hemed kaka unanirudisha kuangalia bongo movie sie wengine tulishahamia movie za nigeria,,wenzetu wana love story nzuri na unaangalia unataman movie isiishe juzi katika pita zangu kutafuta ktafuta movie zangu za nigeria nakutana na true love nafsi yangu kwa mara ya kwanza ikanisukuma kudonload moja kwa moja and nimefurah kwa maana sijajutia,you have done an amazing job congratulations na naamini utaendelea kutoa kazi nzuri kila siku tupo kwa ajili yako na tunakuombea uzid kufanya vizur,,,tunakupenda wengi endelea kutupa furaha inshaallah
Napenda hemendy movies zake za ningusa moyoni ila Irene nimemchukia tabia zake hivi wako dada wa haina hii jmn nimependa mamake Malik aki walahi kuvumilia yote hayo nimelia aki 😢