Тёмный

ZANZIBAR SI SHWARI - 01 

SK Media Online TV
Подписаться 57 тыс.
Просмотров 61 тыс.
50% 1

Hali ya kisiasa si nzuri kwa Rais Hussein Mwinyi. Hii ni sehemu ya kwanza ya uchambuzi wa hali hiyo. Sikiliza.

Видеоклипы

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 266   
@fahmisaid6758
@fahmisaid6758 7 месяцев назад
Shukran Ansbert kwa kutuelimisha, Zanzibar kuna mengi na mazito endelea kutufahamisha.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 7 месяцев назад
Asante mzalendo Ansbert kwa uandishi wako mahiri, wananchi tunabahati kupata habari ingawa ni mtandaoni tutaambiana tulipofika. Huyu wa Zanzibar ameonyesha uthubutu, kama ni kwa manufaa ya wananchi iwe rahisi tu na wengine waige ili wenye mazoea wabaki wenyewe ndio demokrasia, lakini huku Tz.bara sidhani patatokea uthubutu huo zaidi ya kulindana kwa maslahi yao binafsi!.
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 7 месяцев назад
Sio Zanzibar tu pasipo salaama.Hata nyumbani kwako wewe mwenyewe si shwari baina yako na mkeo na wanao.Wewe endelea kuchimba ya wengine kwako kunaporomoka
@kenedyrocky4641
@kenedyrocky4641 7 месяцев назад
KAKA YANGU A NGURUMO, HUU UKURASA WAKO HUU UNANIPA ELIMU NZURI SANA YA KISIASA. SINA NENO ZURI ZAIDI YA NENO "ASANTE" MWENYEZI MUNGU AKUJAALIE AFYA NJEMA NA QWARESMA NJEMA MPENDWA WA MUNGU.🙏🙏🙏
@R10_Rajab
@R10_Rajab 2 месяца назад
@@kenedyrocky4641 Maneno ya kuambiwa ....
@stanslausmchonde7892
@stanslausmchonde7892 7 месяцев назад
Jasusi @Evarist Chahali alisema haya bila ufafanuzi sana alisema TU Ufisadi wa mheshimiwa kuwapa watu wake kazi kujinufaisha lakini Leo Ngurumo SK MEDIA ama Maswali Magumu umeibua kile kilichojificha. Ahsante sana.
@batrumbeziks5946
@batrumbeziks5946 5 месяцев назад
Huyo aliyejifanya "Mzanzibari" uliyempa kizungumza sio Mzanzibari. Sie Wazanzibari hatuna Kiswahili kibovu kama hicho.
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 7 месяцев назад
Bora ujiuzulu fadher mungu atakupa riziki ako kesho kiama upate pepo kazi mbaya sana
@KuzenzaSangija
@KuzenzaSangija 7 месяцев назад
Wazanzibar wakaze ngoma siku zote maisha Yana maumivu!
@myself4128
@myself4128 7 месяцев назад
Zanzibar leo hii Inatangaza Kuishiwa Pombe basi ujue Utalii umeleta Majanga! na Msisahau Mashoga na Ushoga! Nchi itanuka Mavi mkikaa Kimya!😊
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 месяцев назад
Sijui nyie mnao wapigia makofi Hawa na kuwafumbia midomo
@DavidDanken-uf7kp
@DavidDanken-uf7kp 7 месяцев назад
Dah tutatapakaa mav aisee!
@meekman1805
@meekman1805 6 месяцев назад
😁😁😁
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 6 месяцев назад
Nchi inanuka mavi ivooo kweli kweli kabisa.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 7 месяцев назад
Afrika tuna uhaba wa viongozi bora.Tunaongozwa na watawala wasio na uwezo,bora liende.
