Тёмный
KanutiTV
KanutiTV
KanutiTV
Подписаться
Hii ni chaneli ambayo inajihusisha na mambo mbalimbali ya kijamii kama vile matukio, habari, mikutano, mahojiano ya vipindi na mambo ya kimaendeleo kutoka sehemu Mbalimbali.
NAMNA UGAIDI UNAVYOANZA KWA VIJANA.
4:00
Месяц назад
BARAZA LA UVCCM BUHIGWE LIMEFANYA BALAA ZITO
10:13
5 месяцев назад
"BUHIGWE ITAKUWA TISHIO KWA SOMO LA KIINGEREZA"
14:24
7 месяцев назад
"HATUOGOPI MTIHANI WA TAIFA"
2:45
8 месяцев назад
HII NDIO MAANA YA NENO 'BUHIGWE"
2:21
9 месяцев назад
"WABABA NI MARUFUKU KUNYONYA MAZIWA"
8:34
10 месяцев назад
TAZAMA SANAA INAVYOZIDI KUKUA WILAYANI BUHIGWE
2:45
11 месяцев назад
CHANZO HIKI CHA MAJI KITUNZWE
1:52
Год назад
May 7, 2023
8:44
Год назад
Комментарии
@ibrahimwabu932
@ibrahimwabu932 15 дней назад
kazi nzuri sana
@user13375
@user13375 29 дней назад
wanajifunzia misik...
@joycehamka3825
@joycehamka3825 Месяц назад
Hongera kwa elimu hii
@M_STARTERBOY
@M_STARTERBOY 2 месяца назад
Umetisha
@user-xo5bn3dd5k
@user-xo5bn3dd5k 5 месяцев назад
Nimeipenda hiyo big up bro
@AbduliHussein-jt7ou
@AbduliHussein-jt7ou 7 месяцев назад
Mbona walev kibao humu
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 8 месяцев назад
Waafrica mtaendelea kutawaliwa hadi mfe yani watu na akili zao mnaongea mambo ya maziwa usenge mtupu, umaskini
@user-qb8qr4dq8k
@user-qb8qr4dq8k 9 месяцев назад
We mwamba tunakutegemea
@MwigaKatumpula-mi3zt
@MwigaKatumpula-mi3zt 9 месяцев назад
Namna hiyo, BUHIGWE ni sehemu ambayo ina kheli 😃😃👏👏
@agreymwambete1998
@agreymwambete1998 9 месяцев назад
unajua kwanini nachekaaa😂
@kanuti2021
@kanuti2021 9 месяцев назад
Kwann kaka
@agreymwambete1998
@agreymwambete1998 9 месяцев назад
😂
@agreymwambete1998
@agreymwambete1998 9 месяцев назад
mwanangu nyuma hapo kawaka mapema tuuu
@kanuti2021
@kanuti2021 9 месяцев назад
Hahahah
@user-cc2li4gu6d
@user-cc2li4gu6d 9 месяцев назад
mbandandu
@gavanaluyagwah1405
@gavanaluyagwah1405 10 месяцев назад
Nyinyi akinamama muache kabisa kuwapa Akina Baba Nyonyo zenu. Ninafikiri nyinyi ndio chanzo Cha janga Hilo mmewazoesha.
@FulahaNzenje-kz9rb
@FulahaNzenje-kz9rb 10 месяцев назад
nyamugali.safi.mama.zetu.awaona
@user-sh2yc4kj4f
@user-sh2yc4kj4f 10 месяцев назад
Saf sana mh DC nakupata nikiwa tunduma Tanzania
@NubisonBunera-em7oy
@NubisonBunera-em7oy 10 месяцев назад
Hongereni sana ndugu zetu wa buhigwe burudani ni nzuri sana kiufupi mmetisha
@raymondngeze3461
@raymondngeze3461 10 месяцев назад
Hongereni wanabuhigwe nyumbani mumeupiga sanaaa aseee sio kwa burudani hiyooo
@yothamlameck2973
@yothamlameck2973 10 месяцев назад
Ubarikiwe Sana kiongozi wetu DC mpendwa kwa taarifa, hatutakuangusha tupo tayar kuupokea
@derickcowly6681
@derickcowly6681 10 месяцев назад
😂😂😂😂 na wewe pia uache kunyonya maziwa na sisi tutaacha kunyonya kama uachi na sisi atuachi ulitakiwa kusema kwanza wewe kuwa umeacha
@ManaseBuhanza-cl1lc
@ManaseBuhanza-cl1lc 10 месяцев назад
Kigoma wazazi kero mchago ya shuleni kusababisha wanafunzi kuwa watoro na wazazi kutaharuki ,hususa kata za msambara shida sana
@yothamlameck2973
@yothamlameck2973 10 месяцев назад
Pongezi kwa VIONGOZI kwa kampeini nzur iliyofanyika kwa kuhamisisha unyonyeshaji wa watoto ipasavyo❤❤
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 10 месяцев назад
