Тёмный

SIMULIZI YA MTANZANIA ALIERUKA UKUTA KUTOROKA JESHI,ANAEISHI NA KUFANYA KAZI AMERICA 🇺🇸PART ONE. 

ArrivalTv
Подписаться 10 тыс.
Просмотров 82 тыс.
50% 1

#youtube #trendingvideo #Hedofstaste#safari#greencard #usembassy #arrivaltime#ndege#I94#diaspora#creditcard#dv2024#thedignityact2023#asylum#nairobi#romanian#amsterdam#tanzania#denver#career#usikuwamanane#thanksgiving#tanzania #diaspora#Usajililine#health#hosp ital#tanzania#breakingnews#tanzia#international#exclusive#technology#kenya#rwanda

Опубликовано:

 

29 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 138   
@ArrivalTv
@ArrivalTv 8 месяцев назад
*SHOSHANA AFRICA COMPANY* Habari ndugu mdau wa masuala ya kimataifa ,hii ndio njia ya kutumia kufanya malipo ya usaji wa kuhudhuria tukio letu la tarehe 15 February Lipa Namba yetu ni hii *5781214* majina ni Shoshana Africa company ni lipa namba ya mtandao wa voda kiasi ni dollars 25 sawa na elfu 62 ya Tanzania ukishalipia tuma hiyo sms ya mwamala kwenda WhatsApp namba hii +14253642418 Asante na tuonane tarehe 15 February venue utatujulishwa kabla ya tarehe 13 February
@innocentlusajo9303
@innocentlusajo9303 8 месяцев назад
Huyu jamaa angekua mNigeria ungeona wanavompongeza na kumsifia kwa mema yake , Ila wabongo ni kutafuta kasoro , yani kasoro kasoro kasoro. Yani mnaacha yoooote ya maana mnatafuta kasoro. Mara baridi , mara Jakaya, mara mkimbizi. Acheni uchawi
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 8 месяцев назад
Huyu ni muongo Magufuli alikuwa Rais kuanzia 2015 na siyo 2014 na kama ni maaamuzi yangekuwa 2017
@innocentlusajo9303
@innocentlusajo9303 8 месяцев назад
Mda mrefu Bhana almost 10 yrs, unaweza kupitiwa
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 8 месяцев назад
Nachoweza kusema naona umetoa usukuma Mwanza Tz na kuupeleka USA . Mimi naishi Switzerland naijua winter na mavazi yake .huwezi kufanyiwa interview kama uko summer huo ni ushamba mtangazaji tuletee mwendelezo baada ya hii interview huyu pengine alienda emergency kwa kuumwa. Yaani unaachiwa kifua kwenye minus fulanii😮😮😮!! Mpaka sauti inakakakamaa kwa kumeza baridi shingo haina kitu no jacket wasukuma jamani .kijana kataka kuonyesha snow anaganda bila mavazi ya winter wazungu hapo ndio wanatudharau kwa uzuzu
@danielamicheal4680
@danielamicheal4680 8 месяцев назад
kwanza naona hii ni kamera trick vile mtu huezi hata kusimama hivi kwa dakika moja
@emmanuelzwallo3933
@emmanuelzwallo3933 8 месяцев назад
Sasa yeye kaweza Sasa na mpk Sasa yupo.Harafu sizani kama Kuna mtu ameuliza wewe unaishi wapi kwa Sasa,na kudharauliwa na wazungu hata kama uvae jacket Tano watakidharau tu.Maneno yako ni yakejeli hata hayapendezi
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 8 месяцев назад
Mbona kama una makasiriko ayo maisha yake Sema tyuu isije kumdhuru maanaciyo baridi insignia kwenye mifuba balaa atakuta kulipata badaaae hiyo kityu ya sno siipoa
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 8 месяцев назад
@@LucyKapinga-fg4dk my dear sio makasiriko tuna elimishana maana naijua winter na summer .ni hatari kuvumilia baridi sababu ya Camera pia lazima uitwe mshamba kwani unachezea ugonjwa wa kujitakia
@SusanWanjuki-fj2vz
@SusanWanjuki-fj2vz 8 месяцев назад
​@@LucyKapinga-fg4dksee
@mwamwajaonline1881
@mwamwajaonline1881 8 месяцев назад
2014 ni enz ya Jakaya sio Magufuli
@IgnatiusSanya
@IgnatiusSanya 8 месяцев назад
Kiswahili ni tamu kwa comedy peke
@emmanuelchiza7733
@emmanuelchiza7733 8 месяцев назад
We Mkenya unaliwa sehemu matako
@dougherty8732
@dougherty8732 8 месяцев назад
Daaamn! Mtangazaji hakuona kua kuna baridi?! Interviewee was shivering to death.! No winter jackets, nothing..😩😩😩
@abednego3876
@abednego3876 8 месяцев назад
Kwani si muingie ndani ya gari kama mmefukuzwa ndani.
