Asslm allykm Umasikini wangu ni Taarab nzuri kabisa kutoka kwa Rauhiya Queen of zanzibar usisahau ku Subscribe. like share pamoja na ku comment video hii Asante #rauhiya #gradyfxpicture
Subhanallah, uchaMungu usiwe ndio kichaka cha maovu, hii ni qawida ama taarab, munajificha kwenye mwamvuli wa kujidai kwamba munasoma kaswida kumbe wala hamusomi kwa Kaswida ni nyimbo na taarabu tu tuzindukeni jamani tunaelekea wapi Waislamu wa zama hizi???
Mimi nakumwagia mauwa tu kipenzii umegusa,moyoo wanguu mpaka naitikia huku japo mimi masikinii katuu sijiweki nyuma ipo siku nitawini kipandee nakipendaa sana