Mimi nakumwagia mauwa tu kipenzii umegusa,moyoo wanguu mpaka naitikia huku japo mimi masikinii katuu sijiweki nyuma ipo siku nitawini kipandee nakipendaa sana
hamuwez kupanda thamani ya usanii kwa kuiga nyimbo ambazo wenye nazo walitamba nazo tena kwa uwezo mkubwa na umahiri wa kuimba wewe rauhiya na mwenye nyimbo hii malkia sabaha ni kama kichuguu na mlima wanaokusifien wanawadanganya jifunzen kutunga na kuimba