@ernestladislaus552
@ernestladislaus552 8 месяцев назад
Mwanga hukuwa unatosha
@IdrisOmar-i6h
@IdrisOmar-i6h 8 месяцев назад
2014 alikuwa magufuli au kikwete???
@godfridaymichael4126
@godfridaymichael4126 8 месяцев назад
Wee muongo magufuli alingia madarakan 2015 mwishoni
@kdpretoria780
@kdpretoria780 8 месяцев назад
huyu mshamba anataka kujiua soon mapafu yatajaa maji kama ataendelea na ujinga wake huu kipindi cha baridi.😅
@wisdommbalila732
@wisdommbalila732 7 месяцев назад
2014raisi alikuwa kikwetee
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 8 месяцев назад
mitaa ya GAZA pale SUA ndo mara ya mwisho kusomana aisee
@ernestladislaus552
@ernestladislaus552 8 месяцев назад
Babaaa Deo, tumepotezana sana sababu ya life
@isackjokata
@isackjokata 8 месяцев назад
Mwamba ni mkibinzi uyo alipitia makambini nyarugusu camp hipo kigoma kasulu makele
@innocentlusajo9303
@innocentlusajo9303 8 месяцев назад
So what
@hassanmassaga2476
@hassanmassaga2476 8 месяцев назад
Magufuri aliingia madarakani 2015 sio 2014
@jumaabas6837
@jumaabas6837 8 месяцев назад
Analeta ubishooo kwenye baridiii kwa nn asivae nguo za kuzuia baridiii
@ernestladislaus552
@ernestladislaus552 8 месяцев назад
😂😂😂oya ameniotea tu, mitaa yangu apo natoka kazini. Kuonana ni challenge sana
@jumaabas6837
@jumaabas6837 8 месяцев назад
@@ernestladislaus552 nakubaliiii mwambaaa
@Nurdinimohamedy
@Nurdinimohamedy 7 месяцев назад
Mbona mwaka huwo alikuwa kikwete madalakani
@Nurdinimohamedy
@Nurdinimohamedy 7 месяцев назад
Ndio alikuwa anamalizia mda wake
@Essau-s6k
@Essau-s6k 8 месяцев назад
Kaka tulikuwa wote Ruvu
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 8 месяцев назад
Kwanini hajaweka shingoni hata skafu baridi Kali
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 8 месяцев назад
Hivi JPM Alikuwa madarakani 2014
@niyonkurufreddy1984
@niyonkurufreddy1984 8 месяцев назад
Nyinyi inci zenu hazina upendo ubaguzi kwa watu siyo wazaliwa wa Tz sasa kwa nini munakwenda kwa inci zingine zawatu?
@trybznyn1817
@trybznyn1817 8 месяцев назад
Kwa wale wakenya hamjaelewa JKT huku kwetu ni NYS.