@JohnMabustar
@JohnMabustar 7 месяцев назад
Asante mchambuzi mahili wangu umenidadafulia vizuri saaana
@frankminga9307
@frankminga9307 7 месяцев назад
Mchambuzi makini, aksante
@machaliakulima76
@machaliakulima76 7 месяцев назад
Mchochezi makini yeye Ngurumo yuko Ulaya likitokea varangati hayumo atafuhia sababu yuko Ughaibuni
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 месяцев назад
Atakama yuko wapi watawala wanao watu wao ukouko
@user-iu3th3my7k
@user-iu3th3my7k 7 месяцев назад
Napenda sana melody ya huu wimbo 💕
@felixmsale9244
@felixmsale9244 7 месяцев назад
Big up mkuuu .Zanzibar na Tanganyika haiwezi kua salama kabisa kwa ķosa moja kubwa .HAINA KATIBA NZURI .VIONGOZI WANAITAWALA NCHINKAMA WAFALME WANARIDHIANA MADARAKA. HATUWEZI KUA SALAMA HATA SIKU MOJA BILA KATIBA THABITI.
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 месяцев назад
Ndio ila ilo ni Moja Kati ya mambo muhimu lakini tungelimpata Mt mzalendo engerekebisha yote ayo
@hajihassan5433
@hajihassan5433 7 месяцев назад
​@@MohdIkra-d7s Tanzania hakuna tatizo la Katiba tatizo ni kutokuheshimiwa na kutekelezwa. Kuna ibara kadhaa mfano 133 - 144 (Akaunti ya pamoja nk). Kubwa kuliko yote kizazi kilichopo sasa wa kila upande hawana imani tena na Muungano na kama ni hivyo Katiba haiwezi kupatikana.
@naimaabdu8012
@naimaabdu8012 6 месяцев назад
Huo muziki unatuchanganya. Unatutoa katika kusikiliza na kutafakari linaloongelewa
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 7 месяцев назад
Jamaa kaangalia mbali Sana utalii unamambo mengi kwa Imani yake ameona kazi haifai
@hajihassan5433
@hajihassan5433 7 месяцев назад
Ni vita tu ya maslahi. Waziri yule alikuwa ndie anaeuza pombe yote Zanzibar kama alivyosema Rais.
@VuaiMuhidini
@VuaiMuhidini 5 месяцев назад
Kwahuu uliowepo zbar ndio haufai kwasababu umebeba kila aina ya maasia
@rasheedabby2871
@rasheedabby2871 6 месяцев назад
Tunakuza sana mambo madogo
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 7 месяцев назад
Zanzibar tunatawaliwa na mtanganyika kwa maagizo ya uengereza na marekan ..hatu mumunyi maneno..
@josephlorri431
@josephlorri431 7 месяцев назад
Tanganyika kutawala visiwa vya Zanzibar ndo salama ya visiwa hivo... vinginevyo wangechinjana na kupinduana... Mzee Karume ni kiongozi hasa,aliona mbali,alichoka haraka baada ya mapinduzi na hakuachwa salama
@myself4128
@myself4128 7 месяцев назад
sisi wote ni Nchi moja acheni ujinga
@MWIGAADAM-r3e
@MWIGAADAM-r3e 7 месяцев назад
​@@myself4128Tanzania ni nchi 2 zenye geographia tofauti,historia tofaut ,mipaka tofaut ni utashi TU wachama tawala ila sio wananchi Zanzibar muungano tumeukataa zaman sana
@afropatriot7769
@afropatriot7769 7 месяцев назад
Na tanganyika tunatawaliwa na mzanzibar kwa mamlaka ya nani
@barakanyamafu5937
@barakanyamafu5937 7 месяцев назад
Wewe ni mwongo
@giovannir.restone182
@giovannir.restone182 7 месяцев назад
Kwa mwendendo huu wa uongozi.. Naiona Zanzibar ikipoteza hadhi yake ambayo kwa miaka mingi inajulikana na kuwa kivutio kikubwa sana kwa watalii wengi duniani. Huyu jamaa hafai kuiongoza Zanzibar
@omarkapula588
@omarkapula588 7 месяцев назад
Sio kweli hilo ni jambo dogo msipotoshe watu zanzibar inazidi kuwa maarufu duniani
@RioIpo
@RioIpo 6 месяцев назад
Hufai weye
@giovannir.restone182
@giovannir.restone182 6 месяцев назад
@@RioIpo I don't have to !
