My brother and friend, ni neema kubwa sana kutumika na Wewe kwenye ibada hii kubwa! Mungu akubariki kwa kuniamini kaka yangu! wimbo huu ni baraka kubwa sana sana kwa kizazi hiki
The first time i heard your Voice Rehema, I heard the Sounds from the Inner Chambers of Heaven radiating and Flowing through your Voice.. The Angelic backing you have is mighty... You turn a song into Worship, You turn Music into Spiritual Deep Matters You turn words into Tongues You turn droplets into Rivers of living water You turn smoke into Fire Only a Worshipper will know what i am saying. I would really Love to hear a Worship Overflow of you and Dr. Sarah K from Kenya. Much Love from Kenya @rehemasimfukwe
Ni kweli Mungu wetu anarejesh, majira kama haya mwaka jana huu ndio ulikuwa wimbo wangu sikuwa na ajira baada ya ajira yangu ya mkataba kusitishwa bila sababu, niliamini Mungu atanirejeshea kazi yangu niliyo nyang'anywa nikweli nilisha fanya interview lakini niliendelea na maombi huku nikisikiliza wimbo huu mwishoni Zaravo anasema hata sasa hujatamka neno hiyo ilini gusa sana na yale maandiko ya kitabu cha mwanzo tarehe 21 Julay 2023 mkeka wa sekretariet ya ajira ulitoka nami jina langu lilikuwepo miongoni mwa waliopata kazi, namshukuru Mungu sana ,nasasa ni mwajiriwa wakudumu serikalini. nikutie moyo wewe ulienyang'anywa kilicho haki yako endelea kuamini utarejeshewa maradufu.
I worshipped with this song last night. When Zoravo said " Let me speak to someone, I felt this very strong presence of the holy spirit and I thought it's just a normal thing. I went to sleep only to have a very symbolic dream" I saw myself in the village. There was this huge tree that stood in my grandfather's land. It fell coming off with the roots and nothing else in the sorrounding was destroyed"....To those who understand, this has a deep spiritual meaning. A stronghold GOT defeated 💯🙏. God has restored my family!! "Na safari hii nainuka kwa ujasiri, adui yangu jiandae mapigo ya bwana". “Niliangusha elfu safari hii makumi, nilivuna wachache safari hii nakunyang’anya wote. Much love from Kenya.
Anyone has undergone the pain of losing or pain , rejection, suffering and waiting upon God without getting answer l we understand the song very well this round God is going to restore everything that we lost in tears and pain😢😢😢 at He's appointed time he has made everything beautiful at his own time🙏🙏
This is my 2024 anthem, because brothers and sisters, God is restoring everything that the enemy took from me in 2023 and all the past years. In place of shame, He is restoring grace in 10 folds and in place of pain, He is restoring laugh in 10 folds. He is opening every closed door and fighting every battle seen and unseen. Mark this comment because this is a testimony loading. Mungu wangu anarejesha. Amina Amina
Amen,I am standing with you in this,I can't wait for your testimony as I wait for mine,I declare this is the year of restoration,let the enemy prepare for the blow of the Lord
My prayer to any random person reading this the Lord will turn your weeping into dancing. He will give you a reason to not just smile but laugh again. The Lord will see you through this difficult situation and comfort you on all sides..
