Тёмный

YANGA YAWASILI KIBABE ZANZIBAR/CHAMA,AZIZ,PACOME WOTE NDANI/TUKUTANE AMANI COMPLEX. 

Mpenja TV
Подписаться 542 тыс.
Просмотров 46 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@NtolokwaNtambi
@NtolokwaNtambi 8 часов назад
Mungu ibariki yanga (timu ya wananchi), wabariki wachezaji, viongozi ,wadhamini, wanachama na washabiki ,wezesha mvua ya magoli,
@user-bn8km3fu1y
@user-bn8km3fu1y 10 часов назад
Mungu akawe pmj nanyi wachezaji wetu wa yanga awape afya njema pmj na nguvu ya kushinda mechi yetu ya jumamosi.
@KianzioMikidadi
@KianzioMikidadi 8 часов назад
Mungu ibark timu yangu ya yanga
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 5 часов назад
MUNGU ni mwema hongera Sana nyote kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
@PROPHILI.B.PROTASE
@PROPHILI.B.PROTASE 4 часа назад
Tunawatakia kila kheri timu yetu ya Yanga sc. Mwenyezi Mungu awtangulie
@MagdalineMambo
@MagdalineMambo 3 часа назад
Nawaombea ushindi vijana wangu, mungu awapiganie, mpate ushindi,mungu awaepushie na maovu yote Amen Amen
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 9 часов назад
Alahamndulilah kwakufika Salama namuomba M/Mungu wajaaalie afya na nguvu waonyeshe njia yenye mafanikio Inshaallah
@monicalucas3738
@monicalucas3738 10 часов назад
Tunamshukuru MUNGU mmefika salama kìsiwani ZNZ karibuni sana wenyeji wenu tupo tunawasubiri sanaaaaaa mje mtupe raha kama kawaida.
@R10_Rajab
@R10_Rajab 2 часа назад
Karibuni Zanzibar wana wa nchi
@meryJoel-h7h
@meryJoel-h7h 8 часов назад
Mwenyez mungu awasimamie
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 11 часов назад
Aweeeeeh🎉🎉🎉
@EmanuelMiyonjo
@EmanuelMiyonjo 3 часа назад
My team Yanga
@user-it6gc3zk6h
@user-it6gc3zk6h 5 часов назад
Mungu ubariki yanga
@kolosii4351
@kolosii4351 9 часов назад
Nawaombeeni mkatumie kila mlichopewa na benchi la ufundi kwa weledi na ufundi mkubwa Mungu alivyowajalia kila mmoja wenu. Tunawategemea. Safu ya ushambuliaji tunawaamini, mkapambane na wachezaji mkiona wenzenu hawajaamka vizuri basi mkipata nafasi nzuri ipeni timu magori.
@ElishaMwenga-ti7of
@ElishaMwenga-ti7of 9 часов назад
God is one!!! all the best
@edinamwanasenga1584
@edinamwanasenga1584 9 часов назад
Mungu awatagulia ❤❤❤
@yuzomaneno
@yuzomaneno 11 часов назад
🙌🙌🙌mpenja 🙌🙌🙌
@MaulidiAlawi
@MaulidiAlawi 10 часов назад
Safi
@neemamwasomola8663
@neemamwasomola8663 7 часов назад
Kila la heri Yanga
@ShukuruLaurent
@ShukuruLaurent 4 часа назад
Nawatakia yanga ushindi mnono
@KhadijaHussein-u9f
@KhadijaHussein-u9f 7 часов назад
🎉🎉🎉🎉wananchiiiiiii
@JeladiJeladifransingware
@JeladiJeladifransingware 4 часа назад
Tunaomba 5g dhidi ya CBE Kwan uwezo tunao
@BejaminFrancis
@BejaminFrancis 10 часов назад
Mambo safi
@mariajames5558
@mariajames5558 10 часов назад
Saf sana😊
@MohamedKhamis-v4l
@MohamedKhamis-v4l 40 минут назад
Natumai ushind mwema
@IsmaliRachidi
@IsmaliRachidi Час назад
Bado tunawaombea
@kolosii4351
@kolosii4351 8 часов назад
Kocha Gamondi asiwaache makatili wa michuano hii, kama kina pacome, azizi, musonda na chama pale mbele kipindi cha kwanza.
@MustaphaJaffary
@MustaphaJaffary 10 часов назад
Boka mtu mbad
@MustaphaJaffary
@MustaphaJaffary 10 часов назад
Boka mtu mbad
@asiaYusuphu-n8h
@asiaYusuphu-n8h 2 часа назад
daima mbere nyuma mwiko🎉🎉🎉
Далее