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 6 месяцев назад
Zanzibar imekwisha na ishazama waliobaki majeruhi.
@jafarindande5574
@jafarindande5574 6 месяцев назад
Urais 2030 kazi ipo, naona Dr Mwinyi anawanyima usingizi.
@MasnamussaPp
@MasnamussaPp 6 месяцев назад
❤mchambuzi makini sana yajayo yanatisha 😢 wazanzibar hawatokubali tena kuibiwa kura na itaeleweka tu tupo tyr sote kuuwawa ikisha ccm itawale mikarafuuu😮
@yudamtewele2006
@yudamtewele2006 7 месяцев назад
Nakuelewa Sana mkuu I wish one day uje kugombea hata uenyekiti wa Kijiji . Example
@amesalum3636
@amesalum3636 7 месяцев назад
Well done My SIR ❤
@josephmwita6012
@josephmwita6012 7 месяцев назад
my prophetic mzee ngurumo
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 7 месяцев назад
Raisi mwiny umeongea point kubwa kwel kama angekufuata kwanza angetenda kitendo cha kiungwana si vizur kutangaza mtandaon kwanza bila kukufata
@johnambrose7223
@johnambrose7223 6 месяцев назад
Ndo wale wale
@evansmtalo9406
@evansmtalo9406 6 месяцев назад
Muda utasema! Tusubiri.
@mbelechimakobola8835
@mbelechimakobola8835 7 месяцев назад
Kila mtu na kipaji chake kweli, kwa upande wa chaneli hii, uchambuzi yakinifu wa kisiasa ndio mahali pake, safi kabisa ndugu, barikiwa, tunainjoi.
@NoufelSalim
@NoufelSalim 7 месяцев назад
Uyo simai anauza pombe na mwinyi anaitk biashara ya pombe, kiufupi wote wanapigania matumbo Yao.
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 месяцев назад
Una uhakika gani tupe uhakika sasaiv ili tujiridhishe ili tuingie mzigoni
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 7 месяцев назад
Ya Kikwwte na Lowassa . Ni haya tena .
@msabahaali758
@msabahaali758 7 месяцев назад
ngurumo nimekukubali kuichambua Zanzibar ni ombi langu kwa muda mrefu huku ni shamba la bibi mwinyi anakipakulia minyama tu
@user-ev3pw5me1w
@user-ev3pw5me1w 6 месяцев назад
Huyu sio rais huyu ni gavana wa Zanzibar
@issayahya1640
@issayahya1640 7 месяцев назад
Mwinyi watu wengi hawamjui ila ni fisadi sana na ana ujamaa sana. Ulizia kampujimya Tronic ni ya nani
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn 7 месяцев назад
Huu mziki unakeraaa
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 7 месяцев назад
2lia ww ndo unaleta stim ya kusikiliza vizuri kinacho ongewa
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 месяцев назад
Ndio ila kwa wengine unafurahisha maana kwaya wanazipenda Sana hawa
@godsson5954
@godsson5954 7 месяцев назад
bora umeongea ni heri awe anaongea bila mziki au bora waweke beat tu
@stanslausmchonde7892
@stanslausmchonde7892 7 месяцев назад
Huo mziki ndio kitambulisho Cha chanel hii ya SK MEDIA
@patrickmarwa9587
@patrickmarwa9587 7 месяцев назад
History of Gaddafi of Libya
@ZubeirGrata
@ZubeirGrata 7 месяцев назад
Uyo raix wa zanzibar anakula hela tuu alafu aondoke mchezo uishe
@jonathanakhabuhaya1693
@jonathanakhabuhaya1693 7 месяцев назад
kama ni kweli Rais Mwinyi amegawa tenda za pombe kwa upendeleo kwa ndugu zake, basi huyu ni Rais bomu na Z'bar inaelekea kuzimu.
