Nice couple wallah allah azidi kuwaweka pamoja inshaallah. Zuchu anaupendo wa dhati kabisa tuzama macho yake yanaongea kilichopo moyoni na ananidhamu na heshima kwa mtu wake hajali kama anapesa nayey au amekuwa msanii mkubwa sasa ila upendo bhna daah my dear zuchu we ni next level honey nakukubali mnooooo 🥰🥰♥️♥️
Sote twaona Zuchu kweli anampenda...lakini tatizo tu huyu Simba atamtupa....this chick is awesome....Mondi, you will never find true love besides Zuchu...She has everything to complete you as a Man...
Wengine wadhani uzuri Ni kujichubuaa yaani weupe was dukani,, Au matiti plastic surgery na Matako,, jamani society hataki watu natural tena ,, . Uzuri Siku hiizi Ni mijitako mikubwaaa na mititi mikubwaaa na surgery tu. Zuchi you are so cute 🥰
Niliolewaga na mkikuyu wa Gatundu. Jamani akinipiga busy nilikuwa na sema Asante baba. Alikupa akiniuliza Nini mbaya na wewe Kila wakati unasena Asante Asante kwani nikikununulia gari na nyumba utasemaje sasa! I was done then!!
Wakati wenu hayo mambo ya kuwachwa na kuacha yapotu lakini hatupendi yatokee mi nawapenda nyoote ila nisingependa saana kushabikia uchumba wa muda mrefu mana nitakuwa nashabikia zinaa, ni ukweli japo unauma
MTU M'BADI, hiyo bado haitoshi ili umuhishimishe kweli ni muhimu sana umuoe.....kinyume chake haitakuwa na maana yoyote kwa7bu mambo kama hayo kwako yamezoeleka sana yaani sidhani kama kuna jipya hapo, so just do that 'mtu m'badi' na mungu atakulipa inshaallah.