@WilliamNgazija-cd7cs
@WilliamNgazija-cd7cs 8 месяцев назад
Mwozo wa guma
@enemtatuka5863
@enemtatuka5863 8 месяцев назад
Leo unamuoji Ernest wajinawangu nimejiskia vixuri san kama unamuoji Mimi. APA nimevutiwa San na maujiano aya. Ongera sana brow
@ernestladislaus552
@ernestladislaus552 8 месяцев назад
Wajina
@costakaduma1326
@costakaduma1326 8 месяцев назад
Kwanini munamuonea Sana magufuri 2014 hakuwa magufuli madalakani achauongo msukuma wewe
@SalimhchialaAtilio-qj5cs
@SalimhchialaAtilio-qj5cs 8 месяцев назад
Magufuli aliingia 2015 madalakani
@gidionrevelian564
@gidionrevelian564 8 месяцев назад
Aaaai magufuli aliingia madarakan 2014 au 2015
@batihubadiy3106
@batihubadiy3106 8 месяцев назад
Huyu Mbna km muongo 2014 MAGUFULI CO RAIS W TZ 😅😅😅😅
@sumatraveler1957
@sumatraveler1957 8 месяцев назад
😅😅😅kweli bhn Magu aliingia 2015 tena mwishoni
@beliasjacob6024
@beliasjacob6024 8 месяцев назад
Hyu namfaham nimepiga Nae kozi JKt
@batihubadiy3106
@batihubadiy3106 8 месяцев назад
@@sumatraveler1957 Mwambien atafute uongo mwengne huu tumeustukiaaa
@MainethWella-zl9ux
@MainethWella-zl9ux 7 месяцев назад
​@@beliasjacob6024😅😅
@King-Buda
@King-Buda 8 месяцев назад
Wazinza ndugu zetu wasubi wa Biharamulo
@devoutermwalupanga63
@devoutermwalupanga63 8 месяцев назад
Haha 🎉 realistic Tanzanian,, tunasubiri utuambie safari ya usuaso na kilimo..
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 8 месяцев назад
Sweta hamna wewe
@francisnyaji5000
@francisnyaji5000 8 месяцев назад
2014 raisi hakuwa Magufuri raisi alikuwa ni J.Kikwetee,pia kama ni mwaka 2014 iyo ilikuwa ni intake OP Muungano kwa jkt..
@MagdalenerpaschalMwamba
@MagdalenerpaschalMwamba 8 месяцев назад
Hongera Mie npo huku kwa wazinza wenzako wazee wa mbwenu
@mariamchannel9234
@mariamchannel9234 8 месяцев назад
Faza Kama Faza 😃😃
@TheBinaW
@TheBinaW 8 месяцев назад
Kwani usa huna first name middle name na last name? Hayo sio majina matatu. Usipotoshe . Sana sana tz middle name yako ni first name ya baba yako na last name yako ni last name ya baba yako. Huoni system ya tz imekosea?