@josephlorri431
@josephlorri431 7 месяцев назад
Shabib.... mzigo uliwekwa
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 месяцев назад
Una Dhani nini wewe
@w4058
@w4058 6 месяцев назад
Majambazi tu hao CCM wakosefu wa utu imani hawana jengine washenzi wakubwa
@w4058
@w4058 6 месяцев назад
Allah atuhifadhi Ansberten kipenzi chetu wapenda haki
@machaliakulima76
@machaliakulima76 7 месяцев назад
Hussein Ali Hassan Mwinyi yuko vizuri kiutendaji tunayaona maendeleo anayofanya na ari ya kuijenga Zanzibar kama vile kuboresha na kujenga miundo mbinu kama vile barabara, maskuli ya kisasa, vituo vya kisasa vya usafiri wa jamii kama vile pale Malindi nk. Lakini akina aina ya Ngurumo hawapendi kuona Zanzibar ikiwa na amani wanapenda kuona vurugu, misuguano nk. Zanzibar ni portpal ni visiwa vya watu mchanganyiko karibu ulimwengu wote, iweje akina ALI HASSAN MWINYI, Ngurumo awaseme si wazanzibar mbona huyu mwandishi anatumia kalamu kalamu yake kuibomoa Zanzibar?
@R10_Rajab
@R10_Rajab 7 месяцев назад
Ametumwa huyo
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 месяцев назад
Wewe hujui kitu tulia unacho kiona wewe ni mshahara wako t
@R10_Rajab
@R10_Rajab 7 месяцев назад
@@MohdIkra-d7s Wewe pia unachokiona ni chuki roho mbaya na husda tu ya Kipemba ndio unayoiona ila hahaha Mitano Tena kwa Daktari Hussein Mwinyi kipenzi cha Wazanzibari wanaojielewa
@MWIGAADAM-r3e
@MWIGAADAM-r3e 7 месяцев назад
Mkereketwa kanena hhhhh
@gangmore9091
@gangmore9091 2 месяца назад
​@@R10_Rajab jiseme nafsi yko wa zanzibar wanaojielew ni wale wanaotka mamlaka kamili hayo anayofanya mwinyi n lazima wafenye kama serekali barabara hospital nk hayo majukum yao
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 7 месяцев назад
Ya Kikwwte na Lowassa . Ni haya tena Zanzibar
@kindi4926
@kindi4926 7 месяцев назад
Zanzibar kuko shuwari kabisa. Haya maneno ni kawaida upande wapili wakiona shuwari hawapati usingizi
@halimamasai2234
@halimamasai2234 7 месяцев назад
Tena shwara kweli kweli We acha unafiki na kutia watu wasiwasi
@dn.n4983
@dn.n4983 7 месяцев назад
Huyu baba kweli tunakulenda sana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 7 месяцев назад
Hayo ni ya kawaida mbona Lowasa slijiudhuru Mungu amlaze mahali pema peponi
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 7 месяцев назад
Lowasa amekujaje hapa 2naongelea kuhusu Znz
@abdifaraji2883
@abdifaraji2883 6 месяцев назад
Kwa sababu Luwasa ni Mtanzania wa kupigiwa mfano.
@ProsperMwakasungura
@ProsperMwakasungura 5 месяцев назад
Una weledi mkubwa sana Ngurumo.
@farisomar1889
@farisomar1889 6 месяцев назад
Ni vibarak wa ccm kuiangamiza Zanzibar tu
@evansmtalo9406
@evansmtalo9406 6 месяцев назад
Hii familia ya mzee mwinyi inajua faida ya biashara ya pombe.ndo maana tangu zamani wanaipenda hii biashara
@AbdallaJuma-tx5ck
@AbdallaJuma-tx5ck 2 месяца назад
Asante sana.
