Тёмный

ZUCHU amkimbiza HARMONIZE mputa mputa huko boomplay,kamzidi idadi ya wasikilizaji licha ya AFROEA... 

Middle simba
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Please subscribe now on Our RU-vid channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
#harmonize
#rayvanny
#zuchu

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 192   
@MAJOGO20
@MAJOGO20 4 года назад
Team wcb for life na tunakuombea middle simba uende wasafi bhana
@khadijajuma7888
@khadijajuma7888 4 года назад
Zuchu nakukubali sana mashaallah mungu akujalie katika kazi yako😍😍😍
@mjjunior5959
@mjjunior5959 4 года назад
Mmm hapa namba moko apa Likes za zuchu jmn
@hamiskengwa5869
@hamiskengwa5869 4 года назад
Wakwanza hahaa hzi ndo stori Sasa 💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥safi zuchu
@godfreyjuma548
@godfreyjuma548 4 года назад
Nakubal kazi zko middle simba 💪 niushindi tu 💪💯 wcb 4 life 🇹🇿
@salummamba2279
@salummamba2279 4 года назад
Hata mm naomba like zenu
@jdboytz5197
@jdboytz5197 4 года назад
Zuchu a wezekani jamani naomba like za zuchu apa and msema ukweli middle simba apa ❤❤❤
@macvoice9220
@macvoice9220 4 года назад
Nguli wa music wa bongo fleva @diamondplatnumz hongera sanaa @middlesimba kwa taarifa nzuri...
@lostboyzfamily9087
@lostboyzfamily9087 4 года назад
Alafu mnamlinganisha and simba wewe middle simba wewe zuchu peke yake anawatoa jasho alafu simba
@arsenemuhindo
@arsenemuhindo 4 года назад
Big up Zuchu!!!!
@mukaplatnumz2313
@mukaplatnumz2313 4 года назад
Wasafi chama lao... pongezi kwa zuchu akeee
@officiallewiskhan
@officiallewiskhan 4 года назад
Middle simba unaweza 🔥🔥🔥🔥
@tumainimethod3751
@tumainimethod3751 4 года назад
Kúimba unaimbavizur sàna ira mashabikí 2napenda kuona mabadiliko yamziki so unaimba aina moja so good
@ashanalinga8719
@ashanalinga8719 4 года назад
Iyo promoshen ya zuchu ingekuwa amna korona sijui ingekuwaje angekuwa akuna corona promo yake ingekuwa siyo ya nnchi hii 🙌🙌🙌
@emilymideva8783
@emilymideva8783 4 года назад
Congratulations zuchu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ismisalmu7058
@ismisalmu7058 4 года назад
Jamani mpeni salamu mwijaku
@jojininga9041
@jojininga9041 4 года назад
Mashabiki was wcb tunanguvu Sana tukiamua kukusapot tunakusapot ukiondokatu nyumbani wcb ndoutajuwa upotea
@johnsilima6789
@johnsilima6789 4 года назад
Atakoma hapo ndo wanamlinganisha na Rayvany size ya lava lava na Queen darleen huyo harmonize
@andulilemwakihabha2931
@andulilemwakihabha2931 4 года назад
Zuchu
@son3lobigfish789
@son3lobigfish789 4 года назад
ilifutwa boomplay
@charleschibara3699
@charleschibara3699 4 года назад
wewe lava lava unamuonaje
@pen-g1
@pen-g1 4 года назад
Acheni kelele jamani wcb wanampush Sana zuchu atakosaje kuwa juu🤷🤷🤷 congrats zuchu
@chicharitoronaldo5950
@chicharitoronaldo5950 4 года назад
Na huyo korosho anapushiwa na media zote bongo!!!!
