Тёмный

Yanga 5-0 KMC | Highlights | NBC Premier League 23/08/2023 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 394 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 120   
@JulietKelvin-uk2om
@JulietKelvin-uk2om 2 месяца назад
Jamani sio uwongo pacome na azizki ni mafundi❤❤❤❤
@nasraahmad-3703
@nasraahmad-3703 Год назад
Faida ya kuchukua mafree agents ndo hii.. Endeleeni na nyoko nyoko zenuu 💛💚💛💚💛💚
@khatibrashid6666
@khatibrashid6666 Год назад
Azam TV Azam TV Azam TV. Nmewaita mara tatu kwaheshima. Izi highlight ni fup sana tunakosa burudan
@shabanimamu2850
@shabanimamu2850 Год назад
Azamtv highlights zimekuwa fupi sana fanyeni malekebisho
@KaizaMsigala-kj4un
@KaizaMsigala-kj4un Год назад
Kweli kabsa mbn mwaka Jana haikua ivoo
@Amiltonmichael
@Amiltonmichael Год назад
Hio ni mbinu ya kiuchumi bro ili ulipie kifurushi au ikaangaliwa azamtv,Ndo biashara inavyofanyika duniani kote..so upoe tu
@karimmarcelo7164
@karimmarcelo7164 Год назад
@@AmiltonmichaelKwani wakiweka 15 min utakuwa umeangalia game yote ?? Vp Hapa RU-vid hawapati pesa uki view ?? Waache uvivu bhana
@jay-nyeye1900
@jay-nyeye1900 Год назад
Hakunaga highlight ndefu fuatilia online tv zote
@bongotvonline4883
@bongotvonline4883 Год назад
ADITOR wakati unafungua video, make sure unaandaa intro oudio kwaajili ya clip za kufungua game. Yaani usiungeunge video na audio zake, chukua audio moja ya ufunguzi inayoelezea vizuri hiyo mechi then ivandike kwenye video za ufunguzi... Alafu game inapoanza endelea kama hivi unavyofanyaga. Kwenye intro maneno yanasikika nusu nusu, hayapendezi.
@allymagesa4431
@allymagesa4431 Год назад
Yanga Raha sana
@AbeidMkumba
@AbeidMkumba Год назад
Ni kweli dk ndogo sana yaan
@Alex-c1m3o
@Alex-c1m3o 7 месяцев назад
Safiiiii sana wananchi
@kraymeskwimba3454
@kraymeskwimba3454 Год назад
Highlights fupi saanaa, Hazifaaai
@budodianthony8094
@budodianthony8094 Год назад
, YANGA AFRICA
@msafiblog
@msafiblog Год назад
Highlight hizi ndo nzuri maanq hata ulaya wanaweka dakika 2 zikizidi sana dakika 4
@nestorymapunda-f6b
@nestorymapunda-f6b Год назад
Teps evans ana maishaa malefu apo kimc mwkn yang 💚💚
@novaelias5010
@novaelias5010 Год назад
Azamu kaishaanza loho mbaya sanaaaa
@aronjonathan3297
@aronjonathan3297 Год назад
Yanga Raha jaman
@HusseinMustapha-n2n
@HusseinMustapha-n2n Год назад
😂😂😂yanga noma
@juliusfesto9251
@juliusfesto9251 Год назад
Highlight zenu zimekuwa fupi Sana mnazingua kinoma yan
@LJSheffRBLX
@LJSheffRBLX Год назад
amazing content keep it up
@ladislaus799
@ladislaus799 Год назад
Azam sijafrahia highlight ni fupi sana yanga sisi siyo wanyonge bwana
@ibrahimhamis3680
@ibrahimhamis3680 Год назад
Kwa nn azm tv mmekuwa wachoyo kiasi hichi utazani mnatununulia MB acheni uhuni
@boazbilago5862
@boazbilago5862 Год назад
Hahahaha et bwana
@mickdady1461
@mickdady1461 Год назад
Azam mnazingua sanaaa dakk 7😢😢😢😢
@rajablyoka908
@rajablyoka908 Год назад
co kdg mwanang wanafeli
@kingmalcom4046
@kingmalcom4046 Год назад
Turudishieni highlights za dk 20 bhaaaana azam Tv
@raisiwayanga9311
@raisiwayanga9311 Год назад
Azam wahuni sana mchezo mzur hule highlight dk 7 jinga kabisa
@josephkisaka1494
@josephkisaka1494 Год назад
Azam TV tafadhari wekeni highlights walau dakika kumi na tano
@lizashagilliard2336
@lizashagilliard2336 Год назад