What I remeber, when this song wasa being released, I was in a seriously sick and even my parents and my relatives were not sure that I will survive again , I remeber when I was at hospital I always listened to this song and I became strong again, God did it to me , am alive again." Anarejesha vilivyopotoea, wakati ule wa dhoruba" 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
For the two minutes,, Please God restore my health, i need a testimony through this song 🙏🙏 Nimechoka na ulcers and am pregnant the pain is too much to bare,, Jesus restore my health,, PLEASE🙏🙏
i love this song i need so desperately for God to restore all the world has taken away from me and everything my disobedience has made me do May God restore and give me speed to help me catch up with the blessings he had intended for me
God surely "Anarejesha" I was working and i didnt see any profit coz nlkua napata hasara tu ila Mungu alinishangaza sku nlpta faida mfufulizo tn kwa wakati wa kushangaza ninainuka tena kwa ujasiri kwa kua Bwana Amerejesha kla ktu nlchopoteza na tena zaidi,, Am grateful oooh Lord😊🙏
Nawapenda mno mdogo wangu Rehema toka nimekufahamu KKKT kigogo for the first time nimekuona kwenye praise Mungu alikutumia uponyaji ukatokea kwa ndugu yangu kwenye ibada kwa kusifu tu Mungu akupe kutunza alichoweka NDANI yako Kaka Zoravo pia nyimbo unazoimba ni impact kubwa kwenye maisha yangu napenda kuimba mno kumsifu MUNGU aliye hai. Mbarikiwe mno.
(Sung in Swahili) Anarejesha vilivyopotea (He restores what was once lost) Wakati ule wa dhoruba (In the time of storms) Anarejesha vilivyoibiwa (He restored what was once stolen) Wakati ule nimesisinzia (When I was asleep) Anarejesha vilivyonyang’anywa (He restored what was once taken) Wakati nimetindikiwa (When I have been persecuted) (Repeat) Niliangusha elfu (I fell a thousand) Safari hii makumi elfu (This time, tens of thousands) Nilivuna wachache (I harvested a few) Safari nakunyang’anya wote (This time I will harvest all) (Repeat) Bwana anarejesha, anarejesha (The Lord restores, He restores) Yesu anarejesha, Bwana (Jesus retores, He is the Lord) Uzima wangu, anarejesha (My life, He restores) Uchumi wangu, anarejesha (My finances, He restores) Yesu anarejesha, Bwana (Jesus restores, He is the Lord) Na safari hii ninainuka kwa ujasiri (This time I arise with courage) Adui yangu, jiandae mapigo ya Bwana (My enemies, prepare for for the Lord’s punishment)(Repeat)
Razzmatazz mmekuwa mateka na mmenaswa kwenye mashimo wala hakuna asimaye narudisha....wat a powerful prophetic word....Nasudishaaaa vyoote vilivyochukuliwa na yule muovu..Jiandae mapigo ya Baba yangu
Adui yangu,jitayarishe mapigo ya bwana!!!This time around,im coming out swinging by God's mighty hand🙌🙌 restoration is my portion in Jesus name!🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amina, this song is meant for me, lord restore my health, I'm recovering from a surgery and I believe I will be back in my feet, I trust in my living Lord. Hallelujah, healing is my portion.
Bwana anaenda kuwapiga adui zangu wote na anakwenda kurejesha kila kilicho changu ambacho adui ameiba ama alichoninyanganya . Bwana anaenda kuvirejesha vyote katika jina la Yesu kristo. Kupitia mafuta yanayo mwagika kwenye Wimbo huu , kwa ujasiri navipokea vyangu vyote kwa jina la Yesu kristo 🇨🇩
Huu wimbo uliniinua siku moja niliamka nimepondeka sana moyo ulikuwa unaugua, nikafungua clouds chomoza nikakutana na wimbo huu ulinigeuza na kuwa mpya, nilipokea nguvu na tumaini, nilijisikia mzigo nimeutua, barikiweni sana watumishi kwa prophetic song hii nawaombea muinuliwe zaidi ili mfae siku zote kwa ajili ya wengi 🙏🙏
Tunatamkaaa urejesho wa Bwana Kama Visima vyote vya Yakobo Tunatamka Kufukuliwa tena visima Ikiwa n kazi,biashara,Kukua kiroho na kiuchumi Tunafukua Tunainuka kwa ujasiri Tamka urejesho mahari ulipo Urejesho wa Mungu unakujaa🧎🏼➡️
Am blessed.. naamini nimevuka na vimerejeshwa vilivyo vyangu vyote.... Maana huu wimbo umenikuta kwenye siku ambayo nilikuwa nauchungu sana moyoni .. but huu wimbo umeondoa uchungu moyoni mwangu.. nina imani na huyu Mungu aliondoa uchungu anaenda kurejesha kila kilichopotea ,kilichoibiwa au kunyanganywa na adui... Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
Na safari hii Nina inuka kwa ujasiri eeh bwana, unisaidie na kizazi changu,Kila mipango ya adui na mitego,isitupate milele,nijalie Imani na Amani maishani mwangu.
