Allah atakujalia utapata mtoto ila usiamini imani za kishirikina. Allah tu ndo mwenye uwezo wa kuruzuku mtoto na kwa maneno haya Insha Allah utapata mtoto
Subhanallah ALLAH atulinde na atuhifadh na shirki tumuombe ALLAH ndie muweza wa kila kitu hakuna mganga mkubwa zaid ya ALLAH mtihan shirki ni dhulma kubwa tubu kwa mola wet ni mwingi wa Rehema na kusamehe 😢😢😢
Hayo Mambo yapo kweli utapeli . Nna Kaka angu alitoa pesa zake zote alizopokea kiinua mgongo.. sijuwi walimdanganya vipi alienda nao Hadi bank na akatoa pesa zote akawapa...mtihani Allah atuhifadhi amin
Ukome na ww... unataka kumshirikisha allah kisa unatka mtoto.. tangulini mtoto akapatikana kwa mganga.. ndio maana tumefaradhishiwa kusoma Ili ujingaaa kama huu tuepukane nao.. tutaenda kuuliza na allah umeish miaka 60 umeetumikiaje miaka 60 yko ulipo kua dunian.. tunaish kwa mazoea hatujui sheria allah alizo tuteremshia kwsabab dunia imetuandama vichwan kwetu... wallah inasikitisha sana.. allah akuongoze na atuongoze kwa sote na atujalie mwisho mwema 🤲
Masikini nyee kumbe watu wanatafuta mtoto kwa Hali na Mali dah basi mm atakama Sina mtoto naona kitu cha kawaida tuu polesana kaka Allah atakupa mtoto mwema lakini usiamini ushirikina kwanza sikuhizi watoto wenyewe hawasikii usilazimishe kupata mtoto
Ni mzoefu na nimeshackia story km hzi sn kw watu, aaliwahi kumpigia bibi yangu story zke km izo nikamwambia tapeli uyo na alhamdulillah leo amepatikana
huyu Police sio Mzanzibar kwani hakuna Police Wazanzibar mbona wageni wengi katika visiwa¿hawa baadae sii watakuja kuvichukua visiwa¿baada ya miaka kumi na Wao Wazanzibar...duuuuuh hii hatari sana,hapa UK 🇬🇧 tayari washafukuza wageni...thanks
Utapata mtoto Insha Allah ila hakuna mtu mwenye uwezo wa kukupa mtoto ispo kuwa ni kumuomba Mungu na kadar zake kuweza kukupa mtoto kwa wakati alio upanga yeye Mungu.
watu hawa washawahi kumtoa mtu pba tena kizee akaambiwa asimwambie mtu akaipanda meli pekee na kawaida huwa anasafiri na mtu akafikia kwa mjukuu wske znz .akashituka yule mjukuu mbona ghafla na mbona peke yako? akataa kila skimdadisi akataa , sasa na pale hawezi kutoka pekeake kwanza hajui pakuelekea ikabidi amwambie mjukuu ampeleke mahali ikisha amsubiri yeye ende wakakubsliana hivyo kwa bahati mjukuu akawaarifu police bibi hajui walipokuja wakakamatwa . ila police ya kwetu itakuwa waliwaachia na sijui km sio hawa.
Inaweza kuwa wewe huna tatizo la uzazi ila muda ulioandikiwa kupata mtoto haujafika au inawezekana mmoja Kati yenu ana matatizo ya kiafya hawezi kupata ongeza mke wa pili inshaallah asakheri riziki mafungu saba na wa pili kama hajakupatia mtoto ongeza mke wa tatu
Hawa Matapeli Wa Pesa kutumiwa Au kutengenezewa Pesa wako weng Sana?Na wanajiita Waganga Wa kienyeji;Na wana masifa makubwa sana ya uganga?mpaka wengne wanajiita MIUNGU watu?Weng wao wanatokea Sumbawanga
Hujambo weww kaka huna mtoto mtafute shekhe othaman maiko anaweza kusaidiya usiende kwa washirikina hata mm ukinitafuta kwa namba yangu ya wasap nitakupatiya mtu akufanyie dawa sahivi niko oman ndiyo tatizo hata dada yangu anawafanyia watu dawa wengi wanapata watoto akifanikiwa anamba kanga peya mbili na elf kumi bass hataki pesa ya mtu mpaka ufanikiwe kupata mtoto yupo unguja ndiyo hivyo
musimlaumu huyu mtu hawa jamaa hua wanatumia vitu km hujielewi unakoa muda mwengin .. Mimi nawajua watu walokua washatapeliwa tena ni watu imara ktk dini . Allah atuhifadhi
Mkuu wa Mkowa Ayoub anasema wazanzibar asilimia kubwa ni waumini wa Islam dini ilal asisahau majizi wote wa SMZ na vikosi vyake wote waislam. Kiufupi nchi imepoteza muelekeo kimaadili haijalishi raia wala vyombo vya usalama dhuluma tumeweza mbele.
Kuna Mmoja Mwanamke Anatumia Jina LA BIBI Wa JIWA MOJA?Anapatikana Mjini Sumbawanga Kwenye Kitongoji cha MPUI?Huyu no Tapeli mkongwe?Keshatapeli Said Ya Milioni20,0000,000 Na bdo anajifanya Mganaga Wa kienyeji pamoja na Utapeli wake mkubwa
Kijana hapo ulipo mdogo waswas wa nn?hujapata mtòto mda bado mbona allah akifungua risk ya mtoto utapata kwa mda wake amiin ushirikina so mzur mdogo wangu acha huu ujinga huo tena tena kuna vijana km nyie tele sku hzi mnadanganywa manavishwa mpk pete mikono tena vidole vyote kwa kuamin utapata ujiri achen kutumika nyie vijana mnapoteza mda wenu
Pengine wewe kaka uko na matizo lakini muhim nenda kwa shekhe othaman maiko au shekhe salum damba sawa usitowe pesa mm nishatapeliwa pesa nyingi tu pesa iko benk naitowa lakini huyo alienitapeli amekufa mm sisamekhe dunia mpaka yaum kiyama bass sijuwi milion ngapi