Тёмный
ArrivalTv
ArrivalTv
ArrivalTv
Подписаться
Are you looking forward to any destination around the World? We are Glad you found us here ,we are your partner in providing information assistance in what you need for your Arrival in any destination please subscribe:+14253642418
+255747111117
shoshanaafricasafaris.com
info@shoshanaafricasafaris.com
Email:ArrivaonelTv@gmail.com
Комментарии
@willsonsamwel1158
@willsonsamwel1158 4 часа назад
Nimeipenda hiyo manakwetu
@ghaosalsalum
@ghaosalsalum 10 часов назад
Bro naomba niwasiliane na weee kuhusu visa private
@ArrivalTv
@ArrivalTv 5 часов назад
@@ghaosalsalum WhatsApp number +14253642418
@aminakunja277
@aminakunja277 21 час назад
Apo kwenye milion 40 ndo nilipochoka lakini canada nakutaka
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 День назад
Kuna siku kama sikosei nilikuona mahina
@user-pv1rt7wh3i
@user-pv1rt7wh3i 2 дня назад
Bro bado nipo nakufatilia Sana kazi nzur kaka
@ArrivalTv
@ArrivalTv День назад
Ulipata passport ?
@user-pv1rt7wh3i
@user-pv1rt7wh3i 12 часов назад
@@ArrivalTv bado nahangaikia passport bro Mana sijakamilisha hela ya passport nitakwambia tu nikikamilisha Mana haitachukua mda sana bro
@shortverses1604
@shortverses1604 2 дня назад
Sema tunakosea na kukufuru sana tunspoita ni duniani manake huku cyo duniani. Ni ulimwenguni cyo duniani coz hata huku bongo yote ni dunia. OK karibuni kwenye channel yangu ya Danny kamtu, Mimi natengeneza beats za aina zote kwa kutumia App ya Easy Beats. Hata wewe unaweza kufanya na ukaweza kutengeneza beats simple na tamu na ukaweza kumuuzia hata zuchu!
@boryakida2963
@boryakida2963 2 дня назад
Kaka nina interview miezi inayokuja nishafeli sanaaa msaada nipite nifike huko nitimize ndoto
@isaacashel3328
@isaacashel3328 2 дня назад
😮tatizo fedha ni mtihani
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 2 дня назад
Ni kweli ila uchafu wote na laana zote zipo hapo. Na mungu alisema hio miji atakuja kuiangamiza kama sodoma
@user-ee9zm8tt7q
@user-ee9zm8tt7q 2 дня назад
Dah!! Kaka hii imekaa vizuri sana ila naamini one day yes maana ndoto zangu ni kufika na kuishi huko duniani. Asante sana kaka ALLAH AKUJAALIE AFYA NJEMA NASI TUPATE NJIA KUPITIA KWAKO.🤲
@ArrivalTv
@ArrivalTv 2 дня назад
Naamini kwamba malengo yakiwepo na Mungu akajalia basi yote yanaezekana
@user-ee9zm8tt7q
@user-ee9zm8tt7q 2 дня назад
@@ArrivalTv Amin
@user-ij9sc8cp8v
@user-ij9sc8cp8v 2 дня назад
Safi sana ndg yangu nakubali,ndoto zangu nikuja huko Duniani,Kwa sasa Niko Pretolia-South Africa.naomba unichanue nifanyeje?
@PalaStamala
@PalaStamala 2 дня назад
Bless 🙌
@janety1933
@janety1933 2 дня назад
Haha upo dunian mwanakwetu ❤❤😊😊😊😊
@NgelejaCharles-ng7bh
@NgelejaCharles-ng7bh 2 дня назад
Mzee wa kazi, HVAC hapa.
@user-zl7qj3sk4o
@user-zl7qj3sk4o 3 дня назад
Kaka salama ninahitaji kwenda marekani ikuwaje taratibu
@bashirmrisho8491
@bashirmrisho8491 3 дня назад
Still watching in 2024!!
@AMONSTEVEN-c9e
@AMONSTEVEN-c9e 3 дня назад
Bro natafuta kazi America na niko passport
@OmariMussa-uh4sx
@OmariMussa-uh4sx 3 дня назад
Bro.unatusanua kinagaubaga kwakweli MUNGU Abariki uwezo wako ukawe pa juu kwa namna unavyotusaidia uelewa ndugu zako,asante sana.
@kambalukman2372
@kambalukman2372 6 дней назад
Habari bro, i meant to ask Mimi ni Burundian piya nahitaji msaada wakwenda canada Sijuwi unanisaidiaje kwenye kutafuta visa
@SONGASONGA-do1ry
@SONGASONGA-do1ry 11 дней назад
Connect me bro
@mwemamwamasimbi7961
@mwemamwamasimbi7961 12 дней назад
Hello Mwanakwetu kesho ndo ile siku yetu wakazi wa DSM?
