Shukran sana Dada us Hindi kwa darsa lako kwani nimejifunza mengi sana kutoka kwako. Lakini samahani kwa usumbufu nahitaji kuuliza kwamba kama umefungua sehemu ya kufundishia huku kwetu tanzania ili tuweze kuja kujiendeleza kwasababu kwa Mimi natamani Sana niweze kuongea na kuandika kikorea vizuri kwahiyo kama utakuwa nayo naomba utufahamishe au kama mtu yeyote mtanzania mwenzangu anapajua mahali anapofundishia Dada ushindi atufahamishe pia tafadhali