Тёмный

YITZHAK RABIN: Waziri Mkuu wa ISRAEL aliyeuawa kwa kuchagua AMANI na PALESTINA, Hiki KILIMPONZA 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 4,1 тыс.
50% 1

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Опубликовано:

 

10 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 55   
@shebbylove3140
@shebbylove3140 3 часа назад
Niko wa kwanza kwa leo naomba likes zangu😅😅
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 3 часа назад
Wa 3 na sitaki like Ila napenda xana #makala360 Big up SKY na SNS #SNS ndio media pekee nnayo iamin 🙏🏿
@ce-08
@ce-08 3 часа назад
🎉🎉
@hirsirashid3741
@hirsirashid3741 Час назад
mzee ilove u story keep going bro am from Canada original Somalia
@swalehaltooq5233
@swalehaltooq5233 28 минут назад
Neno gaidi Mbona linatumika sana kwa Palestine 🇵🇸 tu
@JacobernestMlula
@JacobernestMlula 36 минут назад
Hatari
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 3 часа назад
SNS🔥🔥🔥🔥🔥
@Gretnumz
@Gretnumz 3 часа назад
❤❤❤ pamoja sana
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 48 минут назад
Netanyau afungwagi mota Mzee..hatari sana .....😂😂
@Barakaclassic
@Barakaclassic 45 минут назад
Hamasi walifanya makosa sana kuishambulia Israel kipindi cha huyu netanyau Yan ndio walio letea wa palestina balaa lote 😂😂
@jacksonseverin5670
@jacksonseverin5670 34 минуты назад
Makala zinachelewa sana kaka fred😢
@aminaali792
@aminaali792 Час назад
Hichi kifo kilipangwa na natanyahu na wenzie wa western na sio huyo alomuuwa tu 🙄😡💔
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 2 часа назад
Hao majamaa ni mashetani hawamjui Mungu kabisa wayahudi
@Bahati47
@Bahati47 2 часа назад
Sema wa Palestine ni zaidi ya mashujaa wameamza kupitia magumu na machungu siku nyingi sana 😢 Nina Imani ALLAH atawalipa kilicho Bora zaidi inshaAllah 🤲🏿 hakuna siku nimehuzunika kama kuona video za wazee wa ki Israel wakielezea jinsi walivyokua waki waua wa Palestine kama kuku😢 wanaelezea kua wakiamrishwa kwenda kuuwa mtaa Fulani basi wakikuta mwanamke ana mimba wanampasua tumbo bila ganzi na kumtoa mtoto na kumkata kata km nyama 😢 jamani Hawa watu ni Wana roho mbaya sana
@raymrash
@raymrash Час назад
@@Bahati47 khaa 😂😂😂 uongo mkubwa hakuna kitu hiyo
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 2 часа назад
Idara ya ujasusi ya israel ndio chombo hatari zaidi duniani na ndio usalama wa israel
@JumaNgeni-ld5yb
@JumaNgeni-ld5yb Час назад
inawezekan ila bila marekani mosad ni saw na kichaga
@JumaNgeni-ld5yb
@JumaNgeni-ld5yb Час назад
mosad walimshindwa OMARY MULA wa afaghan stan tafuta hii makali
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 3 часа назад
Ukichunguza vzuri utagundua magharibi na kibaraka wao Israel, hawana chaguzi yeyote pale mashariki yakati tofauti na kumwaga damu, na ikitokea wewe umeingiwa na hoffu ya mwenyezi uhai wako utakua sadaka ya usaliti,
@KinogeTz
@KinogeTz 2 часа назад
Tangu lini Nuru na Giza zikafanya mapatano ya amani?
@raymrash
@raymrash 2 часа назад
@@KinogeTz Mwenyewe alishajua anakwenda kufa maskini
@damaschosen
@damaschosen 2 часа назад
Wee jamaa sauti yako ndani yako inafaraja kama una piga kinanda
@KraudiJinioro
@KraudiJinioro 3 часа назад
Tup
@KhalidiBoaz
@KhalidiBoaz 50 минут назад
God bless Israel 🇮🇱, Amen,🇮🇱
@jonasmrema8550
@jonasmrema8550 3 часа назад
Hakuna kufanya Amani na magaidi
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 3 часа назад
Magaidi ni akina nani
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 3 часа назад
Pia sisi hapa tz hatuongozwi na makafiri ndio mana viongozi makafiri mwenyezi kawauwa
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 часа назад
U CANT CLAIM STOLEN PROPERTY FOR LONG 😢😢😢😢MGALATIA AMKA
@raymrash
@raymrash 3 часа назад
Period
@raymrash
@raymrash 3 часа назад
​@@OmmyJames-xn7jiunamaanisha nini!?
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 3 часа назад
Ila muwajemi aliona mbali dunia nzima nchi pekee iliyo baki ikiusumbua ubeberu unaowanyima usingizi watu wa mataifa ya falme za kiarabu ni Iran, napenyewe ni vile washiha waliona Mbali wakaamuwa wafanye mapinduzi maana serikali ya kipindi hcho ingeshawishika kama tunavyo ona kwa mataifa mengine
@raymrash
@raymrash 3 часа назад
Kwa hiyo unasapoti ugaidi wa Dola la Kiislamu la Irani
@ce-08
@ce-08 3 часа назад
Ni sawa ila jitahd kuchimba zaidi utakuja gundua hata hayo mapinduzi wahusika wakuu walikuwa hao hao magharibi sema jamaa alipopata nafas akabadili gear angani shughuli ikawa hiv unavyoona sasa lakin alipewa msaada mkubwa sana na hao magharibi
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 2 часа назад
​@@ce-08sio kweli,utawala wa kifalme ulio pinduliwa ndio uliekuja utawala wa kibaraka
@msarama5406
@msarama5406 2 часа назад
​@@ce-08magharibi wangempinduaje mtu wao bana unatulisha matango pori
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 2 часа назад
​@@raymrashnini maana ya ugaidi
@juliusdominic-uk4bu
@juliusdominic-uk4bu 3 часа назад
Amani kati ya Israel na Palestina itakuja kupatikana pale Afrika itakapo ungana na kuwa Super power .ndio itatoa tamko na taifa lolote litakali pinga litaangamizwa
@raymrash
@raymrash 3 часа назад
@@juliusdominic-uk4bu Africa haitakuja kuungana sahau hiyo kitu
@magorymara5515
@magorymara5515 2 часа назад
Siyo kizazi chako cha wajinga anaongelea kizazi kijacho ​@@raymrash
Далее
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
Просмотров 634 тыс.
Все по факту
00:48
Просмотров 18 тыс.