Тёмный

UCHAMBUZI WA KITABU CHA THE RICHEST MAN FROM BABYLON (TAJIRI KUTOKA BABELI) -Audio Podcast 

Maisha Ni Kuthubutu Podcast
Подписаться 206
Просмотров 1,1 тыс.
50% 1

Kitabu cha tajiri kutoka Babeli kimeandikwa na George S. Clason ambacho kinatoa muongozo juu ya utajiri na Mafanikio ya kifedha.
Kupitia kitabu hiki utajua kila kitu kwanini unaweza kufanikiwa kwenye eneo la fedha na kupata utajiri.
Kitabu kipo kwa mfumo wa simulizi yani Story na mhusika mkuu ni ARKAD ambaye alikuwa maskini hadi kuwa mtu tajiri kwenye jiji la BABELI.
Angalizo! Mambo ambayo yamezungumzwa kwenye kitabu hiki siyo ya kusaidika, yanafanya kazi kama utaamua kuwa mtu wa vitendo...
... kwa kufanyia kazi ambayo umejifunza kupitia uchambuzi huu.
Kitabu kina sura kumi ambazo tutachambua kwa pamoja:
1. Mtu aliyetamani dhahabu.
2. Tajiri kutoka Babeli.
3. Tiba Saba dhidi ya pochi tupu.
4. Kutana na Mungu wa bahati.
5. Sheria tano za dhahabu.
6. Mkopesha pesa wa Babeli.
7. Ukuta Wa Babeli.
8. Muuza ngamia kutoka Babeli.
9. Mabamba ya vigae kutoka Babeli.
10.Mtu mwenye bahati kuliko wote katika Babeli.
Andaa kalamu na daftari kwa ajili ya uchambuzi Mzuri wa kitabu hiki na uanze kupiga hatua kuelekea utajiri na mafanikio ya kifedha.
Utajifunza;
1. Kujilipa kwanza wewe mwenyewe.
2. Jinsi ya kufanya uwekezaji wenye faida.
3. Jinsi ya kulipa madeni.
4. Jinsi ya kupanga bajeti kupitia kanuni ya 70/20/10.
5. Jinsi ya kuwa mtu mwenye bahati.
6. Jinsi ya kuwa na matumizi mazuri ya pesa zako.
Nakadhalika...
Ulikuwa ni utangulizi tu wa kupata madini ya nguvu ya uchambuzi wa kitabu hiki.
Kwahiyo...
Kitabu kina kurasa zaidi ya 100+ ambazo nimechambulia na kukuandalia kupitia MAISHA NI KUTHUBUTU PODCAST.
Kuwa na uhakika baada ya Kusikiliza utakuwa kama ulivyo sasa.

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 4   
@MatengaDaniel-k8k
@MatengaDaniel-k8k 7 месяцев назад
Ubarikiwe mtumishi
@MaishaNiKuthubutuPodcast
@MaishaNiKuthubutuPodcast 7 месяцев назад
Asante sana ubarikiwe kwa kujifunza
@MariaDastan-fx9bn
@MariaDastan-fx9bn 3 месяца назад
Uko vizuri ila jitaidi kutuni voice yako
@MaishaNiKuthubutuPodcast
@MaishaNiKuthubutuPodcast 3 месяца назад
Ahsante sana nitazingatia hilo nashukuru Maria
Далее
Как мы играем в игры 😂
00:20
Просмотров 1,4 млн
TABIA 6 ZA MAFANIKIO YA PESA
13:53
Просмотров 132 тыс.
Uchambuzi Wa Kitabu Cha Secrets Of A Millionaires Mind
22:33