Тёмный

Uchambuzi Wa Kitabu Cha "BIRD BY BIRD" Kwa Lugha Ya Kiswahili (Audio Podcast). 

Maisha Ni Kuthubutu Podcast
Подписаться 206
Просмотров 49
50% 1

Ni kitabu mahususi kimeandikwa na Anne Lemmot ambacho utajifunza mambo mengi kuhusu uandishi wa vitabu na kuishi maisha yenye uhuru ndani yake.
Hakikisha unaandika pembeni mambo ambayo utajifunza kupitia uchambuzi wa kitabu hiki kizuri cha BIRD BY BIRD yaani NDEGE KWA NDEGE.
Katika uchambuzi wa kitabu hiki utajifunza sura tano ambazo mwandishi ametushirikisha kuhusu uandishi wa vitabu na ndani ya sehemu hizo zimegwanyikwa part ndogo ndogo.
Ni kitabu kizuri kama unataka kuwa mwandishi mzuri wa Riwaya, Hadithi, Simulizi, Makala Na Vitabu Aina Yoyote basi uchambuzi ni mahususi kwako.
Kitabu cha BIRD BY BIRD ni kitabu kizuri basi unahitaji sana kusoma kitabu hiki.
Kurahisha nimekuandalia mambo yote muhimu kuhusu kitabu kwa lugha hadhimu ya Kiswahili.
Hakikisha una SUBSCRIBE podcast hii na kubofya alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata episode mpya kila wiki

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее