Assalam allykum Rauhiya aja na nyengjne mpya kakukataa bayana ni taarab yenye ujjumbe mzuri usisahau ku subscribe like commemt pamoja na ku share videoo hii Asante • RAUHIYA I KAKUKATAA BA... • RAUHIYA I KAKUKATAA BA...
Kazi yangu kusom coment ila nijibu tu nyie mno stakfirii san kwani wame cheza uchii mnona wamejistrii uziru kula watu wana randa uchii mbon hamuwambii wajinii uk wapo tele una unastakfir kubwaa mtu kwa pengine kuswali huyu 😢😢
Kuimba si haramu hata wake wa Mtume Muhammad( s.a.w) walikuwa wakienda kwenye harusi na kusoma mashairi acheni maneno yenu hakuna alie msafi watu wanamabalaa kuliko la kuimba holini tena wamejistiri acheni usasa wenu haya yalikuwepo tangu enzi za maswahaba ba mitume ww unaesema astghfirullah ww umetakasika ulitaka waimbe vipepeo bya maiti kwe harusi ?