@pen-g1
@pen-g1 4 года назад
@@chicharitoronaldo5950 yeah atokosa kupanda aje
@kingbrownboy3112
@kingbrownboy3112 4 года назад
zuchu sio wa kushinda na harmomapenzi on boomplay hataki hivo zuchu
@babuyafebiani9417
@babuyafebiani9417 4 года назад
Middle Simba💪
@amiiedgar3991
@amiiedgar3991 4 года назад
Ndy ajue wanawake tunawza
@chicharitoronaldo5950
@chicharitoronaldo5950 4 года назад
Middle simba Tuweke na Makala ya RU-vid Zuchu Wimbo wake wa #WANA UNA 1 WEEK UNA VIEWS #2.5M NA #BEDROOM In wiki 3 But una views #2.2M.....Tembo amekalishwa na Mtoto wa kike😂😂😂😂
@tazamajefte
@tazamajefte 4 года назад
ukiwa usafini lamza utafika nbali cini ya eagle
@hashirjuma8327
@hashirjuma8327 4 года назад
Diamond 🔥🔥🔥🔥🔥
@kevinboyzallie416
@kevinboyzallie416 4 года назад
kama unakubari zuchuu gonga like back ni baallaaa
@eliyaserushago6051
@eliyaserushago6051 4 года назад
Zuchu forever # WCB💝
@directordeemer4810
@directordeemer4810 4 года назад
😂😂😂😂Nawaonea huruma ndug zang mnaoteseka kuw namba moko mpate likes habar zenu ninazooo😂😂😂😂
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 4 года назад
Kweli ameshuka sana
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 4 года назад
Uyu mtt moto yn zuchu ni noma
@davidmwango9388
@davidmwango9388 4 года назад
nakukubali sana middle simba
@johattyomertho9465
@johattyomertho9465 4 года назад
Middle simba Nakukubali sn kwa News zako nzuri za kila siku. #WCB# fr Life Mondi baba laoooooo
@charleschibara3699
@charleschibara3699 4 года назад
haipingiki mbona mond wa jizazi sana
@romamoreto5022
@romamoreto5022 4 года назад
Ni 🔥 isiyo zimika
@stansilauseliasi7883
@stansilauseliasi7883 4 года назад
Namba ndio zinasoma nyie kubali yule mtoto ni moto sana
@TheHunterTz
@TheHunterTz 4 года назад
Kumewaka #TheHunterVEVO
@malilasiwonike1918
@malilasiwonike1918 4 года назад
Mwanamke kwa mwanaume duh yetu macho
@timochazze9845
@timochazze9845 4 года назад
Simba is the best in Africa
@mangalilikilawe6788
@mangalilikilawe6788 4 года назад
Wcb ni hatarani sana asee
@jackgees6143
@jackgees6143 4 года назад
my kajoul, my east african queen love youu
@charlesnicolas6147
@charlesnicolas6147 4 года назад
Ila middle simba nakukubali sana mwamba piga kazi kisizwa mwanangu
@bushfireofficial3377
@bushfireofficial3377 4 года назад
what was the number of streamers before and after removal and reuploading of afro east ya harmonise.
@ramadanmgoss7956
@ramadanmgoss7956 4 года назад
Hawez kuongelea hilo uyu🤣
@ramadanmgoss7956
@ramadanmgoss7956 4 года назад
This man can not talk on that.we know him🤣
@BMx-zj3lz
@BMx-zj3lz 4 года назад
Hivi hizi likes husaidia nini watu, naomba nione faida yake
@alexhamis9662
@alexhamis9662 4 года назад
Likes zinamaanisha jinsi gani unapendwa
@officialmrtop1018
@officialmrtop1018 4 года назад
Hahahah ndo maana nawaambia Rayvanny ni namba ningine hiyo 1.1M harmonize kuieneza itatowa jasho ,Zuchu ni namba nyingine
@hilariusgaspary1994
@hilariusgaspary1994 4 года назад
Zuchu Wcb for life
@akibarahamadi5058
@akibarahamadi5058 4 года назад
zuchu wcb for life
@sadibatangalwa5890
@sadibatangalwa5890 4 года назад
Watalia sana sisi tupo wasaf
@oliversamadu3581
@oliversamadu3581 4 года назад
Middle Simba,et mputa mputa🤣🤣🤣
@jephtershihume8943
@jephtershihume8943 4 года назад
🦁🦁🦁🦁🦁
@almasially6509
@almasially6509 4 года назад
Harmonize mwacheni tu ila akijastuka tu atajkuta mpinzani wake ni ZUCHU
@prfjonaslaviss5064
@prfjonaslaviss5064 4 года назад
Share to each and everyone he can reach 1M subscribe #middle SIMBA You are doing god Job brother...🙏🏾🙏🏾🎊
