Тёмный
Old Is Gold Taarab Zanzibar
Old Is Gold Taarab Zanzibar
Old Is Gold Taarab Zanzibar
Подписаться
Seif Salim..Mapenzi Yako Khalaas
11:21
4 года назад
Old is Gold Taarab Zanzibar
8:15
5 лет назад
Old is Gold Taarab Zanzibar
4:11
5 лет назад
Sirudi Katu Sirudi- Haidary Abdallah
12:22
6 лет назад
Copy of Sura Njema- Raifa Bint Mossi
10:53
6 лет назад
Utu...{Muungwana} Taarab
5:40
6 лет назад
Zanzibar Kidumbaki-Song..
6:31
6 лет назад
Saada Nassor.. Salaam...
9:12
6 лет назад
PENDO LANIDHOFISHA- RUKIA RAMADHAN
1:32
7 лет назад
Kilio Changu- Sabah Salum Muchacho
9:33
9 лет назад
Zein Habibi Zein ...Zuhura Shaaban
12:17
9 лет назад
HODHI LA MAHABA SABAHA S MUCHACHO
14:11
10 лет назад
Комментарии
@MunaGun-tg7of
@MunaGun-tg7of 9 дней назад
Bora adui shetwani
@AbdulhaamidSoud
@AbdulhaamidSoud 19 дней назад
Kheir adui shetani utamwita kichwani atataja jina nakusema akitakacho na kwenda zake alikotokea ila adui kiumbe!?!? Utajuta kuzaliwa kila ukipata maumivu Yy ndo anazidisha moto
@SwaumuJaphary
@SwaumuJaphary 22 дня назад
Naangalia Leo taarabu pendwa 15/8/2024❤❤❤
@Dekingalba
@Dekingalba 23 дня назад
Yako mengi ya lazima ya thawabu jichumie mja kesho yakusaidie
@MuhamadiAli
@MuhamadiAli Месяц назад
Nyimbo za zamani ulikuwa unasikiliza zaid ya mara sita hujajua kilichokusudiwa na hiyo ndio maana ya tungo. Sasa mambo yote hadharani.
@MuhamadiAli
@MuhamadiAli Месяц назад
Nyimbo za zamani ulikuwa unasikiliza zaid ya mara sita hujajua kilichokusudiwa na hiyo ndio maana ya tungo. Sasa mambo yote hadharani.
@MuhamadiAli
@MuhamadiAli Месяц назад
Nyimbo za zamani ulikuwa unasikiliza zaid ya mara sita hujajua kilichokusudiwa na hiyo ndio maana ya tungo. Sasa mambo yote hadharani.
@MuhamadiAli
@MuhamadiAli Месяц назад
Nyimbo za zamani ulikuwa unasikiliza zaid ya mara sita hujajua kilichokusudiwa na hiyo ndio maana ya tungo. Sasa mambo yote hadharani.
@MuhamadiAli
@MuhamadiAli Месяц назад
Nyimbo za zamani ulikuwa unasikiliza zaid ya mara sita hujajua kilichokusudiwa na hiyo ndio maana ya tungo. Sasa mambo yote hadharani.
@MuhamadiAli
@MuhamadiAli Месяц назад
Nyimbo za zamani ulikuwa unasikiliza zaid ya mara sita hujajua kilichokusudiwa na hiyo ndio maana ya tungo. Sasa mambo yote hadharani.
@MuhamadiAli
@MuhamadiAli Месяц назад
Mungu awasamehe wazee wetu na warudi wa mola kutaka msamaha lkn watu wa zamani waliimba na watu wa leo wanakwimba. Maneno ya marehemu bikidude muimbaji hamalizi siteji.
@AliMsellem-pe3ms
@AliMsellem-pe3ms Месяц назад
Nazikubalia sana kwakweli zamani walikuwa wanaimba kweli
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi Месяц назад
Haki ya mungu hi ni taarabu asili ya ukweli. Mpangilio OOOOh unanimaliza hadi kwa damu na nafsi yangu. 🇰🇪 nikali imependeza sana
@user-ss5cf4re9x
@user-ss5cf4re9x Месяц назад
Hii ndio tarabasilia
@AllyNjimbo
@AllyNjimbo Месяц назад
Nilikuwa ikifika saa 8 naelekea chuoni nikisikia huu wimbo ninasimama mpk umalize nikfika fimbo zinaniaubiri kwa kuchelewa bby fatma iss ninkukubali
@AllyNjimbo
@AllyNjimbo Месяц назад
Ww fatma issa hauna mpinzani kwa kuomba na sauti nyororo yenye kuvutia hii nyimbo inanikumbusha mbali sn jins maadui walivokatisha ndito zangu walidiriki mpk kunilisha chura usingizini dah nilipata jabu sn kujitibu mpk kupona nilikaa kitandani si chini ya miezi 2 nakunywa maji tu na uji nikila kitu kinatoka inauma sn aduikiumbe hatari sn
@AllyNjimbo
@AllyNjimbo Месяц назад
Nakupenda sn fatma issa
@AllyNjimbo
@AllyNjimbo Месяц назад
Taarabu za saahivi nimapenzi 2 hakuna tena taarabu kbs watu walikuwa wanaimba jmn.
