Wewe kisugu ukawe msemaji wa yanga kwa tumbaku hio hata mkeo na watoto wako hawawezi kukubali uwe msemaji wao,,leo unasema NBC ni njia wakati msimu uliopita mlikua mnaisema sio kitu
Wewe mzee wa Simba Saudi Arabia Kuna ngoro kante yuko pale si kijana sadio ni mzee watu wa Simba kuweni makini mpira ni sayansi acheni porojo mtale si mzee yule.