@ArrivalTv
@ArrivalTv 12 дней назад
Yes ni Kesho
@magrethmapunda-f5k
@magrethmapunda-f5k 12 дней назад
nmejaza io ds 160 lakini sioni sehem ya kulipia
@ArrivalTv
@ArrivalTv 11 дней назад
Nicheki kwa namba hizi za WhatsApp +14253642418
@willsonsamwel1158
@willsonsamwel1158 14 дней назад
Manakwetu mbona sipati video au kunashida mtandaoni
@ArrivalTv
@ArrivalTv 13 дней назад
Sijaweka video siku nyingi kidogo kutokana na upungufu wa nafasi
@Roof-ep8mi
@Roof-ep8mi 14 дней назад
Naitwa Ruth wambui Niko Saudi Arabia natanya Kasi ya nyumba Na sijui kusoma ama kuongea kizungu sasa nauliza kama naweza pata chance yakwenda usA ama canada
@user-yb6so8dy5g
@user-yb6so8dy5g 15 дней назад
Mm nilikua naomba msaada..maana nimetumiwa mzigo na unakaribia kufika airport lakin Cna knowledge yeyote kuhusu hili swala nilikua naomba msaada wa kunielekeza
@ArrivalTv
@ArrivalTv 15 дней назад
Mzigo umetoka wapi
@frankmwakasole8637
@frankmwakasole8637 21 день назад
Nakupataje
@ArrivalTv
@ArrivalTv 21 день назад
+14253642418
@user-hi3et7mp6m
@user-hi3et7mp6m 29 дней назад
Masha Allah
@UbatuHeri
@UbatuHeri Месяц назад
Hapo umehongea mambo ya muimu saana , asante sana
@SalamaJuma-mg3ru
@SalamaJuma-mg3ru Месяц назад
Ahsante broo mm hata kuosha miguu wazungu niko tayari
@abduliraimmushi2224
@abduliraimmushi2224 Месяц назад
Brother mawasiliano yenu
@ArrivalTv
@ArrivalTv Месяц назад
WhatsApp number +14253642418
@nellywanzagi1776
@nellywanzagi1776 Месяц назад
Dar Location ni wapi ?
@ArrivalTv
@ArrivalTv Месяц назад
Sinza kwa taarifa zaidi hutolewa kwa watu ambao tayari wamelipa
@user-ey4tb1sq7p
@user-ey4tb1sq7p Месяц назад
Nakubali sana bro
@josephatjosephat4269
@josephatjosephat4269 Месяц назад
Dar maeneo gani pia namba za mawasiliano
@ArrivalTv
@ArrivalTv Месяц назад
WhatsApp number +14253642418
@MunaAlbalushi-pt7je
@MunaAlbalushi-pt7je Месяц назад
Asante sana kwa kazi nzuri
@yonastembela3363
@yonastembela3363 Месяц назад
Ufisi haijulikani ilipo
@hussenkarigo4496
@hussenkarigo4496 Месяц назад
Nahitaji namba zako mkuuu
@ArrivalTv
@ArrivalTv Месяц назад
+14253642418
@daudijoseph7629
@daudijoseph7629 Месяц назад
thanks kaka umenifanya nipate ham ya kwenda marekani
@IddySebastian-ey3id
@IddySebastian-ey3id Месяц назад
Nafkr ungefungua office Dar mana Huku ndo Kuna @client
@mwemamwamasimbi2443
@mwemamwamasimbi2443 Месяц назад
Waooooo
@BARAKAEMMANUEL-lm3qp
@BARAKAEMMANUEL-lm3qp Месяц назад
Hongeraa sana
@ChristopherChacha-fb4oc
@ChristopherChacha-fb4oc Месяц назад
Arrival tv
@user-ee9zm8tt7q
@user-ee9zm8tt7q Месяц назад
Mwenyezi MUNGU akufanyie wepesi katika mipango yako kwetu.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Месяц назад
Kiongozi nimetuma email kwako pls respond.
@ArrivalTv
@ArrivalTv Месяц назад
Nicheki whatsaap +14253642418
@trueone_tz
@trueone_tz Месяц назад
🤝👍
@NgelejaCharles-ng7bh
@NgelejaCharles-ng7bh Месяц назад
Tunakusubiri
@mukhtarally5819
@mukhtarally5819 Месяц назад
Shukran sana mzee wa kazi Only God ndie ataweza kukulipaa❤❤❤❤
@martinfedrick4987
@martinfedrick4987 Месяц назад
Nipo kwenye hii site ila hapo hujaiweka lakini nilikua nauliza niyakweli ama vp mana kuna wanawake wananitumia sana sms
@user-rc4br3ni7n
@user-rc4br3ni7n Месяц назад
Naomba namba yako yasimu
@ArrivalTv
@ArrivalTv Месяц назад
+14253642418
@user-sp2fm4qd2h
@user-sp2fm4qd2h Месяц назад
Thanks kwa elimu muhimu hii
@KasaggiGodfrey
@KasaggiGodfrey Месяц назад
Yaa nimekuelewa