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-vEXgy9Zh8RQ.html official zuchu interview kuhus vedio yake mpya
@earthquakeplan7795
@earthquakeplan7795 4 года назад
Kode boy ie the best
@nshonabdll9363
@nshonabdll9363 4 года назад
Alina Mido simba mondi anajuwa kuplomosheni msanii so km kiba zuchu ht muezi miwili hn ss yupo juu
@msuo7215
@msuo7215 4 года назад
Jamaa unajuwa kutangaza
@rivermtus
@rivermtus 4 года назад
Uki ongea wewe uwaga na weka 👌👍 yani wewe ndiye mtangazaji wa kwanza apo tz
@schoolboy1614
@schoolboy1614 4 года назад
Ww ni middle simba mzee nakukubali babu
@kabolya03
@kabolya03 4 года назад
Zuchu😅😅😅 Nakuona nakuona
@ngomekejuwakali8557
@ngomekejuwakali8557 4 года назад
wcb for life#
@ngomekejuwakali8557
@ngomekejuwakali8557 4 года назад
wcb for life🔥🔥
@ibrahimoparanya9424
@ibrahimoparanya9424 4 года назад
Wacha tharau middle Simba jameni utamulinganishaje zuchu na harmonize jameni daaaa hio ni kumkosea harmonize eshima hyo ni mtoto kwa game mkubali mkatae harmonize ni msani mkubwa 💪
@lbyogolbyogo1045
@lbyogolbyogo1045 4 года назад
Msani local makonde ana ata tuzo ya Mataifa wewe amka wa lala ravanny ana BET award fact
@chancehoffmann9083
@chancehoffmann9083 4 года назад
Msani mkubwa ana tunzo ngapi?nenda kwa mondi uhesabu matunzo njo uta elewa mambo uko naongeya uyo makonde hana ata tunzo moja
@ibrahimoparanya9424
@ibrahimoparanya9424 4 года назад
@@chancehoffmann9083 mshenzi tunaogea mambo ya zuchu na harmo we vipi mondo katokea wapi
@ibrahimoparanya9424
@ibrahimoparanya9424 4 года назад
@@chancehoffmann9083 kama unaelewa haya mambo na c mjinga jinsi ulivyo Kati ya mondi na Ali nani mzazi kwa muziki ????
@ibrahimoparanya9424
@ibrahimoparanya9424 4 года назад
@@alexisrommeo3972 ni washenzi hao bro wachana nawo hawajui wanacho ongea fullish
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 4 года назад
Nampa mwezi mi tatu (3)
@iammusic3404
@iammusic3404 4 года назад
Harmonize akalime tu Mana kama wimbo wa #wana tu by #Zuchu imezikalisha nyimbo zake zote in terms of views (on utube) tangu2020 ianz mpk leo Siaibu hii 😔😔😔😭😜
@mathayomaganga2105
@mathayomaganga2105 4 года назад
Sat zuchu
@abdoummadibacar6007
@abdoummadibacar6007 4 года назад
Wcb wame fana vizuri
@Bobgm10
@Bobgm10 4 года назад
😋😋😋🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@josephinamwita9158
@josephinamwita9158 4 года назад
Mtoto ametishaa 💗💗💗
@donsart6303
@donsart6303 4 года назад
zuchu bado mapema anapata promo kupitia diamond ila konde boy ni mbabe alibobea yani ni fundi kupitia wasafi zuchu ndo kwanza tu anaanza bongo fleva ila ana kipaji kizuri watu wazidi kumpokea vizuri
@alimairakoze3784
@alimairakoze3784 4 года назад
🤝🤝
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 4 года назад
Middle campaoner wa wcb
@amanianodamanianod2304
@amanianodamanianod2304 4 года назад
King lion watakaatu
@ahmadhalfani368
@ahmadhalfani368 4 года назад
hatarii wasafiiiii
@nyotamapenzi9854
@nyotamapenzi9854 4 года назад
ss ma shabiki wa wcb ni ma shabiki waukweli hata harmonize anajua ivo hata kama anajipigaga kifuani zuchu ni moto
@ndayishimiyepascal5928
@ndayishimiyepascal5928 4 года назад
Siyo kweli bro. Hapa umezingua kabisa hapa haukua makini kabisa . Isssue yiko ivi wakati harmonize Album yake inafutwa kati ka boomplay alikua yiko na laki 6 views ila wakati inarudia ilimuja upya ikasnza ku zero
@sofiaasukuku8238
@sofiaasukuku8238 4 года назад
Ujui kitu wewe weka matako chini ,,Corona wewe
@chicharitoronaldo5950
@chicharitoronaldo5950 4 года назад
Wacha ujinga ww...album ilitolewa kwa makosa yake ya copyrights ila ilipo rudishwa streams zote zilirudi...wacha kupotosha watu!!!
