasim8390 4 месяца назад
Mji una mambo huu jamani pole kwake wolper mungu akupe nguvu za kujisimamia na kulea wanao Namuelewa sana uyu dada wanaume wana changamoto sana 😢
@shikokanjora1493
@shikokanjora1493 4 месяца назад
Nakupenda sana daaa wolper❤❤❤❤❤
@misspmbuta8008
@misspmbuta8008 4 месяца назад
Safi sana nimekupenda sana mwanamke mpambanaji
@Awaasha-cn6bx
@Awaasha-cn6bx 4 месяца назад
MwenyenziMungu akupe uvumilivu angallia watoto wako sasavi kuna mambo mengi sana iwe ndoa iwe mahusiano ni changamoto
@user-zw6xv1vt1p
@user-zw6xv1vt1p 4 месяца назад
Kweli my Kila kitu uvumilivu
@rehemayona2223
@rehemayona2223 4 месяца назад
Na pete haipo tenaa jaman. Pole dr
@user-vk8cz4ph6p
@user-vk8cz4ph6p 4 месяца назад
Pambana na kizazi chako ❤❤❤ unamsimamo mzuri sana❤❤
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 4 месяца назад
Mungu akutunze sana Wolper. Unajibu vizuri mno.
@user-uw5yk3lk7g
@user-uw5yk3lk7g 4 месяца назад
Daaah kweli mchaga mwenzangu unahekima Sana ubarikiwe my love wolper
@user-oi2lm3bk8r
@user-oi2lm3bk8r 4 месяца назад
Sio Kila jambo anaweza kuongea Kila kitu mwacheni tunaelewa sisi wenye ndoa
@user-pd2ib7kj4w
@user-pd2ib7kj4w 4 месяца назад
Wolper comedy umeanza lini🤣🤣🤣eti nimepigaje hapo..!? Nililewa🤣🤣🤣
@dork8749
@dork8749 4 месяца назад
Dada shukuru Mungu Ndoa ninchangamoto sana sasa hivi. Ishi maisha yako zaidi leo watoto wako kwa maadili mazuri ya kimjua Mungu sahau yaliyopita. Mungu yupo utatoboa tu
@latifahaliphonce8495
@latifahaliphonce8495 4 месяца назад
Very strong woman hongera 👏👏👏
@user-kk7ck1ph7c
@user-kk7ck1ph7c 4 месяца назад
Nakupenda Sana mama p ww ni mwanamke unae jitambua ❤❤❤
@shirfadigubike7920
@shirfadigubike7920 4 месяца назад
S
@NeemaSalum-dx4pd
@NeemaSalum-dx4pd 4 месяца назад
Nimekupenda.sana.mkweli
@user-eo4hd8xu6d
@user-eo4hd8xu6d 4 месяца назад
Dah 😢😢😢mpk pete kavua ndoa hizi ,,, nilidhan pekeangu nateseka .
@user-dy9ht1on7y
@user-dy9ht1on7y 4 месяца назад
Tuko wengi
@floramsacky3929
@floramsacky3929 16 дней назад
❤ nakupenda unaongea fact sana dear ila ndoa ni agano la mwanadamu na MUNGU, na alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe
@noelakidara427
@noelakidara427 4 месяца назад
Nimekuelewa vizr mnooooooo
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 4 месяца назад
Ndoa zina mambo mengi sana jamani.