Eh huyu mkuu yupo sawa kweli? hili jambo anatakiwa atoe elimu hiyo kwa usahihi, kuna kunyonya maziwa halisi kutoka ktk titi na kunyonya titi bila kuvuta maziwa na hivi vitu vinatofautiana matumizi kwa makusudioa maalum, mwanamke huwezi kumuingilia kama mbuzi au kama punda au kama kuku, mwanamke anahitaji maandalizi maalum kwa ajili ya kumueka ktk mazingira mazuri kisaikolojia ili kupokea tendo la ndoa na ktk maandalizi hayo titi la mwanamke nalo pia linahusika ktk kumuandaa, sasa anatokea mtu kiongozi kama huyu anaongea mambo ya ndani hadharani kwenye hadhara ya watu huyu kiongozi ndio miongoni mwa wajinga wasiojua ni nini ndoa au nini tendo la ndoa tendo la ndoa ni starehe huwezi kumuingilia mwanamke kama unambaka, kama huna elimu ya jambo lolote usiongee mbele za watu hata kama ni kuongozi huo ni ujinga
@kutailass6671
@kutailass6671 10 месяцев назад
Pole mana yamekukuta, sasa kwani we hujaelewa nini hapo? au ndo we unanyonya maziwi ya wanao unawanyima haki Watoto? Kukusaidia tu, umeambiwa usinyonye maziwa ya watoto kama ni hilo titi subiri muda wakua titi tupu utalivuta😂 kaaah Jmn 🤦‍♀️
@EdithaAlasi-wg2pt
@EdithaAlasi-wg2pt 11 месяцев назад
Wang amezoea mm mwenyewe napenda San kunyonywa sijui itawekanaje kuacha
@jamesjahasa4726
@jamesjahasa4726 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 11 месяцев назад
Wangu alivyozoea kunyonya na mimi napenda sana aninyonye sijui itakuwaje sasa?😂😂😂
@kanuti2021
@kanuti2021 11 месяцев назад
Sasa itakuwaje hahaha
@Sheba4651
@Sheba4651 10 месяцев назад
Starehe kubwa tusiyoweza kuikosa sisi wengine, nyonyo moja tamu sukari tupu, moja chachu kidogo 😂😂😂
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 10 месяцев назад
@@Sheba4651 ngoja tu aendelee kunyonya kama kuna utamu mnapata🤣🤣🤣
@jamesjahasa4726
@jamesjahasa4726 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂
@jumaevarist9103
@jumaevarist9103 11 месяцев назад
Duh!
@ATHANASLUKEHA-ui7pq
@ATHANASLUKEHA-ui7pq 11 месяцев назад
Asante Sana mheshimiwa mkuu wa mkoa Kwa uwasilishaji mzuri wa miradi ya kuifanya Kigoma commercial hub.Mheshimiwa rais atusaidie pia kuzijenga Barbara za Kigoma ujiji KISASA,kama ilivyo Kwa mikoa ya kibiashara,maana Barabara Za mkoa huu zinvyojengwa,ni aibu tupu,wananchi wanajiuliza maswali mengi.
@raymondngeze3461
@raymondngeze3461 Год назад
Taarifa nzuri ila tungependa muwe munajitaidi kuzitoa tarifaa zote za kuhusu buhigwe haswa za pande ya tarafa ya Muyama kata ya Mugera tunazisikia kupitia watu badala ya kuzipata kwenye tovuti hii
@michaelkizwili2616
@michaelkizwili2616 Год назад
Genious professor mchango wake unaoendelea uko ni moja ya juhudi zake anazo endelea kufanya kuipammbania jamii ya watu wa kigoma kwa ujumla tujivunie kuwa na prof Yanda tupo dar es salaam ila uwepo wake uku uku alipo anatuoneaha upendo wa hali ya juu na kutufungulia milango ya kuuendeleza mkoa wetu. Tunahitaji akina prof Yanda wengi wengi katika mkoa wetu
@azaellivingston7415
@azaellivingston7415 Год назад
Hongereni sana viongozi kwa kutendea haki serikali yetu
@godfreyochogo9086
@godfreyochogo9086 Год назад
Mungu akubariki sana Mh Essau N
@tupolivetz4168
@tupolivetz4168 Год назад
Nice Info
@danielkiriku4843
@danielkiriku4843 Год назад
Naibuwamadini
@sadickjaphet6293
@sadickjaphet6293 Год назад
Good
@dausonnkeyemba3760
@dausonnkeyemba3760 Год назад
Waooooooh.. MUNGU ibariki BUHIGWE Mungu wabariki viongozi wetu... Amen
@didassadik8075
@didassadik8075 Год назад
Safi wana buhigwe
@AlexNkamata
@AlexNkamata Год назад
Asante Sana
@darasiuskabida6609
@darasiuskabida6609 Год назад
Tembeleeni na maeneo Mengine jukwa hili limetoa SoMo zuri sana
@AlexNkamata
@AlexNkamata Год назад
Tukikaribishwa tuko tayari Sanaa
@goldianrudovick4734
@goldianrudovick4734 Год назад
Hakika unapambana saana boss wetu @DED BUHIGWE KAZI IENDELEEE
@goldianrudovick4734
@goldianrudovick4734 Год назад
Hakika unapambana saana boss wetu @DED BUHIGWE KAZI IENDELEEE
@goldianrudovick4734
@goldianrudovick4734 Год назад
Waaooo, inaendeza saana
@darasiuskabida6609
@darasiuskabida6609 Год назад
Iko vizuri Wadau WOTE washirikishwe