@merishoherman169
@merishoherman169 4 года назад
@@chicharitoronaldo5950 kwaiyo zirud ndo zitoke 500k mpak 300k
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 4 года назад
@@merishoherman169 unajua lakini boomplay au unaropoka harmonize kwa wiki moja awe na streamers 600K nguvu iyo anaitoa wapi utakuwa ww.ni mgeni wa haya mambo lete ushahid ktk hili usitake kupotosha watu ww
@muniryhaji5294
@muniryhaji5294 4 года назад
Acheni ushamba nyinyi uwezi kumshinda nisha tembo na uyo zuchi demu ni demu t mshandanishe na nandy
@streetconatv100k
@streetconatv100k 4 года назад
Acha kuzingua middle simba huwezi mfananisha zuchu na harmonize hata kidogo mm nakukubalii lakini hapo nakataaa mzee
@profiler883
@profiler883 4 года назад
Mbna ww mnpnda kmfnnsh harmnz n bba ake mondii
@rashidahmed8071
@rashidahmed8071 4 года назад
Huyu mmakonde mshamba sana katolewa mbali huko vijijini
@ramadanmgoss7956
@ramadanmgoss7956 4 года назад
Endelea tu kutafuta kwa kina habr za kumponda mmakonde daily,,,,ila ni swala la muda tu MUNGU NI WA KWETU SOTE
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 4 года назад
Kwa hyo hapo amemponda au ni kitu really mzee ukweli usikutese maana utakuua ngoma 17 zina zaidi ya mwezi zinafunikwa na ngoma 7 zenye wiki moja mpaka hapo platform zinajua zuchu ni star kuliko harmonize
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 4 года назад
Mhhh middle mm simwelewi unalipwa kupromote ngoja tuone
@ailaguaswed9788
@ailaguaswed9788 4 года назад
🔥🔥🔥
@Amobizzy_OG
@Amobizzy_OG 4 года назад
Konde gang for every body miaka 100💯💯💥💥
@lbyogolbyogo1045
@lbyogolbyogo1045 4 года назад
Kwisha Kyle zamani wasadi njo mambo bila wasafi akuna mziki east afrika mtapatatabu sana
@youngcarlos6343
@youngcarlos6343 4 года назад
Ndio kabisa East Africa bila wasafi amgekua mnajulika nyinyi bana kuwenu waelewa bana
@Amobizzy_OG
@Amobizzy_OG 4 года назад
Mpk haromize mpk anakufa na cc ndo tunahama penda xanaa konde gang watu xafi mioyo mieupeee
@darweshmasoud8233
@darweshmasoud8233 4 года назад
Acha usenge wew zuchu ndio changudowa wk au
@abdiwalimuse3310
@abdiwalimuse3310 4 года назад
Ok
@elimupwele5610
@elimupwele5610 4 года назад
Jamani anae ujua wimbo huo background ni wa nani nataka niusikilize,middle simba.
@nanapega3802
@nanapega3802 4 года назад
Simba
@orestehavyarimana5806
@orestehavyarimana5806 4 года назад
Middle simba Utahangaïka xana wey
@richlymo
@richlymo 4 года назад
Sijawahi pata sabuscrabu huku naombeni #mnisabuscrabu yotubu chanel
@japhetsilungwe4719
@japhetsilungwe4719 4 года назад
Lakini ibra ni mkali kuliko zuchu
@abdallahmakange9849
@abdallahmakange9849 4 года назад
😄😄😄
@eddyboycharming115
@eddyboycharming115 4 года назад
Huwezi linganisha nyimbo kumi na nane na nyimbo tano apo n utoto
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 4 года назад
Kwahyo hapo nani alipaswa aww na streamers weng c ni mwnye nyimbo nying!?
@ishakahamad5627
@ishakahamad5627 4 года назад
Tunakujuwa ww wasani wako wasaf
@ramadanmgoss7956
@ramadanmgoss7956 4 года назад
Ndo hivo bro ,,hii channel n kama wasaf tv tu🤣 haijui hata kubalance shobo labda anatafuta ajira wcb 🤣 ngoja tumuache et kila mtu na vi plan vyake
@abdulhamidmcha8587
@abdulhamidmcha8587 4 года назад
@@ramadanmgoss7956 true
@danielpaul9395
@danielpaul9395 4 года назад
Middle kitu chochote cha wcb huwezi shindanaa nacho
@allykutenga2862
@allykutenga2862 4 года назад
Anapaishwa tu lakn kiukweli hana jipyaaaa..
