Тёмный

RAIS MWINYI AONYA KUHUSU HATARI KWA VIJANA, l SERIKALI YATENGA BILIONI 31.8 KUWASAIDIA. 

KTV TZ ONLINE
Подписаться 377 тыс.
Просмотров 318
50% 1

RAIS MWINYI ATOA WITO KUOKOA VIJANA KUTOKANA NA MATUMIZI MABAYA YA TEKNOLOJIA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Mwinyi, ametoa wito kwa Asasi za Kiraia, Mashirika ya Kimataifa, Taasisi za Dini, na jamii kwa ujumla kushirikiana na Serikali katika kukabiliana na changamoto zinazowakabili vijana kutokana na matumizi mabaya ya teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama).
Akizungumza katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Vijana Kimataifa huko Golden Tulip, Unguja, Dk. Mwinyi alieleza kuwa matumizi yasiyo sahihi ya Tehama yanahatarisha mustakabali wa vijana, huku akitaja mmong’oko wa maadili, kupungua kwa uwajibikaji, na kushuka kwa utamaduni kama changamoto kuu.
Serikali imetenga Shilingi Bilioni 31.8 kupitia Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kwa ajili ya kuwawezesha vijana, na tayari Shilingi Milioni 338.6 zimetolewa kwa makundi mbalimbali. Pia, vijana laki tano wanaendelea kupata mafunzo ya stadi za maisha, matumizi sahihi ya Tehama, na ujasiriamali.
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 717 619 834
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Sauti Byego
Camera Department"
Dadi Ali
Omar (OJ)
Nassor Shaibu
Abdallah Juma
Editors:
Juma Maulid
Dadi Ali
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
Ali Kiba akiwa Oman
• ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
• NI KWELI ALI KIBA AMNU...

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1   
@mbwanakombo4031
@mbwanakombo4031 2 месяца назад
Mwache azitoe watu wazile lakini kura never kwake
Далее
GENIUS FOOD HACKS 🍰 #shorts
00:36
Просмотров 17 млн
Это было очень близко...
00:10
Просмотров 940 тыс.
KWANINI ZANZIBAR INAANZISHA BIMA YA LAZIMA KWA WAGENI?
14:08
GENIUS FOOD HACKS 🍰 #shorts
00:36
Просмотров 17 млн