Тёмный
No video :(

#zandaaani 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 30 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 Месяц назад
Wasaf itabaki kuwa wesafi tuu milele daima
@januarylyambuzi1718
@januarylyambuzi1718 Месяц назад
Mashabiki was simba kwenye comment hasira za chama wamehamishia kwa momo💀😭
@JuliasChikukura
@JuliasChikukura Месяц назад
Nyinyi wandishi wa habari ni waongo sana mmempigia sim mnapotosha sana umma .na hadhi yenu inashuka sana hata kuwasikiliza tunaona tucheze gemu kwenye sm zetu Kwa uongo wenu
@Extraordinarynation
@Extraordinarynation Месяц назад
Wa kwanza like😂🔥
@stn4873
@stn4873 Месяц назад
Maaalim Zingiziiii
@imanimhagama4647
@imanimhagama4647 Месяц назад
Ww ni muongo ingekuwa mchezaji ndio anaitaka club asingegoma mkataba wa miaka miwili na kuwapa masharti magumu kwenye mkataba wake
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 Месяц назад
Ww umeuona huo mkataba mbona sasa ametoa thank you kwa washabiki
@bigjizee4130
@bigjizee4130 Месяц назад
😂😂😂 Mateso kwa makolo yanaendelea....😂😂😂🎉
@imanimhagama4647
@imanimhagama4647 Месяц назад
@@yunusimchala6569 unaonekana hujaelewa
@opasports9282
@opasports9282 Месяц назад
Chama aipe Yanga mashariti magumu? Wewe unaumwa?
@musamagulu2023
@musamagulu2023 Месяц назад
Unateseka ukiwa wapi kolobwanji?
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 Месяц назад
Zee lakudele unauwa sana
@johannmaloda6027
@johannmaloda6027 Месяц назад
Chama amechagua mafanikio na makombe...
@ClassicUsed-jg6ri
@ClassicUsed-jg6ri Месяц назад
Hii wasafi au crown fm
@mohamedsleyim-he7wd
@mohamedsleyim-he7wd Месяц назад
Sawa mke wa chama ulkuw nae
@imanimhagama4647
@imanimhagama4647 Месяц назад
Alafu tatizo momo una uyanga sana unashindwa hata kubalance mzani
@robertzamani5612
@robertzamani5612 Месяц назад
Nyie mmeshakuwa waongo ndio maana Hans Rafael kawakimbia
@imanimhagama4647
@imanimhagama4647 Месяц назад
@@robertzamani5612 hapo naww tunakuona ni muongo kuhusu Hans una shobo
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 Месяц назад
Sasa yule choko wa kazi gani wasafi mbona hana jipya
@CanaTzKawonga
@CanaTzKawonga Месяц назад
Momo uje uone mapovu uku 😂
@rockygappi1018
@rockygappi1018 Месяц назад
😂😂..kama vile povu lolivyowatoka wakati anaeleza habari za Fei toto enzi zileeee😂😂
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 Месяц назад
Mh!
@SabangaOnline-uf3rl
@SabangaOnline-uf3rl Месяц назад
wewe momo ni mnafki sana wewe
@mtanzaniahalisi9500
@mtanzaniahalisi9500 Месяц назад
Za ndaaaaani utakuja jisaidia
Далее
Can You Bend This Bar?
01:00
Просмотров 5 млн
Can You Bend This Bar?
01:00
Просмотров 5 млн