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 4 месяца назад
Wolper nampenda Sana ni Malkia wangu wa Nguvu Mama mpambanaji ❤❤
@3Dshoez
@3Dshoez 4 месяца назад
Nyie nyie usitamani maisha ya mtu insta kumbe watu hawapo sawa kuanzia mwezi wa 6 😢😢😢😢
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 4 месяца назад
Daaaa aise pole sana wewe ni mama na nusu hongera sana usivunje ndoa yako lea watoto mama bado wadogo Sana pambana achana nao hawa watoto wadogo
@user-rj4cd7oc4x
@user-rj4cd7oc4x 4 месяца назад
😂😂😂ety nime pigaje hapa ebu niambie umepigaje hapo😂😂😍😍😍🥰🥰😘😘
@user-uw5yk3lk7g
@user-uw5yk3lk7g 4 месяца назад
Nakupenda Sana wolper
@mwasitigervas2624
@mwasitigervas2624 4 месяца назад
Ulisema mme wako hawezi kuchit na ukasema mkikosana tasema naona mda umefika tutasikia mengi❤ polee
@Lily-rn6xc
@Lily-rn6xc 4 месяца назад
Unakumbukumbu sn
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 4 месяца назад
Ur very Right my Dear Wolper.. and ur very beautiful.. na watoto unao..ndicho kikubwa ulichokua unataka haswaa
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 4 месяца назад
Dah walper nimekuelewa vzr sana,,,wanaume hawa wanatutia aibu sana jmn,km me Bora nikae kimya nisije nikawamslizia bando Kwa changamoto zangu
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 4 месяца назад
Hata Mimi sitaki kusimulia nilingia kwenye ndoa nikitegemea nikaa na mumewangu mpaka tuzokane ila sivyo nilivyo tegemea, atembea mpaka na mahosigeri,ndugu zake
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 4 месяца назад
My dear me mbk mimba alimjaza msichana wang ndan Tena alikuwa ni mtoto wa mama angu mdg kbsaa😭😭😭cna hamu mm
@fatumamaro8726
@fatumamaro8726 4 месяца назад
​@@user-uj5wg9mm2twah 😮 pole mwenzangu
@btylove1870
@btylove1870 4 месяца назад
Pole sana na mitihani ya ndoa Mungu akuongoze in shaallah 🫂💕
@btylove1870
@btylove1870 4 месяца назад
Mungu wangu😳🙆‍♀️​@@user-uj5wg9mm2t
@user-hq2et5cb4y
@user-hq2et5cb4y 4 месяца назад
Walah kwa wanawake wote bongo huyu wolper she is ever mature.yaani interview zake mtuwekee vizuri tutazitumia ndoani mwetu
@SweetieNadia-fb2ut
@SweetieNadia-fb2ut 4 месяца назад
Wolper nakupenda bule❤❤❤❤
@graceanyungu2774
@graceanyungu2774 4 месяца назад
Wolpper love you be strong always
@work24onme
@work24onme 4 месяца назад
❤️ ya J W, Mwenyezi Mungu akusimamie 24hrs , Linda watoto na Lea kwa utakatifu, wewe ni mama na ni Mungu wa pili, Amen 🙏🏼 @onme_unity GREETINGS FROM EUROPE, ONE ❤️
@vero57
@vero57 4 месяца назад
Mpeleke nyuki kama wale wakenya aliye kuibia mumeo wolper, pole sana dear, nawewe tafuta bwana ndiyo dawa yao hao wanaume , muite mchungaji aunt wolper
@IssaIddi-vb9yi
@IssaIddi-vb9yi 4 месяца назад
Pole sana nimekupenda sana umenyooka inaonekana mume uliye naye bado ajamaliza ujana
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 4 месяца назад
Jmn hii caple naipenda saaan jamn
@suzanejacobo6910
@suzanejacobo6910 4 месяца назад
Ninachokupendea ww ni mkweli.
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 4 месяца назад
Mungu aingilie kati jmn muishi km mwanzoo
@btylove1870
@btylove1870 4 месяца назад
Mmh pole sana Wolper! Ndoa za bongo uwe na roho ngumu haki.
@zubedamagambo8139
@zubedamagambo8139 4 месяца назад
Mungu akusaidie mamii.
@lightouma477
@lightouma477 4 месяца назад
Yaani huyu dada ni mrembo sana mungu awatunze,msiachane mamy ndoa zimejaa kurupushani,mumeo akikucheate usimuache pambana nae mlee watoto wenu
@athumanimanzabay1894
@athumanimanzabay1894 4 месяца назад
Kweli wolper umekuwa unajielewa saana big up dadaake 👏
@anosiata8242
@anosiata8242 4 месяца назад
Pole sana mdogo wangu .