@zapauzapau-ts7se
@zapauzapau-ts7se 6 месяцев назад
Sahihi usemayo
@froma3732
@froma3732 6 месяцев назад
Ukiwa unaongea hizo nyimbo hazihitajiki inakuwa unatuchanganya
@MkonoZacharia
@MkonoZacharia 7 месяцев назад
Safi sana
@ismaeldiwani1595
@ismaeldiwani1595 7 месяцев назад
Fanyia utafiti mambo mengine unayoyawasilisha. Ukiendelea hivi utajivunjia heshima ya umakini
@halimamasai2234
@halimamasai2234 7 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣
@rashidkihunga2938
@rashidkihunga2938 7 месяцев назад
usiyo yajua kaa kimya uyajue
@elibarikikweka5712
@elibarikikweka5712 6 месяцев назад
There must be a very crucial issue,so huwezi kusema eti Zanzibar si shwari. Lazima KUNA sababu
@rafaelmarquez9396
@rafaelmarquez9396 4 месяца назад
Urais wa kumwaga damu za wasio na hatia ili awe rais dhulma haidumu na ikidumu inadamirisha
@salma0000
@salma0000 7 месяцев назад
Wanajuana hao wala sitii langu
@DrFatmaKhanPanAfrikan
@DrFatmaKhanPanAfrikan 6 месяцев назад
😒 Muziki sauti punguza please
@shahabdallah9407
@shahabdallah9407 6 месяцев назад
Kumbe kisa ulevi?
@mchagagaspar6649
@mchagagaspar6649 6 месяцев назад
WAHAKIKISHA WEWE NDIE ULIWAFUNGA MSHEIKH WA ZANZIBA KUUNGWA MYAKA 9 HADI WENGINE KUWA WALEMAVU UKIMTIIKIKWEE BADALA YA MUNGU WAKO ,ILI UPWE URAISI ,HATA IDDI AMIN GADAFI NA ....WALIKUTANA NA MUNKARI NA NAKIR ....
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 7 месяцев назад
👊✌👍.
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 месяцев назад
Chadema au ccm
@momylaviel
@momylaviel 7 месяцев назад
❤❤❤
@HajiMakame-m8l
@HajiMakame-m8l 7 месяцев назад
Bora ujiuzulu zanzibar sinchi hii mkoa tu huu wewe waziri unaweza kwenda tia saini Kenya waje Kenya waje aekeze watu
@MWIGAADAM-r3e
@MWIGAADAM-r3e 7 месяцев назад
Zanzibar ni mkowa wenye tarehe yake ya uhuru,katiba yake,Sheria zake,mipaka yake ni tofaut na mikoa ya Tanganyika kama vile Tanga,Daresalam,Dodoma nk
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 месяцев назад
Kweli tumshauri huyu Mt kwa Hali ilivo bora a hie t akafanye mwengine yabinafsi
@hajihassan5433
@hajihassan5433 7 месяцев назад
​@@Sheba4651 Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hivyo ndani ya Muungano nje ya mataifa mengine Zanzibar sio nchi hata Ireland, Scotland, England na Wales zinafanya United Kingdom (Uingereza) passport yao ni moja hivyo nje ya nchi nyingine zote hizo sio nchi, nchi ni United Kingdom (Uingereza) na Tanzania ipo kama hivyo Zanzibar na Tanganyika zote sio nchi, nchi ni Tanzania.
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 7 месяцев назад
Huyu Mzee SAA ingine kama hazimtoshi kabisaa! Yeye ni mwandishi wa kizamaani ! Sasa hapa znz huwa hatubahatishi!
@jumakiduka4625
@jumakiduka4625 6 месяцев назад
huo muziki kstska tsarifa zako unakera
@edesaron9070
@edesaron9070 7 месяцев назад
Duuu urafi wa madaraka
@ChabAlly-jq6oo
@ChabAlly-jq6oo 6 месяцев назад
Fitna tupu. Hakuna chochote hapo.Udini pia umetiwa ki namna.Na kumfanya Mwinyi si Mzanzibari. Matatizo kuyapeleka kwenye pombe ili kunyanyua hisia za wazanzbari. Mwinyi anafanya vizuri sana Zbar.