@ipyanamwimbe6484
@ipyanamwimbe6484 8 месяцев назад
2014 magufuli hakuwa rais
@benedictmhina4819
@benedictmhina4819 7 месяцев назад
Hapo kwenye 2014 kwa Magufuli umekosea shekhe
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 8 месяцев назад
Sawa sawa Timanya ila sengerema nikubwa nimtaa gani unatokea
@ernestladislaus552
@ernestladislaus552 8 месяцев назад
Jeshini babaaa
@mkingageorge2641
@mkingageorge2641 8 месяцев назад
Hii video ni tamu flan afu umeikata juu Kwa juu
@isackjokata
@isackjokata 8 месяцев назад
Uyu mwamba ni mkibinzi
@innocentlusajo9303
@innocentlusajo9303 8 месяцев назад
So what
@Essau-s6k
@Essau-s6k 8 месяцев назад
Aise nisaidie no ya huyo jamaaa tulikuwa wote jkt Ruvu 2014
@iddymlezi8994
@iddymlezi8994 8 месяцев назад
Ulifanya vizuri kutoroka mm nipo geita
@cathbertkilingo4472
@cathbertkilingo4472 7 месяцев назад
Jamaa anatetemeka na baridi mbaya
@mbwanaoch9886
@mbwanaoch9886 8 месяцев назад
Kwa 2014 alikuwa magufuli duuh msenge hyyu
@davidpaschal778
@davidpaschal778 8 месяцев назад
2014 magufuli akua madarakani
@kelvinnjawike1808
@kelvinnjawike1808 8 месяцев назад
Dah aseh mwanang uliachaje golden chance kama hiii
@mkingageorge2641
@mkingageorge2641 8 месяцев назад
Ok tunaiwait
@zahirallyzorro3940
@zahirallyzorro3940 8 месяцев назад
Umetokea Masanzawana
@efministry
@efministry 8 месяцев назад
Bless bro🔥🥊
@KhadijaMiteya-hh8xl
@KhadijaMiteya-hh8xl 8 месяцев назад
Uongo hakuwa marehemu bwana usitudanganye anza upya maelezo yako.
@abduliabdallah9197
@abduliabdallah9197 8 месяцев назад
Muongo
@eryclassictz6011
@eryclassictz6011 8 месяцев назад
iendeleee isichelewe kama story kal ivii
@journeywithjesus
@journeywithjesus 8 месяцев назад
Hana winter jacket kweli??
@asalitamu5182
@asalitamu5182 8 месяцев назад
2014 Magufuli si alikuwa bado ajaingia madalakani?
@vhiedkc859
@vhiedkc859 7 месяцев назад
Nimekaa hapa nakuheshimu sana kumbe unataka kua nesi 😮😮😮
@ibrahimelisha6842
@ibrahimelisha6842 8 месяцев назад
2015 atakuwa amechanganya
@thehunter5920
@thehunter5920 8 месяцев назад
Ni 2014 hajakosea,kakosea hapo kwa rais tu
@salumsalum8866
@salumsalum8866 8 месяцев назад
washington state pazur
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 8 месяцев назад
H ata lugha yao ninailewa😮
@SalimhchialaAtilio-qj5cs
@SalimhchialaAtilio-qj5cs 8 месяцев назад
😅😅❤❤❤
@AminaMgenzi
@AminaMgenzi 8 месяцев назад
Erenest ww jamn tz lini ww 🎉
@daudiydaudi8357
@daudiydaudi8357 8 месяцев назад
2014 mzee alikua bado wazir kaka kumbuka vizur
@Jeff_Tz
@Jeff_Tz 8 месяцев назад
Kwa nn umemfanyia interview nje Kuna winter ☃️, si mngekaa ndani.
@streetconatv100k
@streetconatv100k 8 месяцев назад
2015 mkuu
@manatsonsalewa4080
@manatsonsalewa4080 8 месяцев назад
MzeeBaba Nest Mido ya Boli Jitu La Mtumba 👊🏽👊🏽
@ernestladislaus552
@ernestladislaus552 8 месяцев назад
Salewa Jr mzee wa header
@manatsonsalewa4080
@manatsonsalewa4080 8 месяцев назад
@@ernestladislaus552 👊🏽👊🏽Nakubali Mwanangu Kambi Popote #WagumuTunadumu
@omarmaina756
@omarmaina756 8 месяцев назад
Baridi linamuua anatetemeka mpaka vuzi
@hassanMahmoud-i4l
@hassanMahmoud-i4l 7 месяцев назад
mbn kama ana patical za usenge huyu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 8 месяцев назад
