Тёмный

Zitto Kabwe: Sikutaka Njia Rahisi, Niliamini Wananchi Wanahitaji Chama Imara Cha Kuwasemea 

ACT MEDIA
Подписаться 107 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@AdamCheze
@AdamCheze 4 часа назад
Simuamin Mtawala Na Mpinzan Simsadiki Mana Naona Wanacheza Na Dj Kazima Mziki
@neemanziku5403
@neemanziku5403 4 часа назад
Chadema bado tuko pamoja nawe zito
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 3 часа назад
Hizi kauli zako na misimamo yako wewe Zito ndiyo iliyowafanya chadema chini ya M/kiti Mbowe wakufukuze kutoka chama chao chadema. Ulimkaribisha Bernad Membe kwa mbwembe ACT lakini naye hakudumu akakukimbia na kurudi alikotoka.
@davieswillson9782
@davieswillson9782 Час назад
Dongo Kwa msigwa anasaliti cdm
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 48 секунд назад
Zito huaminiki. Umetoka Chadema, ukashusha cuf na kuipandusha ACT wazalendo Zanzibar. Na kuwapa uhuru bandia. Unataka kufanya hivi hivi bara uwe mtoto wa ccm Bendera kwa jina tu. Huaminiki
@JosephMagige-lf9ns
@JosephMagige-lf9ns 3 часа назад
Hiyo ndiyo kweli na kweli tupu
@mdedsm5522
@mdedsm5522 4 часа назад
Viva ACT
@Jal210
@Jal210 4 часа назад
Wewe acha ujinga wako
@neemanziku5403
@neemanziku5403 4 часа назад
Ww ndo mjinga zaidi
@mdedsm5522
@mdedsm5522 4 часа назад
Mjinga wahedi
@daudipartson5463
@daudipartson5463 4 часа назад
@@neemanziku5403 mwambie huyo. si ajabu atakuwa ni mmoja wao wa hao maendelamu wanaotuteka kututesa na kutuua daily!
@monicamwita7865
@monicamwita7865 3 часа назад
Ujinga gani au ndiyo wewe mji 😮
@ShabaniWabiga
@ShabaniWabiga 3 часа назад
Nakuunga mkono zito
@godfreyfrancis1013
@godfreyfrancis1013 4 часа назад
Good
@ShabaniWabiga
@ShabaniWabiga 3 часа назад
Akuunga mkono zto
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 Час назад
ACT Wazalendo ndio chama pekee kwa sasa cha upinzani TZ
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 2 часа назад
HIKI NDICHO CHAMA HALISI CHA UPINZANI NA CHENYE DEMOKRASIA YA KWELI NA SIO CHADEMA CHAMA CHA MTU BINAFSI MBOWE PEKEE!!! MF.ZITTO KAWA MWENYEKITI MIAKA MITANO ACT NA ILIPOISHA AKAMUACHIA DORRTH AMBAYE NDIO MWENYEKITI....LKN MBOWE MPAKA SASA ANA MIAKA 20 KAMA MWENYEKITI!!!! HUU SI UHUNI???
Далее
Ромарио стал Ромой
00:46
Просмотров 122 тыс.
WATEKAJI, WAUAJI WAMEPATA HAMASA
4:06
Просмотров 7 тыс.