@lucylyuki4852
@lucylyuki4852 6 месяцев назад
Eeeheee
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 7 месяцев назад
Acha uchonganishi Mzee miyeyusho
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 7 месяцев назад
Serekali si ndo baraza la mawaziri au anaongelea nn Mwinyi wa mkulanga
@mwanalelee6
@mwanalelee6 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 6 месяцев назад
Historia ya zanzibari kwa elimu ya dini ya mungu nchi iliyo jaa misikiti kila pahala haifai kutenda mambo enayo katazwa katika dini ya kiislaam hapo braka la mungu haitaendelea kwa uasi pombe utali ushoga pesa sio kila kitu masahaba hawakuwa hivyo bora ritha mungu NA kusoma gruani NA maana yake baraka itajaa tele kwa watoto na vizazi NA kwa nchi
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 6 месяцев назад
Zanzibar ni nchi inayotegemea sana UTALII. Ule si utalii wa kidini. Eleweni.
@elibarikikweka5712
@elibarikikweka5712 6 месяцев назад
Duuh! Kama ni HIVYO basi ni balaa. LAKINI hii haitoshi kusema Zanzibar si shwari
@user-ly7yx2be1p
@user-ly7yx2be1p 6 месяцев назад
Wewe ngurumo unapandiwa kumbeee
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 7 месяцев назад
Zanzibar ni shwari na amani
@machaliakulima76
@machaliakulima76 7 месяцев назад
Ngurumo anachuki sana sana sana na Tanzania
@R10_Rajab
@R10_Rajab 7 месяцев назад
Huyu mzee ametumwa
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 месяцев назад
Alokwambia Nani au kimya cha njaa ndio tunagugumia acha masihara yako wewe
@barakanyamafu5937
@barakanyamafu5937 7 месяцев назад
MIMI SIONI TATIZO HAPO RAISI YUKO VIZURI TU
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 7 месяцев назад
Kagame anaivamia nchi moja ya Africa mashariki Ndani ya wiki mbili hizi...fuatilia hii...it is serious
@user-mn7zq7cd5t
@user-mn7zq7cd5t 7 месяцев назад
Inchi gani
@freduallughano2301
@freduallughano2301 6 месяцев назад
Mmmh Kagame anajua madhara ya vita labda apigane na Burundi lkn kwa tz au kenya hawezi labda alazimike kupigana.
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 7 месяцев назад
😮WAZANZIBARI HATUTAKI MUUNGANO HARAMU USIO NA MSINGI WA KIMAADILI WAZANZIBARI NA NCHI YAO 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 7 месяцев назад
Maadili yapi? Wakati kumechafuka hatari
@makibadatela7865
@makibadatela7865 7 месяцев назад
Kujiuzulu sio kwenda kumwomba Bosi wako kuwa mie naacha kazi au la, Bali ni uamuzi wako kuwa una acha kazi na hutoendelea nayo akubali au akatae, kumwarifu ni utaratibu tu haubadili umuzi uamuzi wako na ungwana, Hilo la kutaka kujizulu halafu bosi akakataa !!!!!
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 7 месяцев назад
Sisi wanzanzibar tupo shwar saana kwa sasa, hakuna shida YOYOTE wala vurugu, habar ya viongozi tunawaachia wenyewe hadi 2025 😅 vurugu kwetu uchaguzi tu basi
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 месяцев назад
Sawa ila isimaanishe kwa mba2025 ndo tufanye vurugu ama tufanyiwe hapana bali ni historian t kua kila uchaguzi tunafanyiwa fujo Mara hii bass ujinga ujinga huu
@KhaleedHamad-vl7lz
@KhaleedHamad-vl7lz 7 месяцев назад
Hahaha serikali ya kifalme baba mwana
@muuminsaid-bd6cm
@muuminsaid-bd6cm 6 месяцев назад
Mm namkubali raisi wangu mwinyi pija kazi
@alvinbernad6549
@alvinbernad6549 6 месяцев назад
Kimeumana😂😂
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 7 месяцев назад
Presidaar uko vizuri Baba piga kazi uko vizuri achana na wanafiki hao
@leotvke.