@user-co9wh1lv5t
@user-co9wh1lv5t 4 месяца назад
The meaning of being matured❤
@floramark8751
@floramark8751 4 месяца назад
Hongera sana ,,,una IQ kubwa sana .ishi miaka mingi❤
@elizabethjeremiah8323
@elizabethjeremiah8323 4 месяца назад
Yaan jinsi ninavyo kupenda sipend uumie
@marynderu4619
@marynderu4619 4 месяца назад
Pole mama p
@njuka3515
@njuka3515 4 месяца назад
Pole dear fanya yako aikrudi Sawa asiporudi sawa
@maryberege3093
@maryberege3093 4 месяца назад
Hebu vuta picha utazame nyuma ulipotoka na angalia mbele jinsi gani Mungu alivyo kushangaza mpaka ukapata 2 bby. Kaa chini utafakari maana mambo ya ndani huwa yanazungumzika mkiwa wawili ndani. Be careful usiwape faida watu wajue ya uvunguni mwako. Ninakupenda
@resacproducts
@resacproducts 4 месяца назад
Wewe ni mwanamke wa nguvu Mungu akutie nguvu sana
@user-cb2us2nu2m
@user-cb2us2nu2m 4 месяца назад
Wolper umekuwa sasa
@user-id8ys3lg5d
@user-id8ys3lg5d 4 месяца назад
Ndio..ila nae alikuwa nahao wanaoitwa mume wamtu.. kulia kupokezana😂😂😂❤
@mkundemosha1046
@mkundemosha1046 4 месяца назад
Duuuh sawaa dada. Ila nmeumia
@marianakamb-fg7sk
@marianakamb-fg7sk 4 месяца назад
Daah ndoa ndoano.. Na kumbuka kwenye harusi ulivo apa kwamba mumeo hata atoke asubuhi na kurud asubuhi bado atabak kuwa mumeo😢😢😢
@ShamsaAbasi
@ShamsaAbasi 4 месяца назад
Yani wanaume tu nawaogopa bora tuendeleetu kuwa masingo madha Hawa viumbe Wana boa Sana yani
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 4 месяца назад
Usipo kfaaa na stress , depression bas litakuua na mapanga😢
@kinanaissango3492
@kinanaissango3492 4 месяца назад
Kwa kweli mama let us be single ❤
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 4 месяца назад
Ndoa zinachangamoto kweli ila za wasanii ni Saana dhidi ya saaaaanaaa
@user-bv5ch6kw9m
@user-bv5ch6kw9m 4 месяца назад
Dada nakupenda sana unajielewa
@mwajumaomary5935
@mwajumaomary5935 3 месяца назад
Mm sielew nikuolewa nakijana au nawatu wazima ndowako ivo jamani kunawengne tangu waolewe au waowe wanapendana sana jamani hadi unatamani kuolewa muda huo
@user-jg8yq8pm2y
@user-jg8yq8pm2y 4 месяца назад
Yani wandishi mungu anawaona mnajua uyo dada anajikazatu lakini anatamani kulia kumbukeni kuwa ni baba wawatoto wake na mazoea mabaya asha zoea wanakaa wote na family yake wanakura wanafrah saiz anapitiatu maswari magumu Kwa watoto😢😢 ndoa ningumu sana mambo ayo yakawaida ludisha nafsi musonge mbere mbona watu mitaan tunapambana nayo utofauti nikwamba sisi sio mastaa mambo yetu yaishia kimtaa❤usijali mungu yunawe
@mwaminindayishimiye3149
@mwaminindayishimiye3149 4 месяца назад
Ndoa zina changa moto nyingi❤❤❤❤ nakuelewa Wolper nimeya pitiya emo achaa tuu😂😂😂
@janethngowi1058
@janethngowi1058 4 месяца назад
pole na hongera pia!
