#CloudsMedia ipo mubashara na Mwanamuziki Z Anto ambaye yupo kwenye kipindi cha Clouds 360 akizungumza mambo mbalimbali kuhusu Muziki wake. #Clouds20 #MalkiaWaNguvu
Bi Kizee Wastara huna chako, Z hakutaki, usilazimishe Mapenzi kwa Mtoto wa Watu. Lea Watoto wako na kwa kuwa unapenda sana Wanaume japo ushazeeka, tafuta Mzee mwenzio, Z si wako. Umeshushuka shuuu!.