Kaka angu kalumbu Yesu akuinue uzidi kumtumikia hakika Mungu amekubariki mno🙌 unatuwakilisha vyema kanda ya kati 👏👏👏 hongera Sana. uzidi kubarikiwa🙏 @yona Chilolo
Kuna mlemavu wa miguu mmoja hivi ni Mbaba anatembea kwa kutumia mikono Last year 2023 alikuja huku Sumbawanga Rukwa Alikuja all most full album ya huyu jamaa, Alikuwa anauza flash na Cds zenye nyimbo za Yona kama zote. Na alikuwa anauza kwa kweli,alikuwa akipna kuna mkusanyiko wa watu ndo anapiga hii nyimbo halafu anaanza kucheza baada ya hapo wanamtunza pesa na wanamchangia kwa kununua Flash na Cds. Sasa nilivokuja kuzitafuta hizi nyimbo nikakuta ni Watu tofauti kabisa lakini asilimia kubwa tuliamini yule aliekuwa live anaimba na kucheza ndo mwenye nyimbo hizi By the Way Congrats to you 👏 🙌
Just came here after someone used this song to convince people its his song and all kind hearted people run to donate something to him just becy he is phisically challenged . Aki Kenyans watu wamekua another level . Yaani mtu anatembea na speaker akiimba word for word people's songs just to convince people
Wakati nimeanza kuisikia nyimbo yako nikajua Boniface Mwaitege ,,Brother Mungu akubariki na aendelee kukutumia katika jina la Yesu ufike mbali mnoo,nimebarikiwa na nyimbo hii na nyingine pia
Nipende tuh ndugu yangu hivi ndivyo nilivyo umbwa mm miye hata sihusiki huko jamaniii we nipende tuh Pleaseee 🙏🙏 love💖💖 me this are the God which create me so love me please