Ndio. Mana Sikuizi Uyu Watu Awampi Story Kwasababu Wenye Story Wanasoma Komenti Wanagundua Sitory Zao Azitendewi Haki Kipindi Kama Kinaenda Kufakufa Ivi
@@DavistarMataMediaDM sawa tuwekee muendelezo wa 3 wa dakika nyingi leo leo kabla siku haijaisha tutendee haki tumesubiri kwa siku 3 kisha unatuwekea sehemu moja ya dakika chache tu
MASWALI KUMUULIZA SHEBY; Unaweza kumuuliza hapo alisema kwenye kile chumba walikuwepo wote Baba na Mama shemeji na mtoto; Alihadithis baba yao kabla hajafa aliumwa kansa akakatwa mguu au miguu je alipowaona kwenye hiko Chumba je baba yao alikuwa vile vile hana mguu au miguu iliyokatwa wakat anaumwa au alikuwa mzima tu na miguu yote; Je mama yao alipomuona hapo kwenye hiko chumba alikuwa vile vile kaoza pande zote na mgongo au alikuwa mzima tu? Maswali mengine yatafuata..