@Alaskboy
@Alaskboy 4 года назад
Eh achia jamani!
@harmonizetz6595
@harmonizetz6595 4 года назад
Unamkosea jeshii adabu middle simba
@soudybrown1494
@soudybrown1494 4 года назад
Number hazidanganyi
@babuyafebiani9417
@babuyafebiani9417 4 года назад
Sio middle Simba bro yy anatoa taarfa zlizopo xax namb nd znaxm hvo ko adanganye ili kmtetea konde boy au?? Kuwen waelew jman mnamlaum middle for nothing
@johnboscohava9126
@johnboscohava9126 4 года назад
WANAMKOSEA BOOM PLAY SIO MIDDLE SIMBAA 🤣🤣
@chancehoffmann9083
@chancehoffmann9083 4 года назад
Uyo jeshi wenu tangu yuko haja pata ata tunzo tz ni musani wa kawaida sana na siku za mbele zuchu ata kuwa mbele yake
@hasmasalum7901
@hasmasalum7901 4 года назад
Chezea wasafi weeeeee
@b-brightakapella7734
@b-brightakapella7734 4 года назад
Kwanini hukusema kwamb amempita Rayvanny Uyu jamaa Fala sana
@chicharitoronaldo5950
@chicharitoronaldo5950 4 года назад
Ww ndio fala hapa sio middle simbaa...huoni STREAMS ZA VANNY BOY NI 1.1Milion???
@tazamajefte
@tazamajefte 4 года назад
flowers ina 1.1M
@justinnazaeli7977
@justinnazaeli7977 4 года назад
Alicho Sema Harmonize kuusu hili linalo Endelea mtandaoni Bofya link Apo Chini kujua zaidi. 👇. ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-FIMY5DzxGiU.html ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-FIMY5DzxGiU.html
@sofiaasukuku8238
@sofiaasukuku8238 4 года назад
Utajijuwa mwenyewe
@jamspili9606
@jamspili9606 4 года назад
Tunakujua wewe nu wasafi Toka hapo bumbafu nyoko
@pickfordjustin3432
@pickfordjustin3432 4 года назад
middle we ni lofa Sana, kond siyo size ya huu lofa mwenzako. Sisi warundi tumesha tambuwa kwamba unatumika wcb
@lilianeniyonzima3496
@lilianeniyonzima3496 4 года назад
Atakama amemuzidi number hawezi kumuringanisha na huyo taarab
@chancehoffmann9083
@chancehoffmann9083 4 года назад
Zuchu kwa siku za mbele ata mushusha uyo makonde
@johnson20176
@johnson20176 4 года назад
Wimbo wa background unaitwaje jamani mwenye kuujua
@shabanjohn8209
@shabanjohn8209 4 года назад
Unaitwa matango pori
@onlinetv7157
@onlinetv7157 4 года назад
Mtoto mkal sana middle simba
@budigabirdman4558
@budigabirdman4558 4 года назад
HARMONIZE ANAPIGA PESA MBAYA SANA NYINYI NI KELELE TU HAMNA LOLOTE KWANI UNAEZA JISHINDANISHA WW NA BIBI YKO FALA SANA WW
@mariamusaidi1031
@mariamusaidi1031 4 года назад
Vp mkuu unateseka 😂😂
@shylockadam4016
@shylockadam4016 4 года назад
afro east ilivofutwa ilikua na streams zaid ya 500k boomplay,, ilivorudishwa ikaanza upya ko unavo compare some things talk everything
@tazamajefte
@tazamajefte 4 года назад
hakuna imeendeleya kama kawaida
@merishoherman169
@merishoherman169 4 года назад
@@tazamajefte akili huna Sasa iendelee ndo itoke 500k mpaka 300k yan ata kujiongeza huwez
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 4 года назад
Acheni usenge nyie watu tunakesha kwa platforms zote msigikiri ivi vitu tunaviiga pindi inafutwa ilikuwa haijafika hata 100K na ilirudi na streamers wote.hakuna.biashara kama hiyo kwa platforms
@hajiabdallah1463
@hajiabdallah1463 4 года назад
Siwezi kuku shangaa koz unatafuta kula maana hata ww unajua kua album ya mmakonde ilitolewa na stemerz waka anza upya isipokua audio mark2 sasa unaongea nn hapo au ushuzi2
@alimairakoze3784
@alimairakoze3784 4 года назад
😂😂🤝
Далее
TRENDNI BOMBASI💣🔥 LADA
00:28
Просмотров 370 тыс.