Тёмный

Yote ni Mema - Nicole Ngabo - LIVE RECORDING 

Nicole ngabo
Подписаться 24 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

#gospel #worship #nicolemusic
Mungu hawezi kukuasha katika shida unayo pitiya ,
kwani yote ni mema kwa mwana wa Mungu
..........................................................................
LURYCS
Yote Ni Mema
Artiste Nicole Ngabo
Yote ni mema kwa mwana wa Mungu
Wasema Bwana wamajeshi
Mateso ya mwenye haki nayo ni mengi
Lakini Bwana umuponya nayo
Sita ogopa mwanao nikipita kwenye moto tazama upo nami
Hutauwacha muguu wangu ujikwae maana mimi ni wako
Tena mboni ya jicho lako.
Refrain
Bwana wanapenda oooo
Wani penda
Bwana wanijuwa oh oh oh wani juwa,
Umenichora kwa mikono yako, umenifanya chombo cha sifa zako oh oh oh
Wani juwa.
Upendo wako kwangu wanitosha nikiwa nawe siogopi kitu
Oh oh oh wani penda
Refrain
Bwana wanipenda oh oh oh wani penda
Bwana wanijuwa oh oh oh wani penda.
FIN
.............................................................................
Follow Nicole Ngabo :
Instagram : / nicole.ngabo.37
Facebook : / nicolemusic01
-----------------------------------------------------------------------
Management Contact : +243 813207043
Email : nicolenabintu4@gmail.com
_______________________________
#Nicolengabo #Gospel #Worship.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 68   
@salomehaonga3455
@salomehaonga3455 Месяц назад
Sitaogopa mwanao nikipita kwenye moto maana najua Bwana uko NAMI 🙏🙏mateso ya mwenye haki mengi lakini humponya nayo I trust you God🙏
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 Год назад
Nicole huu wimbo una nguvu za Mungu sana hata sauti yako ina mamlaka kubwa, USHAURI WANGU NI HUU.....USIJEPATA KIBURI MUNGU AKIKUINUA ZAIDI, NYENYEKEA KWA MUNGU SIKU ZOTE NA MUNGU ATAKUTUMIA SANA, TUMEONA WAIMBAJI WENGI WALIANZA VIZURI KUIMBA NA NYIMBO ZAO ZILIKUWA NA NGUVU ZA MUNGU LAKINI WALIPOPANDA VIBURI MUNGU ALIWASHUSHA, LEO HII HATA WAIMBE NINI NYIMBO ZAO NI KAVU. NYENYEKEA KWA MUNGU MDOGO WANGU NICOLE. SALAAM KUTOKA TANZANIA ❤❤
@megjillo5619
@megjillo5619 10 месяцев назад
Wow.ushauri WA upendo kweli.mungu akusaidie dada nicole
@MariaLuziga
@MariaLuziga 10 месяцев назад
Katikati ya nyakati ngumu ninazopitia nabarikiwa na kutiwa nguvu sana na nyimbo zako.. Mungu akutunze kwajili ya ufalame wake. Amen
@ZipporahMaweu-mt7qu
@ZipporahMaweu-mt7qu Год назад
Yote Ni mema kwa mungu,Glory
@NewtonNjuguna254
@NewtonNjuguna254 10 месяцев назад
Unto Him that is able to keep us from falling to Him be the glory now and forever more
@kevinelsk
@kevinelsk Год назад
Sitaogopa Mwanao, nikipita kwenye moto. maana uko nami, ee Bwana. Amen
@paulokuze9307
@paulokuze9307 Год назад
May God bless you servant of God,am blessed to what you are doing madame,may God continue to pour his annointing to you.
@blessedsenatornicko1579
@blessedsenatornicko1579 Год назад
Hii nayo inabariki, Mungu akutende mema dada Nicole Ngabo. Hapa Kenya twasema Yote ni mema.
@jscomputergenius3834
@jscomputergenius3834 11 месяцев назад
My goodness! I heard this song at our church but I didn't know if Nicole is the author. My Lord help to worship you in Spirit and truth. God bless you Nicole exceedingly. I cannot hold back my tears when watching this amazing song😭😭
@StaniRobert
@StaniRobert 3 месяца назад
Nani préféré yangu na miye iyi nyimbo ❤❤❤❤
@Gospel434
@Gospel434 Год назад
Yote ni mema from TZ🇹🇿🇹🇿🇹🇿 yatu barik sana MUNGU akuidue zaidi
@tybaltkerauma6993
@tybaltkerauma6993 Год назад
i really love you nicole,, nice voice
@EneaIsdory-p9o
@EneaIsdory-p9o Год назад
Nakupenda sana dada Nicole saut yako Huwa inanibarik zaid❤
@cromwelpatt4870
@cromwelpatt4870 Год назад
Everything is good 🤲🔥🔥
@Mkufuu_na_Mwanafuu
@Mkufuu_na_Mwanafuu Год назад
Kazi nzuri dada. Endelea kumtukuza BWANA.
@adammakokha9192
@adammakokha9192 Год назад
Bwana wanipenda kwa kweli - Be blessed Woman Of God
@murithichristine626
@murithichristine626 Год назад
Hallelujah! Nimebarikiwa na huu wimbo sana, 🙏🙏
@classicmediaenter10ment44
@classicmediaenter10ment44 Год назад
Let support Daughter of God
@MichelineNyota-e5u
@MichelineNyota-e5u Год назад
