katibu wa wazazi mkoa wa Kigoma ndugu ABUSHEKHE BAKARI KODEMA ametembelea miradi ya kiuchumi wilayani Buhigwe na kusisitiza kukamilika kwa miradi hiyo
10 июн 2023