The first time i heard your Voice Rehema, I heard the Sounds from the Inner Chambers of Heaven radiating and Flowing through your Voice.. The Angelic backing you have is mighty... You turn a song into Worship, You turn Music into Spiritual Deep Matters You turn words into Tongues You turn droplets into Rivers of living water You turn smoke into Fire Only a Worshipper will know what i am saying. Much Love from Kenya @rehemasimfukwe
Pokea upendo kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪, Mwenyezi Mungu awabariki sana.Mungu ni mkuu kwa yeyote aliyepoteza chochote katika safari hii ya maisha mwamini Mwenyezi Mungu atarejesha vyote.
I have a testimony of this song. God has surely restored me. He has restored my weight, my property, my job, my sanity. He is my God and I love Him to bits..
ahahahahahah ni neema kubwaa iliyojee mana safariiii hiiii aduiii yangu jiandaee mapigo ya Bwanaa yanakujia ndipo utajuaa vzr namwabudu naniii mana mapigo yanayokujiaa ni zaid ya mapgo aliyopigwa farao mapigo kumi hahahah sasa subri hapo hapo ucondokee utasema tu na bdo ujasema
Hallelujah hakika Mungu amenirejeshea vyote... alivyonipangia... Adui yangu kaaa kisawa kisawa mana Mapigo ya Mungu wangu sio Mchezo... kamuulize Farao alichokipata.. yako itakuwa mara kumi... ASANTE YESU KWA KUNIREJESHEA VYOTE. NIMEVIPOKEA KWA JINA LA YESU.
And that is the principal of God. Restoration of our life. Do something to us ! Oh my Almighty God you are only one that worth to be praised.! And we will stand still unto you we won't turn back again!
This song omg!!! You can feel the presence of Holly spirit 🙌🙌🙌🙌🙌. “Niliangusha elfu safari hii hii makumi nilivuna wachache safari hii nakunyang’anya wote” 🔥🔥🔥🔥
Anarejesha vilivyopotea (He restores what was once lost) Wakati ule wa dhoruba (In the time of storms) Anarejesha vilivyoibiwa (He restored what was once stolen) Wakati ule nimesisinzia (When I was asleep) Anarejesha vilivyonyang’anywa (He restored what was once taken) Wakati nimetindikiwa (When I have been persecuted) (Repeat) Niliangusha elfu (I fell a thousand) Safari hii makumi elfu (This time, tens of thousands) Nilivuna wachache (I harvested a few) Safari nakunyang’anya wote (This time I will harvest all) (Repeat) Bwana anarejesha, anarejesha (The Lord restores, He restores) Yesu anarejesha, Bwana (Jesus retores, He is the Lord)
Nliangusha elfu safari hii makumi elfu,nlivuna wachache safari nakunyanganya wote..there is a strong message in it ....Mungu nipiganie zaidi kama ulivyompigania mfalme daudi....much love from Kenya 🇰🇪
Rehema Joel bela Paul and many of you Tanzanian gospel artist God bless you for me your song's have changed my life mnanifunza kua na imani kila siku barikiwa sana
This month really never started well for me but yesterday when I felt nimefika mwisho this was the song that niliweka and immediately vitu vimeanza kufunguka Thankyou so much for this song From Kenya ❤️
Wow..Zoravo,Rehema...all you guys are Great..you always bring out songs from the spirit'.The Word is Manifest in your ministration...Holyghost Manifest Grace to Restore! mbarikiwe Zaidi.
Just talked to my former boss. He has refused to pay my dues. Honestly it's not the first time I'm being denied my dues. I am fixing my eyes on Jesus. God's a restorer. I have faith that God will restore. Amen