Тёмный
Maisha Ni Kuthubutu Podcast
Maisha Ni Kuthubutu Podcast
Maisha Ni Kuthubutu Podcast
Подписаться
Podcast mahususi kujifunza mambo ya maendeleo binafsi (Personal development/Self-improvement), maisha, mahusiano, saikolojia na elimu ya fedha.

Ni podcast ya kipekee ambayo utajifunza mambo mengi ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku, kila kitu kinachozungumzwa hapa kina uhalisia na siyo nadharia ya kusadikika.

Kuwa sehemu ya familia hii na uhakika hautakuwa kama ulivyokuwa mwanzo, podcast ambayo itaboresha na kuongeza thamani ya maisha yako mara 10X au zaidi.

Hakikisha unsubscribe ili uwe wa kwanza kupata episode mpya kila wiki.
IJUE KANUNI YA ATM (SE03EP32)- Audio Podcast
9:56
6 месяцев назад
Комментарии
@dmwashalindi5162
@dmwashalindi5162 28 дней назад
Hongera
@MaishaNiKuthubutuPodcast
@MaishaNiKuthubutuPodcast 27 дней назад
Ahsante sana kaka mkubwa
@MariaDastan-fx9bn
@MariaDastan-fx9bn 3 месяца назад
Uko vizuri ila jitaidi kutuni voice yako
@MaishaNiKuthubutuPodcast
@MaishaNiKuthubutuPodcast 3 месяца назад
Ahsante sana nitazingatia hilo nashukuru Maria
@LUPIMO_TV
@LUPIMO_TV 7 месяцев назад
Exactly 🤝
@MaishaNiKuthubutuPodcast
@MaishaNiKuthubutuPodcast 7 месяцев назад
Asante sana kaka ubarikiwe sana
@LUPIMO_TV
@LUPIMO_TV 7 месяцев назад
Cover zako ni nzuri itapendeza upunguze idadi ya maandishi kwenye cover
@MaishaNiKuthubutuPodcast
@MaishaNiKuthubutuPodcast 7 месяцев назад
Asante sana nimezingatia hilo kuanzia sasa utaona maboresho
@LUPIMO_TV
@LUPIMO_TV 7 месяцев назад
@@MaishaNiKuthubutuPodcast pamoja kaka🤝
@LUPIMO_TV
@LUPIMO_TV 7 месяцев назад
Nimekusikiliza mkuu, maoni yangu kama utayazingatia boresha zaidi namna ya uchambuzi watu waelewe mahususi muhimu, ikiwezekana andaa mtiririko au mpangilio mzuri wa kuwasilisha mwanzo wako wa uchambuzi, katikati na mwisho. Together family fundisha watu Blessed 🤝
@MaishaNiKuthubutuPodcast
@MaishaNiKuthubutuPodcast 7 месяцев назад
Asante sana mwalimu nashukuru kwa maoni yako nimeyazingatia sitokuamgusha uchambuzi wa vitabu vijavyo
@MatengaDaniel-k8k
@MatengaDaniel-k8k 7 месяцев назад
Ubarikiwe mtumishi
@MaishaNiKuthubutuPodcast
@MaishaNiKuthubutuPodcast 7 месяцев назад
Asante sana ubarikiwe kwa kujifunza
@kombomvungi730
@kombomvungi730 8 месяцев назад
Safi sana Nyemo
@MaishaNiKuthubutuPodcast
@MaishaNiKuthubutuPodcast 7 месяцев назад
Asante sana ubarikiwe tuendelee kujifunza, nitafurahi ukishare link kwa marafiki zako tujifunze kwa pamoja
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 8 месяцев назад
Nimejifunza. Asante sana
@MaishaNiKuthubutuPodcast
@MaishaNiKuthubutuPodcast 8 месяцев назад
Asante sana kaka kubwa sana kwangu tena sana kaka
@stellahdmpoz7385
@stellahdmpoz7385 8 месяцев назад
Pamoja sana dia
@MaishaNiKuthubutuPodcast
@MaishaNiKuthubutuPodcast 8 месяцев назад
Asante sana Stella
@majulaedward1140
@majulaedward1140 8 месяцев назад
Kongole kwa chaneli yako kaka
@MaishaNiKuthubutuPodcast
@MaishaNiKuthubutuPodcast 8 месяцев назад
asante sana kaka Majula
@mwannehamad3080
@mwannehamad3080 8 месяцев назад
bid up
@MaishaNiKuthubutuPodcast
@MaishaNiKuthubutuPodcast 8 месяцев назад
asante sana Mwanne barikiwa