Тёмный

[Jifunze Kikorea]Mtu ambaye ametokea Tanzania/Zawadi kutoka Tanzania/Tunda ya Korea/Crossfit 

USHINDI park
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 1,3 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@gurubitimnyaga7940
@gurubitimnyaga7940 3 года назад
Uwa nafurahi sana sana kuona lugha ya kiswahilii unavyooitangaza inapendaza sana nami napenda kujuwa kikorea sana
@sasinyasesemahimbo
@sasinyasesemahimbo 3 года назад
Safiiii saana ushindiii 💞💞🇹🇿 NAKUPENDA SAAANA
@veronicamungure1768
@veronicamungure1768 3 года назад
Asante kwa kutangaza kiswahili ushindi
@pendooscar9322
@pendooscar9322 3 года назад
Wow umechangamka ushindi uboi wala nn 😍
@priscaaron8892
@priscaaron8892 3 года назад
Dada ☺☺njia yoyote au mtu anaeweza nifundisha kikorea tafadhal nijibu chuo cha Dar es salaam wanafundisha lakini ni jumamosi tu 😭😭
@njhsgh0078
@njhsgh0078 3 года назад
asante sana ushindi. ninakutakia baraka na neema.
@misterinstitute6601
@misterinstitute6601 2 года назад
Habari Kwa majina ninaitwa Juma K Mgerwa ni Mwanafunzi wa Chuo cha usimamizi wa fedha IFM Dar es salaam,Tanzania I like to learn Korea, which materials should I used. I am Still a Beginner
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 года назад
Mashallah nakupenda
@witnessanangisye8911
@witnessanangisye8911 3 года назад
Sarange ushindi nonaaa
@swahilikoreantv1156
@swahilikoreantv1156 3 года назад
제 이름은 elisha입니다. 저는 탄자니아에서 왔습니다. 저는 한국어를 배우는 것을 정말 좋아합니다. 그래서 ushindi 선생님이 더 가르쳐 주시겠습니까?
@stevemakalicomedy5104
@stevemakalicomedy5104 3 года назад
Ushindi park Mambo Vipi
@sulemanmushi4833
@sulemanmushi4833 3 года назад
Mambo ushindi,,Nimependa sana English Yako unajua Sana English,Swahili,Korea na huyo rafiki yako ni mkorea pia naomba unielezee
@alphoncejames6702
@alphoncejames6702 3 года назад
Mamb
@oscarmvuyekule1885
@oscarmvuyekule1885 3 года назад
Nikweli kabisa, migahawa ya Tanzania wanachelewa sana, kuleta chakula pale unapokuwa umeagiza. Hawako shapu sijui kwann
@pondamoshi2034
@pondamoshi2034 3 года назад
Oooooh!
@r14kgroup68
@r14kgroup68 3 года назад
Ushindi Swahili tamu
@luckyblack158
@luckyblack158 3 года назад
Love you ushindi
@kylineropama8667
@kylineropama8667 3 года назад
Nime enjoy Noona🥰❣️
@aisha5775
@aisha5775 Год назад
Naomba namba zako za wasapu unifundishe kikolea
@pondamoshi2034
@pondamoshi2034 3 года назад
Waaaah! Maembe ni ghal sana huko
@복숭아쌤
@복숭아쌤 3 года назад
Nahuzunika sana🥲
@r14kgroup68
@r14kgroup68 3 года назад
@@복숭아쌤 tayari umekua mbongo ukija Tanzania tutembelee
@aisha5775
@aisha5775 Год назад
​@@복숭아쌤mambo
@alphoncejames6702
@alphoncejames6702 3 года назад
Hello
@linuslaurentlinus8874
@linuslaurentlinus8874 3 года назад
❤️
@juliaschaky7145
@juliaschaky7145 3 года назад
Sawa atakaribu ya kinafiki a kunakikovidi uko
@sellackmapumba2638
@sellackmapumba2638 3 года назад
Ushindi umenifanya ni-enjoy kwa kipindi kitamu
@복숭아쌤
@복숭아쌤 3 года назад
Nafurahi sana 🙏
@loisyaz9814
@loisyaz9814 3 года назад
Ushindi ni yepoye
@복숭아쌤
@복숭아쌤 3 года назад
Gomawo😍🙏
Далее
Maisha Korea kusini vs Tanzania,Mambo usiyoyajua
26:48
Tujue Hela ya Korea na Nambari za Korea
10:05
Просмотров 4,5 тыс.
Физика пасты Карбонара 🧪🔬
00:57
ДУБАЙСКАЯ ШОКОЛАДКА 🍫
00:55
Просмотров 2,1 млн
Why I'm learning Arabic
17:23
Просмотров 6 тыс.
THE BLACK SIDE OF AUSTRALIA 🇦🇺
46:17
Просмотров 78 тыс.