Тёмный

ZAMBIA KUTAJIRIKA RAHISI/ANAPATA LAKI SITA KWA SIKU KWA GUNIA MOJA LA MCHELE/MWENGINE MILIONI MBILI 

Dar24 Media
Подписаться 730 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#zambia #Dar24tanzania #waswahili

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 4 месяца назад
Sio kweli hapo kwenye thamani ya pesa Tsh/Zk
@richardchijana9665
@richardchijana9665 4 месяца назад
Zambia kunauhaba sana wa mchele hata uwo unaouzwa nimchele ambao hauko poa sana ila wanaupenda ivoivo wenyewe
@ernestgervas7021
@ernestgervas7021 11 месяцев назад
Mzee mwongo eti anauza laki, hivi laki anaijua huyu mzee? laki ya zambia ni zaidi ya milioni 12 ya tz, pesa kubwa kwa zambia ni 100 ambayo ni sawa na 12000
@Mpakauseme
@Mpakauseme 11 месяцев назад
mbona huyo mama ameshika milioni mbili na hapo wanasema milioni mbili ni sawa na laki mbili mbina sijamuelewa kabisa huyo bimkubwa
@ernestgervas7021
@ernestgervas7021 11 месяцев назад
@@Mpakauseme Milioni mbili ya kizambia ni zaidi ya Milioni 24.
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 11 месяцев назад
Mimi ndio bado kabisa sijaijua vizr pesa ya zambia
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 11 месяцев назад
Hela ya zambia ipo chini ya Tanzania Hela za zambia zina K maana yake 1000. 100K ni laki 1 kule bongo ndio kama 12000
@azadinzunda4327
@azadinzunda4327 11 месяцев назад
Anaposema laki ya Zambia kwa Tanzania ni sawa na elfu kumi,
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 11 месяцев назад
Hizo tamaa zetu watanzania ndo tabia A kufata mkumbo na kutaka utajiri wa haraka ndo unatuponza
@jephtephlon2366
@jephtephlon2366 11 месяцев назад
Wazambia wametuacha mbali sana kwa ngelii
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 11 месяцев назад
Inasaidia nini ngeli , mchina hajui ngeli wala mrusi leo wanatisha kiuchumi
@Mpakauseme
@Mpakauseme 11 месяцев назад
Wewe kweli bado mshamba sasa ngel ndio kukuacha nyuma je na uko Germany na china ambako hawashughuliki na kingereza je tumewaacha wanyuma wewe kweli upepo
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 11 месяцев назад
Roho inaniuma Sana kuona uyo bi mkubwa anapiga ngeri
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 11 месяцев назад
@@elvisoscar9912 nenda kwa ras simba
@gracejulius23
@gracejulius23 6 месяцев назад
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 4 месяца назад
Daaaah mchele kwetu hauna soko kabsa kilo 1200
@hafidhimayunga5615
@hafidhimayunga5615 11 месяцев назад
Laki sita ni gunia zima sio faida kaka
@user-ez2pf1cm1q
@user-ez2pf1cm1q 4 месяца назад
Sio kweli million ya Zambia mbona mama ulinzi ungekua hulooo hapo
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 4 месяца назад
Naskia saut ya Zembwela kwa mbaliiiii.
@highhigh7476
@highhigh7476 4 месяца назад
Mzee amechan'ganyikiwa kwa thamani
@charleskuyeko1660
@charleskuyeko1660 4 месяца назад
Simba mbona huwaulizi hao akina mama wanachukua wapi mchele. Na pia ulipaswa kuwauliza Waume zao wanafanya kazi gani.
@user-tb5bt8lq8j
@user-tb5bt8lq8j 4 месяца назад
Yani 10000 ya Tz ni laki Zambia nani anataka tujioganaz tukale Bata 😂😂😂😂😂😂
@user-sr3eo8mv7c
@user-sr3eo8mv7c 4 месяца назад
10000tz 97k
@abdallahselemani6423
@abdallahselemani6423 11 месяцев назад
Duh: wako nyuma sana Kwa vipimo
@Mpakauseme
@Mpakauseme 11 месяцев назад
vipimo vipi na fedha yao hipo juu , hiyo sehemu ni fulsa mjomba ukiwaunaenda kufanya biashara unapiga ela 😂
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 4 месяца назад
Mbona huko mchele unaonekana bei ya kufa mtu
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 4 месяца назад
Muongo laki ya zambia ni kubwa
@EsauBanda-cw3cf
@EsauBanda-cw3cf 4 месяца назад
Ni miamoja kwacha not laki
Далее
Самое неинтересное видео
00:32
Просмотров 1,2 млн
Njia 4 Kubwa Unazoweza Kutumia Kumshawishi Mteja.
7:01