Azam mmepatwa na nini mbn mwanzoni mlikuw mnaweka highlits dk 18 sasa hv dk 7 mmmh
@willysilwamba7465
@willysilwamba7465 Год назад
Yaan mnazingua kweli kutoka kwenye dk 23 mpaka dk 6 kuweni siliasi bas wengine huwa ndo tunaangalia izo
@HamisMwamba-zz3po
@HamisMwamba-zz3po Год назад
Amaz tv wanaambiwa klasku lakin hawatak kuongeza dk
@googleus4903
@googleus4903 Год назад
ALIYEMPIGA NGUMI MUDATHIR SIO MUUNGWANA NA HAFAI KUWA MCHEZA SOKA, ACHUKULIWE HATUA ILI KUKEMEA VITENDO VYA KIHUNI KUENDELEZA SOKA LETU KIUJUMLA
@menyekivuyo7540
@menyekivuyo7540 Год назад
Magoli wa mchongo jamani kama unajua hizi ni magoli sa mchongo gonga like hapa twende pamoja
@paulkidula1663
@paulkidula1663 Год назад
Ni ya yanga sio ya simba🤣
@Muttajr
@Muttajr Год назад
Wewe ndo wa mchongo
@fredikigodi4372
@fredikigodi4372 Год назад
akilizako ziko mkunduni
@JuniajuniorMaikoprosper
@JuniajuniorMaikoprosper Год назад
Kwani umeninunu lia credit ndo ni like
@menyekivuyo7540
@menyekivuyo7540 Год назад
Azm TV wacheni utani mnaanza ukoraaa
@QueenAngel-zh9st
@QueenAngel-zh9st Год назад
Azam acheni roho mbaya tunaweka mb ili tuangalie maludio ila mnachotufanyia mungu anawaona ndo nini sasa mnatuwekea mechi ya dakika90 Kwa dakika 5 😢
@jofreymwile1986
@jofreymwile1986 Год назад
Me kusema ukweli naona imefika muda sasa wa azam tv kuondoa ili neno la burudani kwa wote kusema ukweli watu wa youtube burudani mnatunyima mechi ina magoli matano highlights dakika 7 azam tv amtutendei haki watu wenu wa youtube kwakweli
@shaibusaidimusa240
@shaibusaidimusa240 Год назад
Jamani AZAM TV Mbona high light ni fupi sana!😢😢 wengine tunakosa muda wa kucheki mpira muda mwingi tunakuwa kazini.😮
@JuniajuniorMaikoprosper
@JuniajuniorMaikoprosper Год назад
Kweli kama mim nipo 🇰🇪✔254
@stephanocornely130
@stephanocornely130 Год назад
Naona Mudathir anapigwa ngumi hahahaaaa bongo raha sana
@alicenice1711
@alicenice1711 Год назад
Langoni kwetu pangebaki wazi tuu ,metacha ame relax balaaa😂😂
@bunyonyatv4454
@bunyonyatv4454 Год назад
camera mbovu highlights fupi au mmechoka na kazi yenu
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi Год назад
Haya wakikaribia kushuka daraja wasimwite Julio hawa vijana wanaleta uhuni wa kwa manyanya kwenye ligi
@Dokson5817
@Dokson5817 Год назад
Azam mnatukosea watu wenu. How can you put 90 minutes in 7 minutes?Mnashindwa kufanya hata dakika 20 au 15. Acheni roho mbaya. Kwa hali hi na unsubscribe. Sioni cha kufuatilia hapa
@seifmiraji43
@seifmiraji43 Год назад
Dk 7 kidg sana mb hamtununulii nyinyi
@marynoel9574
@marynoel9574 Год назад
Tunataka udambwi mwng dakka 6 ni chache
@graysondavid5200
@graysondavid5200 Год назад
Azam 90 minutes in 7 ?? Duuh😂😂😂
@allymasanilo1961
@allymasanilo1961 Год назад
high light ziongezwe dakik na vipande vzr viwekwe
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Год назад
Hii ndo yangasaa ya motooooo
@HamisMwamba-zz3po
@HamisMwamba-zz3po Год назад
Mbona mwaka jana walkua
@williambukoli-jr4jt
@williambukoli-jr4jt Год назад
Camera yenu. Azam haionyeshi vizur jaribun kuboresha
@ElizabethJonas-cz1tq
@ElizabethJonas-cz1tq Год назад
Azam heeee😢
@Giant_Original
@Giant_Original Год назад
Wanaowabeza Azam kwa highlights fupi mnatakiwa mkalipie ving'amuzi vyenu huku sio official ya Azam kuwapa kila kitu.