@user-xe3qj4pz6u
@user-xe3qj4pz6u 4 месяца назад
Wanaume wa kiafrica km hawajachepuka wanaona hwajakamilka hawajui mapenzi kabisa yani ni walemavu wa mapenzi cjui wanataka nn
@user-id8ys3lg5d
@user-id8ys3lg5d 4 месяца назад
eti my labda ndio hulka tu
@adbellar338
@adbellar338 4 месяца назад
Uzuri wakija kua kwenye ndoa hawa wa binti wana anza kusema ninge jua ninge jua. Unachofanya sasahivi ikija kufanyika kwako usiweweseka VUMILIA. Kwasasa enjoy tena sana siku ikifika vumilia na wakwako.
@KidNgoni
@KidNgoni 4 месяца назад
Mlemavu bibi yako😢😢
@user-id8ys3lg5d
@user-id8ys3lg5d 4 месяца назад
Wewe utaniua kwakicheko bibi kajaje kwenye hii mada
@lovelynnadia7238
@lovelynnadia7238 4 месяца назад
​@@KidNgonilime kugusa au?
@user-ij2po2jw2f
@user-ij2po2jw2f 4 месяца назад
Nakupenda sana Dada Kama unaniitaji niwe mdg wk
@IANA2030
@IANA2030 4 месяца назад
Sincerly speaking I can never live in a toxic marriage/relationship NEVER EVER!!!!!
@celinemtui8795
@celinemtui8795 4 месяца назад
Nimesoma hiz comment nlihis mm ndo natesekaga mwenyeweee kumbe tupo wengi😢
@SarahElias-kv2fu
@SarahElias-kv2fu 4 месяца назад
😅😅😅😅😅
@CathyPeter-zu1jw
@CathyPeter-zu1jw 4 месяца назад
Watanzania punguzeni uchawi yaani mtu akiolewa tuu au akioa mnaanza uchawi waachane ogopeni Mungu.😢😢😢
@user-iq7gq7mn7u
@user-iq7gq7mn7u 4 месяца назад
Worper dadaangu we ni mkwel sana kipenz pole mamaangu ndoa hiz
@leoniammasi6634
@leoniammasi6634 4 месяца назад
Pole kipenzi yaan
@user-ef4fb6fz3g
@user-ef4fb6fz3g 4 месяца назад
Nakumbuka alisema kwenye interview Moja ivii siku nikiachwa au tukoachana ntasema size ficha
@satobuzelengule3304
@satobuzelengule3304 4 месяца назад
Nakukubali worper nanimkweli sana nakupendaaaa
@anithiajohn9209
@anithiajohn9209 4 месяца назад
Nimelia sanaaa jinsi kumbe ndoa ni ngumu kias iki😢😢
@ashaidei5680
@ashaidei5680 4 месяца назад
Come here my sis, kwenye watoto nimekupenda kaa kimya achana na huyo superman.
@Fx_expertmoneymaker001
@Fx_expertmoneymaker001 4 месяца назад
Na kama aliongea akiwa amelewa, bas alikua anampenda sana. Ujue pombe inaongea ukweli.. ❤❤🎉
@azizayassin3623
@azizayassin3623 4 месяца назад
Mama p nakupenda kila cku
@doreenjoseph26
@doreenjoseph26 4 месяца назад
Kama dada yangu ndoa yake tu imemshinda me ni nani ni force mapenzi na huyu kiumbe hapana acha nitafute hela tu 😂
@mwanamkeshujaabongoflavama7180
@mwanamkeshujaabongoflavama7180 4 месяца назад
Wanaume ni unpredictable, hata uwaenzi vp, viumbe waso tosheka mpaka waki pata chaku pata ndo pale, na sisemi wanaume wote lakini ni asilimia kubwa ndivo walivyo
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 4 месяца назад
Ni ss wanaume wote wala usipepese maneno wanaume ndivo tulivoumbwa
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 4 месяца назад
Pole wolper jamani pole mumy❤
@user-bg8yg4dg3z
@user-bg8yg4dg3z 4 месяца назад
Shikamoo ndoa.
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 4 месяца назад
❤❤❤ Jackie
Далее