@AllyNjimbo
@AllyNjimbo Месяц назад
Nikweli jmn asokasoro hakuna kila aloumbwa na mueza
@AllyNjimbo
@AllyNjimbo Месяц назад
Hii nyimbo inanikumbusha mbl sn jmn
@HalimaAhmed-l4n
@HalimaAhmed-l4n Месяц назад
Hahaha kuna watu wanaumia sana nikiweka hii nyimbo yaani
@BalalayusufAli
@BalalayusufAli Месяц назад
Vya zamani kweli havirudi
@hassankitwango487
@hassankitwango487 Месяц назад
Tunaosikiliza 2024/07/17 Tujuane hapa💪✊💯🔥
@dullyplayer9444
@dullyplayer9444 2 месяца назад
Hmm, hii nyimbo hajaimba Sief salim hii ameimba said saleh himid (mbomba) ni moja kati ya nyimbo zangu pendwa allah amrehem huko alipo amsameh makosa yake 🕊️🕊️🕊️ Baba wa mama yangu ❤.
@user-su2xt6ot9c
@user-su2xt6ot9c 2 месяца назад
Can't get enough
@user-su2xt6ot9c
@user-su2xt6ot9c 2 месяца назад
Zakale dhahabu kweli
@SirHabb-qt3nt
@SirHabb-qt3nt 2 месяца назад
Old is 🪙 gold, dahhhh.. huu wimbo bwana hadi uwe na moyo ndio waeza usikiliza, bila ivyo waeza lia ❤❤moyo umefuraika 🇰🇪
@NaomiShauri-le8jx
@NaomiShauri-le8jx 2 месяца назад
Mashallah mama uko vzr
@AllyAlly-yb4pl
@AllyAlly-yb4pl 2 месяца назад
2024
@AsyaMohd-zm4mv
@AsyaMohd-zm4mv 2 месяца назад
Naipenda sana
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 3 месяца назад
aaaa iko wapi zanzibar yetu ukowapi utamaduni wetu ziko wapi silka zetu ziko wapi desturi zetu nalalia mazuri ya zanzibar tumeporwa mpaka utamaduni na umezikwa utambulisho wetu😊😊
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 3 месяца назад
BILA KUSAHAU KUWA NI HARAMU NDUGU ZANGU
@ibrahimmsabah440
@ibrahimmsabah440 3 месяца назад
Muimbaji ni mama Jabu Omar.
@ahmoha706
@ahmoha706 3 месяца назад
reminds me of my mum, died 23yrs back, was her favourite. Tangu awe wangu na mi niwe wake kiguu na njia...
@kingrichason3367
@kingrichason3367 3 месяца назад
Tunatoka mbali sana 🤣
@njingyblack4539
@njingyblack4539 3 месяца назад
2025🎉
@chicpareopareochic3720
@chicpareopareochic3720 3 месяца назад
What a good vibrations
@RahmaRamsha
@RahmaRamsha 3 месяца назад
2024Bado ipooo moto mashaallah ❤️
@SaidiAbdallah-nd2wm
@SaidiAbdallah-nd2wm 3 месяца назад
Vya kale ni dhahabu....
@SaidiAbdallah-nd2wm
@SaidiAbdallah-nd2wm 3 месяца назад
Mashallah.....
@JumaMasharubu
@JumaMasharubu 3 месяца назад
Huyu ndio kiboko
@shamsahajri8145
@shamsahajri8145 4 месяца назад
Old is Gold Salute to bi Fatma
@user-yq1pw1zw9w
@user-yq1pw1zw9w 4 месяца назад
Nisonalo kupakazwa
@user-yq1pw1zw9w
@user-yq1pw1zw9w 4 месяца назад
Kinachonipa udhia ni vile kuniapiza
@seifhafidhsuleiman3643
@seifhafidhsuleiman3643 4 месяца назад
Allah kauli thabit
@issamuhammedi
@issamuhammedi 4 месяца назад
Nasikiliza 2024 yani hizi nyimbo hazitachuja milele
@SubiraMohamedy-ev9ed
@SubiraMohamedy-ev9ed 4 месяца назад
Nmezijua nyimbo za hyu mama toka nikiwa mdogo,,nlikuwa napenda sana taarabu,kuna baba wa kipemba alikuwa anapenda sana kuzisikiliza akiwa dukan kwake,,maashallah bi fatma mpk leo namfuatilia♥️♥️
@MafundaSharifu
@MafundaSharifu 4 месяца назад
Mungu atuepushie na adui kiumbe
@AhmedYussuf-nb4du
@AhmedYussuf-nb4du 4 месяца назад
Masha Allah amakweli dafatuma issa una sauti nzuri mwenyezi akulinde na husuda
@AhmedYussuf-nb4du
@AhmedYussuf-nb4du 4 месяца назад
Kwanini na si wazanzibar tukaeka play graund song kama India nazani tuta uzamichezo yetu