I am a medical doctor in Kenya, currently undergoing my specialized training in General Surgery at the University of Nairobi. I am passionate about Breast Cancer Surgery and Treatment which is my intended sub-specialization... I aim to educate the public of different medical issues, with a focus on surgical conditions and cancer. Stay tuned!
Disclaimer: information on these videos are purely educational and are not a substitute for medical advise, diagnosis or treatment. Seek medical advise from your doctor regarding any medical condition you might have.
Dr mm nn shida ya ukeni nna uvimbe kwenye mlango wa uke hapa nje na ndani kidogo na ulikuja kwenye mimba ya mwangu wa kwanza ikawa linakua kama puto bada kuzaa nikachomwa shundani tupu tupu kuvutwa maji sasa saivi nna watoto 4 tena nayo bado ila sio kubwa nambiwa na lazima upreshen na badae mara kije litunge usaha ila haliumi bali nikiwa kwenye siku zangu lina vichomi vichomi kwa mbali sasa jee kweli hakuna dawa mana ni la mda na nna hofu sana na upasuwaji
Aslm alkm.mimi nimefanya kama harara mwenye titi langu kisha chini ya kwapa kuna maumivu hadi juu ya bega jee hio naeza kwenda kufanya vipimo?maana ninauoga kwenda hospital sababu dadangu alipata maradhi hayo
Waleikum salam. Ndio ni lazima uende hospitali kupima. Ni muhimu sana khususan vile dadako alipata, usiogope kwenda hospitali, mtu ni uzuri apatilize mapema ndio apate matibabu kwa haraka
Ahsante sana dr Maryam kwa kutuilimisha topic hii muhimu khaswa kwa community yetu nakubaliana sana na umuhimu wamazowezi kwa mwili hata kama nusu saa kila siku naamini uwangalifu wa afya yako ndio utajiri wako ... Mungu akubariki na kila lakheri 🤲🏽