Тёмный
No video :(

Ngoma ya Roho - Part 2 (Bongo Movie) 

Swahiliwood
Подписаться 516 тыс.
Просмотров 275 тыс.
50% 1

Minza ni msichana mwenye miaka 18, anapenda sana kucheza ngoma na anatamani kua mcheza ngoma mkubwa kama marehemu. Mzee Mashalla baba yake mzazi. Minza anapata ujauzito wa mwalimu wake wa ngoma aitwaye Ngosha, ila mwalimu wake anaikataa mimba hiyo na anamfukuza kwenye kikundi chake cha ngoma.
Subscribe: goo.gl/cR0mA
Facebook: / swahiliwood

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 480   
@vuaipanduhaji3681
@vuaipanduhaji3681 5 лет назад
Unatakiwa uwe na akili Yaa ziada ili kuelewa malengo ya hii movie, dah! hongeren sana, Tuliyotoka machozi japo kwa kisirisiri gonga like twende sawa
@niyigenanadia4589
@niyigenanadia4589 4 года назад
Kama na wewe umeipenda iyi movie gonga like hapa tujuane
@rebekamwakatobe3803
@rebekamwakatobe3803 5 лет назад
Kiukweli Mimi Kama mtanzania,nimeikubali na kuielewa kazi hii ya watanzania wenzangu,,sio Siri movie ipo vizuri Sana👏👏
@sashah_ace8598
@sashah_ace8598 6 лет назад
❤❤❤❤wat a lovly movie i hv ever seen kumbe wachache wenu mnajua sana kuigiza uhalisia inapendeza sana wengne pumbvu zao wangeleta kingereza kingi kenge wale
@ericklucas7883
@ericklucas7883 6 лет назад
sasha gwao, kweli kabixa
@lydiamuli3328
@lydiamuli3328 4 года назад
Eti ni ma star🤭
@user-fc9cx8qg4d
@user-fc9cx8qg4d 25 дней назад
Siku hiz watu wanajua kuvaa vimini makeup kope bandia na kila kitu😂😂
@esthermakelem994
@esthermakelem994 6 лет назад
Hii ni miongoni mwa bongo movie zenye mafundisho ktk jamii, Hongereni sana wote mlioshiriki ktk kuandaa na kucheza uhusika ktk movi hii, big up to you all especially Minza!
@siprianiemasoni9403
@siprianiemasoni9403 5 лет назад
Bongo muvis
@siprianiemasoni9403
@siprianiemasoni9403 5 лет назад
Eks
@elizabethpascal2728
@elizabethpascal2728 4 года назад
Hongereni moove nzuri
@princesslupela9488
@princesslupela9488 6 лет назад
Filamu nzur sana hongera Diana kimario a.k.a minza na washirik wote kea funzo nzuri
@fatinasudi8886
@fatinasudi8886 6 лет назад
bonge la movie... ina Uhalisia wa maisha yetu ya kibongo had raha... JB upo juu pamoja na wengn wote... nawakubal sana 😘😘😘
@evelynemwakiseepe790
@evelynemwakiseepe790 6 лет назад
Dah!! Napenda sana kuangalia muvi za bongo ila hii imewazidi woteeee!! Big up kwenu... Mungu awaongezee maarifa ya kufanya nyingine nzuri zaidi mbarikiwe sana
@rashaabdullah764
@rashaabdullah764 5 лет назад
Kazi nzuri sana
@zamdasaid7248
@zamdasaid7248 2 года назад
I love you Diana❤❤❤ umejua kuitendea haki movie
@namisgiggah1571
@namisgiggah1571 6 лет назад
Film nzuri Sana tena yenye mafunzo, Kwa mwenye huruma lazima atoe machoz.
@tatumahimbo9680
@tatumahimbo9680 6 лет назад
Namis move mzuri Sana
@fatmaabdallah2769
@fatmaabdallah2769 5 лет назад
mm na lia sana imenisikitisha Sana'a nifilm INA mafunzo na INA sikitisha asanteni.
@princenthoki3507
@princenthoki3507 5 лет назад
Wah nimelia aswa yasikitisha na pia yafurahisha
@mercije1135
@mercije1135 6 лет назад
Wawe congratulations diana movie nzuli sanaaa 💋 lovely ❤️❤️😍💝
@customerservicehotelriupal8560
hongera sana sadiki kwa moyo huu Mungu akubariki sana, Pia hongera sana Diana kwa kazi nzuri hii, pongezi kwa serikari yetu
@ebengodness2684
@ebengodness2684 5 лет назад
aiese bonge moja movie imeniguasa sana
@hadijasaid9625
@hadijasaid9625 6 лет назад
Film ni Nzuri Sana inamafunzo ya kutosha
@ireneburton5671
@ireneburton5671 6 лет назад