@leotvke. 6 месяцев назад
Bila shaka unayoyasema yanauzito mkubwa na mimi kama mchambuzi chipukizi wa siasa za kimataifa naunga a na wewe Mia fili Mia, 2022 ni litembelea taifa hilo na nikaona hata kampuni zinazopewa tenda za ujenzi ni kupitia jina lake kama vile Mwinyi contraction engineering hilo lilinishangaza na vyombo vya habari na mashirika ya haki za uma yamekaa kimya juu ya huo unyama
@pherdsonmasansi3068
@pherdsonmasansi3068 7 месяцев назад
Biashara ya Bia
@HhhTt-vl9ct
@HhhTt-vl9ct 7 месяцев назад
Sami ni waziri wa utalii na utalii unataka anasa Moja wapo ni pombe Sasa serikali imezuiya kuingiza pombe Zanzibar na yeye simai ana bar kubwa pale Zanzibar na ni kitovu Cha watalui wanao tumia vileo kwa ufupi hiyo ndio story.
@RioIpo
@RioIpo 6 месяцев назад
Mercury na 6 degrees zote zake
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 7 месяцев назад
😮😮Kaja bila ya WAZANZIBARI kujuwa nani raisi na yeye katumia kupiga watu na kuuwa alikuwa zaidi ya kujiuzuzu lakini kaganda na damu za watu 😮😮😢😢😢😮
@lucylyuki4852
@lucylyuki4852 6 месяцев назад
Kumbeeerr
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es 7 месяцев назад
Akioshwa Kwa Damu ya Yesu atatakata na kung'aa kabisa.
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 месяцев назад
Au sio ulijuaje
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es 7 месяцев назад
Imeandikwa ktk Isaiah.1:18.
@Sheba4651
@Sheba4651 7 месяцев назад
​@@rev.livingstoneelihuruma-fk7es Ati damu ya Yesu ! Kwani alitoka damu? Hizo habari za kutoka damu mbona ni uongo, hata Paulo ana shaka nalo. Alisema, aliokolewa, sasa tushike lipi, kuna damu ya Yesu ama aliokolewa? ##Waebrania 5:7
@mrishojuma4695
@mrishojuma4695 7 месяцев назад
Mjinga wewe we mwenyewe hujaoshwa na Yesu kwamaana hakujui Yesu mwenyewe kwamaana humuabudu Mungu Bali unawaabudu wazayuni
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es 7 месяцев назад
Haya ni Maneno ya Hekima, na Hekima ni Mafumbo.Mithali.1:1-7,Tunaweza kutambua kweli Fulani zilizofichwa tkt Maneno ya Hekima Kwa Hekima hiyo hiyo.John.1:29. Tangu kale watu walitumia kafara za wanyama Ili kuondoa khatiya,Nuksi,mikosi,na mabalaa. Na hata Sasa Bado Kuna njia watu wanazitumia.
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 7 месяцев назад
😮SHAMTE MPUMBAVU MNAFIKI MUONGO HAJIJUWI WAPI YUPO 😮😮😮😮
@gilbertshirima2684
@gilbertshirima2684 7 месяцев назад
Naona nikiendelea kufurahia bando langu
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 7 месяцев назад
😮
@kabwangaselemani5228
@kabwangaselemani5228 6 месяцев назад
Hivi ni kweli channel hii haijaona mema kwenye Serikali hizi mbili?
