Ushindi anyong? Leo nimetambua kitu kipya na sikutegemea. Mimi nimekuwa nikisikia kikorea wakitamka Hanna, too, see, nikajua Hannaa ni 1, Too ni 2 na See ni 3. Kuna nyingine mnaita taso. Nisaidie kujua hizi namba ni za nini?
Wow unajua vizuri!! Katika Kikorea kuna njia mbili, Tukisoma hela na kamakawaida, tunatumia il, i, sam~ Lakini kama tukichukua picha au na kadalika tunatumia hana, dul, sed kama hivi☺️
@@user-zt1iw4bf7lau hata namba za simu Kama ikiwezekana kwasababu tunahitaji kujifunza zaidi kikorea huku kwetu tanzania tafadhali Sana mwalimu ushindi🙏🙏🙏