2024, kwa yeyote anasoma hii comment, uwe mwaka wa baraka, chochote umeomba kwa siri Mungu akujibu kwa wazi, miaka yote ililiwa na nzike Mungu akurudishie mara saba sabini barikiwa sana Mteule wa Mungu we confess as we possess sending love from Kenya 🇰🇪 ❤️
Just saw a clip on tiktok and its the best song for me, will be coming back here kila siku,this will get to million views before the year ends 💯, amazing song, Blessings
Wimbo wema sana.tunasikia ndani yao matamko ya imani kabisa.chochote tulichokosa mwaka uliopita lazima tutakipata mwaka huu.yaani ni mwaka wa ushindi na manufaa.Mungu apewe sifa.
Mwaka huu namaliza masomo,naendelea na masomo ya faida na nitaomba ni napata kazi ya kudumu itakayo nisaidia mtoto wangu kuanza kusoma na kunijengeya nyumba yangu ya future. Mungu anisimamie mimi mwanzo wa mwaka huu. Amen. Mungu atatenda.