@edwarddavid8076
@edwarddavid8076 Год назад
Hatulipi ata wasipoweka kabisa, kwanza mpira sio basic need
@Giant_Original
@Giant_Original Год назад
@@edwarddavid8076 ndio muache kulalamika kwasababu mnajisumbua kupiga kelele huku RU-vid they don't cares about opinions huku.
@bunyonyatv4454
@bunyonyatv4454 Год назад
acheni ubabaishaji highlights zinakuwaje fupi ivo au kwakuwa timu lenu linafanya vibaya msimu huuu
@karimmarcelo7164
@karimmarcelo7164 Год назад
Azam Azam hizi Dkk 7 sawa sawa na kuonesha hizo goals Tunaomba dkk ziongezwe
@Valentine-s6f
@Valentine-s6f Год назад
Yanga ñi tim
@liliangonza2152
@liliangonza2152 Год назад
Azam Acheni roho mbayaa mxiuu!
@RehemaRamadhani-v9t
@RehemaRamadhani-v9t Год назад
Sema azam acheni ufa**** hii ndo highlight
@alicenice1711
@alicenice1711 Год назад
Kuna jina naskia humu ndani eti sadala 😂😂,anyway me ni yanga daamu❤🎉
@ManenoPapalu-ku3vl
@ManenoPapalu-ku3vl Год назад
Azam weka hata highlight dakika 25
@aishamdinku9129
@aishamdinku9129 Год назад
Azam ndo nn hii dakika saba lol
@anrelyltv3757
@anrelyltv3757 Год назад
Azam tv saiv mnazngua
@davieafr9107
@davieafr9107 Год назад
Highlight fupi xana jamn
@mauricebaraka9119
@mauricebaraka9119 Год назад
Hizi highlights ni fupi sana Azam TV
@AbigaelAdam
@AbigaelAdam Год назад
Mnachojua n kuongeza bei ya vifurufush ovyoo highlights fup mno😏😏
@tatumustafa8599
@tatumustafa8599 Год назад
Azam mpaka taa uwanjani mmezipunguza mechi kama ilikua hafifu sana mwanga
@sofiamsuya2254
@sofiamsuya2254 Год назад
Pacome ,aziz,konikoni wacheze mbele wanatosha kutupa magoli...musonda ,mzize bench
@salim02tv24
@salim02tv24 Год назад
Fact ila musonda ana umuhim ataa wakutokeaa pemben kwa moloko
@mohamedikassimu7016
@mohamedikassimu7016 Год назад
Kabisa hpo umenena
@Prince-rafael
@Prince-rafael Год назад
Pira nguruwe pira kitimoto😂😂
@ramcymosungu4700
@ramcymosungu4700 Год назад
Kwan mkituekea dakik20 Kun ubay MB n zetu jamni nyie
@EmmanuelZenda-ji5gc
@EmmanuelZenda-ji5gc 8 месяцев назад
Ikawaje😂😂
@nestorymapunda-f6b
@nestorymapunda-f6b Год назад
Msimu huu akuna aja ya smat phon mn dakk chache mn weka mamaeeee
@francisosingaosinga
@francisosingaosinga Год назад
Hawa azam inafaa tukipatana na wao tuwapige tano cz siku hizi wamekosa adabu Sana....mbna timu zingine mnaweka ATA mpka 17mn
@lenatusmganga7793
@lenatusmganga7793 Год назад
Sasa hii doo ful tim vifupi mpaka vinaboa Sasa ukiwa hukuangalia naunataka uangalie maludio doo hivywo ovywo kabisa
@joktanhumagiharuna-pm9qu
@joktanhumagiharuna-pm9qu Год назад
Fupi sana jaman tunanunua mb Kwa ajili ya kutazama
@HamnidaMkd
@HamnidaMkd Год назад
Kweli ni ndogo sana mpk matobo mengin skuiz hatuyaon😂😂😂😂😂