@KidijeiNuru
@KidijeiNuru 7 месяцев назад
Eti anataka kugombea urais Bara na siumesema Bara ndiokwao kwani akigombea anaizuia chadema kushinda, jinga Sana wewe
@aronmtui597
@aronmtui597 6 месяцев назад
Viongozi wa Africa ni shida
@benedictmichael2425
@benedictmichael2425 7 месяцев назад
Kimya kingi kina mshindo mkubwa. Tunausubiri huo mshindo....
@abubakaradnan4689
@abubakaradnan4689 7 месяцев назад
Hakuna tatizo lolote zanzibar ni salama nchi imetulia hizo ni fitna zenu.Rais mwinyi piga kazi na tunakutakia kheri afya njema umri mrefu wenye afya na uzima uwendele kutuongoza mpaka 2030 kwani ufanya vizuri sana Amin.
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 7 месяцев назад
🙏
@josephbundala1475
@josephbundala1475 6 месяцев назад
Huyu si mchambuzi. Ni mzushi tu.
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 6 месяцев назад
Hongera!
@KidijeiNuru
@KidijeiNuru 7 месяцев назад
We fyatu Sana umejaa ukabila fitna uzandidu, mnafiki mkubwa wewe
@godsson5954
@godsson5954 7 месяцев назад
UCHAMBUZI UFANYIKE BILA HUO WIMBO(BACKGROUND MUSICS SUCKS)
@user-tk8nn2tu3u
@user-tk8nn2tu3u 6 месяцев назад
Iko wapi Zanzibar tunayoijuwa?
@BabnaaNassour
@BabnaaNassour 6 месяцев назад
😂😂😂ipo subiria inaandaliwa vizury maanake ushoga unaenea kila kona usagaji usiseme dhulma n.k still kunawajinga wa unguja wanaipenda CCM ila tuendeleee😂😂
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 7 месяцев назад
Kwani serekali ni nani si pamoja na huyo aliyejiuzulu?? Kama ana mawazo tofauti ndo ajiuzulu😢😢
@mohamedally5544
@mohamedally5544 6 месяцев назад
Nahitaji mawasiliano yako mkuu Nina hitaji kuongea nawewe.
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 6 месяцев назад
Utanipata kwa WhatsApp +46700560797
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 7 месяцев назад
Manyan yakipigana nyas ndio zinaumia
@ZaitunAbdallah-ol1bb
@ZaitunAbdallah-ol1bb 7 месяцев назад
Muongo hukutaka kujiuzulu muongo
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 месяцев назад
Eeee we Nani unaejiamini ili na sisi tupate ujasiri
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 7 месяцев назад
HUYU RAISI SI MUISLAMU HATOKI MISIKITI I MBONA ANAJIHUSISHA NA POMBE POMBE AU MLEVI KAMA KARUME HAWA WATU HAWANA IMANI YA UISLAMU PESA MBELE WAMEWEKA SIO WATU WAZURI 😮😮😮 .
@abedymtore2707
@abedymtore2707 7 месяцев назад
Kazi ipo kubwa sana Kwa Tanzania hii?
@machaliakulima76
@machaliakulima76 7 месяцев назад
Rais Hussein si mlevi wala mnywaji wa vilevi
@rashidkihunga2938
@rashidkihunga2938 7 месяцев назад
kama haukili wache wakile.kama hanywi ache wanywe
Далее
ZANZIBAR SI SHWARI - 02
13:14
Просмотров 10 тыс.
КОСПЛЕЙ НА СЭНДИ ИЗ СПАНЧБОБА
00:57
RASMI, TANZANIA IMEREJEA GIZANI KITAIFA NA KIMATAIFA
27:22
DOTTO BITEKO ALIPITIWA AU ALIPUUZA KAULI YA MAASKOFU?
15:58
Одного
3:13
Просмотров 140 тыс.
HammAli & Navai - Всем заметно
3:33
Просмотров 272 тыс.
NЮ - Уходишь  (ПРЕМЬЕРА трека)
3:22
NЮ - Отпустил (Mood video)
3:10
Просмотров 342 тыс.
А вишня красная
4:22
Просмотров 23 тыс.