Mungu akubariki unanitiya moyo kwa wimbo huu tena.
@levismunge7064
@levismunge7064 Год назад
May there be an explode of favor towards this vessel.
@merveilleajabu
@merveilleajabu Год назад
Kumbe my favorite song is here😢 Bwana wanipenda
@fredmoraira2488
@fredmoraira2488 Год назад
Awesome sooo nice thanks so much #yote ni mema
@gugygustavo156
@gugygustavo156 Год назад
Ameen uzidi kubarikiwa zaidi ,yote mema kwetu
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Год назад
Mbarkiwe sana Nyimbo nzuri
@johnkimani4414
@johnkimani4414 Год назад
Kweli mu ngu hutaniacha nijikwae.....
@chrissharriss
@chrissharriss Год назад
Wow wow wow wow so powerfull miss nicole , upendo wa yesu pekee wanitoshaaaa👐👐❤❤❤🔥
@alphantole
@alphantole Год назад
So powerful 🔥💯🙌
@scienceguymoh
@scienceguymoh Год назад
Awesome my siz
@cyruskimanzi
@cyruskimanzi Год назад
God's grace is here,, you will move high and high🙌😂
@benedictwakorintho
@benedictwakorintho Год назад
Amen amen amen Sitaogopa maana YESU KRISTO yupo pamoja nami
@nicolengabo
@nicolengabo Год назад
Amen amen
@Ricks_Pro
@Ricks_Pro Год назад
i waited for this song a whole lifetime so annointed
@suzanaemanuel3621
@suzanaemanuel3621 Год назад
Sitaogopa mwanao baba🙏🙏
@ms_kim117
@ms_kim117 Год назад
Ooooooh Hallelujah 🙌🙏✝️ Sitajikwaaaa😭😭😭 Hutaniacha nianguke Mungu 🙏✝️🙏
@wendyamugune4281
@wendyamugune4281 Год назад
God bless you Nicole. I am encouraged by this song. it has lifted my faith
@phoebyadema6675
@phoebyadema6675 Год назад
Amina yote ni mema kwa Mungu,amen amen I'm blessed
@kubuyaplamedie3057
@kubuyaplamedie3057 Год назад
Sogeya tena mbele dada
@sammabeats8745
@sammabeats8745 Год назад
nyimbo iko na nguvu za Munguu Barikiwa sanaaaaaa.
@erickmuhindomusondoli3643
@erickmuhindomusondoli3643 Год назад
Amen and amen Dada
@johchanzera
@johchanzera Год назад
Amen,, 🙏 yote ni mema🔥💯💯👏
@PATIENCEKIRINDIRO
@PATIENCEKIRINDIRO Год назад
Weye nisawa
@kamwemsangi6749
@kamwemsangi6749 Год назад
Yote ni Mema
@jonasbarata-3374
@jonasbarata-3374 Год назад
Grande est ta fidélité mon Jésus-Christ. Merci beaucoup pour la chanson 🙌.
@joyceesther1713
@joyceesther1713 Год назад
So powerful worship
@emprimehenterprises8347
@emprimehenterprises8347 Год назад
Wanijua Yesu🙏🙏 beautiful song
@FURAHAK
@FURAHAK Год назад
I am very blessed by this. The Lord is always with me 😊
@FURAHAK
@FURAHAK Год назад
Nicole you are going very Far in Jesus Name
@smoothmwangi
@smoothmwangi Год назад
Nice song
@kazunguyeri3703
@kazunguyeri3703 7 месяцев назад
To God be the Glory
@lauraadhiambo3382
@lauraadhiambo3382 Год назад
Nice song siz, am blessed, kindly upload the lyrics of this song Hatua Njiani please, kuna mahali sipati hayo maneno vizuri mama. Thanks
@nicolengabo
@nicolengabo Год назад
Asante sana. Ni wapi ??
@leonidaskarume4875
@leonidaskarume4875 Год назад
🔥🔥
@andrewluyali764
@andrewluyali764 Год назад
🙏🙏🔥🔥💒💒💒
@ethelwakio9609
@ethelwakio9609 Год назад
Wow
@davidirenge2057
@davidirenge2057 Год назад
Amen 😇😇😇
@sambinzaka1932
@sambinzaka1932 Год назад
Amen
@danielmutoo861
@danielmutoo861 Год назад
Dieu est toujours fidèle ❤ Merci pour ce son!
@samwelikayange4834
@samwelikayange4834 Год назад
hongera Sana
@magretherick3449
@magretherick3449 Год назад
Excellent work my sister. God bless you.
@nicolengabo
@nicolengabo Год назад
Thanks alot
@suzanaemanuel3621
@suzanaemanuel3621 Год назад
Very powerfull🙏
@SolangeManirambona-sd5lb
@SolangeManirambona-sd5lb Год назад
Amen amen
@shukudavid
@shukudavid Год назад
@merveillekakimba582
@merveillekakimba582 Год назад
Dieu est fidèle
@SalomeJumanne-ve9rf
@SalomeJumanne-ve9rf Год назад
Amen
@pascalenock4532
@pascalenock4532 Год назад
Amen
@edithkanja8002
@edithkanja8002 Год назад
Amen
Далее
Nicole Ngabo - Asante ( LIVE RECORDING )
11:25
Просмотров 37 тыс.
Fake Referee Whistle Moments 😅
00:38
Просмотров 4,9 млн
Neema Yako
12:49
Просмотров 960 тыс.
Jina Pekee - Nicole Ngabo - LIVE RECORDING
9:08
Просмотров 36 тыс.
Sija ona kama wewe by Patrick Kubuya
11:13
Просмотров 6 млн
Hatua Njiani- Nicole Ngabo ( Official Music Video )
7:06
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41