@sadikidaudi460
@sadikidaudi460 Год назад
Pakome atakuja kusumbua saana
@januarysiamejaysiame5605
@januarysiamejaysiame5605 Год назад
Rusheni clip ndefu
@johaiventimothy6583
@johaiventimothy6583 Год назад
Punguzen roho mbaya,kutukadlia bando co jukumu lenu
@ramonajunior4209
@ramonajunior4209 Год назад
Akitangaza uyu mwamba lzm azizi ki atafunga tu
@stephanocornely130
@stephanocornely130 Год назад
Ila huyu Aziz mafunguo mmmh! Au kisa ameona mkataba unaelekea ukingoni ... Ana moto sana msimu huu
@abasichoba9023
@abasichoba9023 Год назад
Poor quality
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi Год назад
Azam wana akili waonyeshe hi ndefu yanini mpira gani huu wa michongo
@NunuKupela
@NunuKupela Год назад
Hhhhhhhhhhhh unanichekesha
@aytv3173
@aytv3173 Год назад
ww ni makande 2
@djamanitvonline3623
@djamanitvonline3623 Год назад
Yani Nzige 🐸🐸 Wameanza kutema Mate fyuu giza limewasaidiaa lasivyo mgekula chuma chefu 😏🐸😩
@RoseMunisi-fy1sq
@RoseMunisi-fy1sq Год назад
Benua pia vizury..took on 🔥
@kwejimisobi4491
@kwejimisobi4491 Год назад
Kwa kweli highlights mnazifanya fupi sn, mpaka inapoteza ladha. Camera leo mmejitahid ila nazo mechi za nyuma zmezingua sn
@AlmasiHaji-te2fj
@AlmasiHaji-te2fj Год назад
Mimi sielewi n kwa nn highlights ni fupi sahivi zote sio ya yanga tuuu kwaniniiiiiiiiiiiiiiiiii
@johnmathias2712
@johnmathias2712 Год назад
Azam bana
@FurahaGidion-x6k
@FurahaGidion-x6k Год назад
Saf
@shabanimwinyikhery1174
@shabanimwinyikhery1174 Год назад
Kmc hamna kitu magoli yenyewe ya kimchongo sijaona goli gumu hata moja
@ngulingwamussa
@ngulingwamussa Год назад
Sasa wewe unataka wafungwe magoli gani ambayo wewe unatayataka?
@amerjuma4574
@amerjuma4574 Год назад
Kafunge kwa mkeo ndokunako goli gumu
@ramadhanimwinyi-7445
@ramadhanimwinyi-7445 Год назад
subiri ukutane nao ili tuine kama utapata hatagoli moja
@paulkidula1663
@paulkidula1663 Год назад
Subiria ya kwenu magumu🤣
@mussammanga7791
@mussammanga7791 Год назад
Sasa gumu litakuwa vipi wkt mpira unatembea kwa wanaoujuwa? Hahahaa!
@24seventv99
@24seventv99 Год назад
Tepse wa KMC ana kitu, tunamtaka yanga pale dirisha dogo
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA Год назад
Sema dogo hana nguvu
@24seventv99
@24seventv99 Год назад
@@--------GEO_SPORT_EARTH_EA fitness ni lazma apate yanga pale, ata aweso ni mzuri sana. Wametusumbua leo
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA Год назад
@@24seventv99 I agree
Далее
ОТПРАВЬ СВОЕЙ ЛП/ЛД
00:10
Просмотров 263 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [55]
23:58
Просмотров 20 тыс.
ОТПРАВЬ СВОЕЙ ЛП/ЛД
00:10
Просмотров 263 тыс.