Тёмный

PEMBA YAANDIKA HISTORIA MPYA, RAIS MWINYI ATOA UFADHILI NA AHADI TELE KUZITEKELEZA 

KTV TZ ONLINE
Подписаться 377 тыс.
Просмотров 1,1 тыс.
50% 1

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) itaendelea kuwapa motisha wanafunzi waliofanya vizuri kwa kuwazawadia laptop na fedha taslimu kila mwaka. Pia ameahidi kuwafadhili wanafunzi 60 waliofaulu kwa daraja la kwanza katika kidato cha sita kutoka Unguja na Pemba ili waendelee na masomo ya shahada ya kwanza.
Rais Mwinyi alisisitiza kuwa Serikali itaajiri walimu wa masomo ya sayansi, kuboresha maslahi yao, kujenga na kukarabati skuli za msingi na sekondari, na kuongeza fedha kwa ajili ya udhamini wa elimu ya juu. Katika hafla hiyo, wanafunzi 395 walipata zawadi za laptop kutokana na ufaulu wao wa daraja la kwanza katika kidato cha nne na cha sita. Pemba imeweka historia kwa mara ya kwanza kwa kuondoa daraja la sifuri katika matokeo ya kidato cha sita mwaka 2024.
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 717 619 834
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Sauti Byego
Camera Department"
Dadi Ali
Omar (OJ)
Nassor Shaibu
Abdallah Juma
Editors:
Juma Maulid
Dadi Ali
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
Ali Kiba akiwa Oman
• ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
• NI KWELI ALI KIBA AMNU...

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 4   
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul Месяц назад
Zwd gn ww muuwaji
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul Месяц назад
Ww umeckia skuli kujenga maendeleo nyny ccm mbn hmn akili
@alhudhaify7810
@alhudhaify7810 Месяц назад
Mwinyi umekua muongo kwa ktk utekelezaji kwa ahadi zako ulizoweka
@lusakaone7782
@lusakaone7782 Месяц назад
Bopar
Далее
А я с первого раза прошла (2024)
01:00
WAISALAMU PEMBA WAPELEKA UJUMBE KWA DUNIA.
5:23
Просмотров 27 тыс.