Mimi ninalifahamu hilo kabila la wazinza tena saana
@innocentlusajo9303
@innocentlusajo9303 8 месяцев назад
Kibongo bongo mtu akikwambia anakujua anamaanisha mabaya yako
@allykomsonde7813
@allykomsonde7813 8 месяцев назад
Jesh niswala lakitaifa linahitaji uzlendo
@EmmmaTembo
@EmmmaTembo 8 месяцев назад
Hivi huko freji inafaida yoyote
@marrypius576
@marrypius576 8 месяцев назад
Ndani ni joto kuwasha friji ni lazima kwaajili yakuhifadhi vyakula vinavyoharibika
@iddymlezi8994
@iddymlezi8994 8 месяцев назад
Mwangu ulifanya vizuri kutoroka safi mm nipo geita
@olivernyange2349
@olivernyange2349 8 месяцев назад
Ss umelazimishwa kuongea kwenye baridi
@kingkendrickk
@kingkendrickk 8 месяцев назад
Hongera kijana kwa kutusua
@ernestladislaus552
@ernestladislaus552 8 месяцев назад
Babaaa kutusua bado tunakomaa
@rappertinno4184
@rappertinno4184 8 месяцев назад
@@ernestladislaus552kibongo bongo ukifika mbele naukaweza kuishi huko we umetoboa💪
@JajaRestaurant
@JajaRestaurant 8 месяцев назад
Honger
@mustapherabel8471
@mustapherabel8471 8 месяцев назад
Nzuri sana iyooo
@hamisihassankengejr4375
@hamisihassankengejr4375 8 месяцев назад
Hiyo ilikua ni ya kikwete aliita crash
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 8 месяцев назад
Mbona mnahojiana ktk baridi
@kenyre697
@kenyre697 8 месяцев назад
That thumbnail picture is me in lamu tukiwa mazoezini umenikumbusha mbali sana
@ArrivalTv
@ArrivalTv 8 месяцев назад
Oh really?
@kenyre697
@kenyre697 8 месяцев назад
Yeah
@kenyre697
@kenyre697 8 месяцев назад
I know you got it online
@kenyre697
@kenyre697 8 месяцев назад
It was taken during Field Artillery training with the US army
@deborambosa3109
@deborambosa3109 8 месяцев назад
Confident❤
@godfridaymichael4126
@godfridaymichael4126 8 месяцев назад
Wadanganye wengine
@sammykaranja2642
@sammykaranja2642 8 месяцев назад
Mwanajeshi ni mkenya
@ericmellau3783
@ericmellau3783 8 месяцев назад
2014 sai ungekua captain kama ungefanikiwa kaka
@msuzann6005
@msuzann6005 8 месяцев назад
Kavae winter jacket bro
@baizoboy1719
@baizoboy1719 8 месяцев назад
Jamaa namkumbuka tulikuwa wote pale tulikaa mwezi mzima nikaamua kuacha na kurudi chuo ushirika..
@HassanMugire
@HassanMugire 8 месяцев назад
Ulizingua kuondoka man
@nathanontegi3222
@nathanontegi3222 8 месяцев назад
Vit vit kwa interview.
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 8 месяцев назад
Barafu
@nzegeatv6355
@nzegeatv6355 8 месяцев назад
Weka pat 2
@amoskagika8884
@amoskagika8884 8 месяцев назад
Tunasubiri muendelezo Chief
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 8 месяцев назад
Wewe unafikili sifa kuachia kifua wazi gonjwa utakalopata utajuta baridi sio madhala yake nomaa
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 8 месяцев назад
Haswaaa iyo kunababa alikuwa anapumulia mashine inaingia kwa mifupa atari sana
@tradamus4158
@tradamus4158 8 месяцев назад
Kuna kabila la wazinzi au vip
@peterdeus6093
@peterdeus6093 8 месяцев назад
Wazinza sio wazinzi
@King-Buda
@King-Buda 8 месяцев назад
Wazinza wapo Sengerema
Далее
ТАРАКАН
00:38
Просмотров 855 тыс.
КАК БОМЖУ ЗАРАБОТАТЬ НА ТАЧКУ
1:36:32
NI ADA TU
6:54
Просмотров 185 тыс.
ТАРАКАН
00:38
Просмотров 855 тыс.