Wcb tupo juu. Tutaupeleka mbali mziki wetu.nia yetu nikuufanya mzikiwatanzania uwebora africa mashariki na africa yote kiujumla nakuifanya Tanzania iheshimike ulimwenguni kote.tupeni support nduguzenu .Tukifanikiwa sio wcb tu ndio itakuwa imefanikiwa bali mtazania na msanii yoyo kutoka tanzania ataheshimika ulimwenguni.Much love to the boss chibu simbaa ! Mungu ampe maisha marefu!
Sorry to be off topic but does someone know of a method to get back into an instagram account? I stupidly forgot my account password. I would love any assistance you can give me
daaa nimejisikia raha sana kuona mbunge Wang anavo shauliana na kunde boy iyo ndio inatakiwa sasa wte kueshimiana ndiomaana ngomalime heet sana wangekuwa wakina mwana fulani apo washa zila nakujenga mabeef
@@joytz4401 Yeah mdogo wangu maisha hakuna kukata tamaa hatakama unajua utakufa ila acha ufe ila ukiwa unatfta ili ukifa ukiwa unatafta basi utaitwa mpambanaji. hutaitwa mshindi wala mtu alie shindwa ila utaitwa mpambanaji
Hii fala Harmonize juzi ulikuwa Eldoret ikakataa kuperfom juu tu eti anataka alipwe in terms of dollars. Mtu utravel almost 1000 km kenda kuona mtu kisha anakataa kuperform...It's official, he's after money not after his career. Huwezi fanyia fans ivo bana....I think I have a piece of advise for him, "Always remember your original life when you think you've transformed."