Mashaa Allah leo nimepika zurbian Ajab very nice. Mashaa Allah watu wote nyumbani wamependa. Guys jaribuni mutapenda. Shuna's thank you very much dear.
Mashaa Allah its look yummy yummy in shaa Allah ntajaribu yaani anty shuna nakupenda sana kwa ajili ya Allah wallhi u a da best Allah akutilie barka kwa hili
MashaAlah 😍🥰😋😋😋kitamu Sana Tena Sana MashaAlah,me nimepika na sambaro na nikatengeza na Salad bas ni balaa,thnx habbty wangu wajna angu Allah akubarik🤲
shukran dear. Kidogo nitakua na changamoto ya kutumia mkaa kwenye mazingira niliyopo lakini in shaa nikipata mazingira yanayoruhusu tu nikikumbuka nitafanya. Shukran dear