kuna wachezaji wazao wapo vizur na yanga wamewajali wachezaji wote wazao wengi wamebaki nikitu kizuri sana kibwana uliisaidia sana tim msim ule wa nabii msim huu ilikuwa zamu ya yao kwansi wala usiwe na shaka wanayanga wengi tuna kupenda sana mm nakupenda km mwanangu kaza bunti mungu atakusaidia