Tunafurah kuona mmeanza kuelewa kuwa waTanzania wanahitaji maisha ya kitanzania ktk movie yan ukiona mm nmeangalia move imeisha jua nmeielewa haswaaaaa big up sana
@mariethameela5027
@mariethameela5027 5 лет назад
Sio Zileza kina sepetu hazina maana wala nin upuuzi mtupu
@gaudensiajoseph1388
@gaudensiajoseph1388 5 лет назад
Mmejitaodi sana ongezen bidii
@ashrafuhassan9933
@ashrafuhassan9933 4 года назад
upuzi mtupu
@ashrafuhassan9933
@ashrafuhassan9933 4 года назад
upuuzi mtupu
@zainabbakari3603
@zainabbakari3603 6 лет назад
Dah yaan shida za minza na bibi minza zimeniliza kwakwel hii mov inamafunzo mazur sanaaa hongeren sanaa kwa mov nzur toeni ingine kama hii
@asteriamahudi6663
@asteriamahudi6663 5 лет назад
kwakweli diana kimaro this movie is amazing sana yan ina uhalisia na mafunzo mengi sana hongera kwakweli umefanya vema mno. ila comment chache tu pale umemuacha mtoto alikuwa hajafika mwaka ila hatukuona tena maziwa yakimwagika ila all in all bonge ya movie
@princessnipher5094
@princessnipher5094 6 лет назад
Hongera Diana yan hii movie uigiza kama kwel vile,,
@charitysamwel3823
@charitysamwel3823 5 лет назад
hongereni
@rajabumasoudsalehe5613
@rajabumasoudsalehe5613 5 лет назад
Hogeleni sn hii move ni nzuri sana
@dianaroma646
@dianaroma646 3 года назад
Sasa Bonjour
@ashuramahali6643
@ashuramahali6643 5 лет назад
Jmn daaaaah sadick ulitia huruma mpk nimetoa choz nkajua upo peke ako daaaa mpk choz
@benithajacob6996
@benithajacob6996 5 лет назад
Kiukweli yaani ,,,,, hii mmefanya kitu hongereni na MUNGU awabarki sana
@lucylucas4349
@lucylucas4349 6 лет назад
Movie nzuri sana nimeipenda ukweli inafundisha inafaa kwa jamii japo imenitoa machozi!! Hongereni sana washiriki
@maggiemwambapa900
@maggiemwambapa900 6 лет назад
Daah nzuri sanaa inamafunzo bigup wahusika wote mlioshiriki humu👏👏👏.
@manniermkambe6184
@manniermkambe6184 5 лет назад
Big up sana Daina na mamako na wote walioshiriki movie yaan mmeweza movie nikama izi zenye mafunzo ya kijamii ingawa imenitoa machoz sana.😘😘😘😘.nani amelia kama mm agonge like apa
@siahshoo2340
@siahshoo2340 6 лет назад
Hongeren kwa kz nzuri wahucka mmevaa uhusika waoo vizur ila kunamuhucka m1 hatukujua ameishia wape ngosha
@helenimani9523
@helenimani9523 5 лет назад
kali sana kaz nzur uncle jb 😘😘
@jonhbavuma576
@jonhbavuma576 5 лет назад
Safi sana mama j nmependa mafunzo yako Kwa mlez wa mwanao, lakn minza na wengine mmeweza kuact kulngana na mazngla, mungu awaongoze elimu kama hz mziendeleze.
@wardamzuka3997
@wardamzuka3997 3 года назад
@Zainabu Shabani 🤣🤣🤣🤣
@nyikarappa8604
@nyikarappa8604 6 лет назад
ngoma ya loho nimeelewa sana ty asaivi tuko juuuuuuuuuuuuu@nyikarappa
@chantalshimi9619
@chantalshimi9619 6 лет назад
Movie nzuri sana jamani . Nimefurahi sana 👌👌👌👏👏👏👏👏
@debymasery4007
@debymasery4007 6 лет назад
mwenyenz mungu awasaidie muendelee kutoa movie nzur zaid ya hii hii movie inafundisha sanaa
@sakinajuma303
@sakinajuma303 6 лет назад
Movie n nzurii mnoo hongera xn washirikii ila minzaaa upo juuuuuuuuu.....nakpendaga bureeeee
@alikomwakipesile1404
@alikomwakipesile1404 5 лет назад
Mmejitahidi mpo vizur muv nzur
@singidasweetheartcutezey4829
@singidasweetheartcutezey4829 5 лет назад
Wenye mioyo ya upendo na huruma tushalia sadick alivyopand tu jukwaan peke yake nimelia mpk mume ananiita chizi
@lydiamuli3328
@lydiamuli3328 4 года назад
Wow! Frm part one to two the mpvie is sooo good and inresting😁how i love the way.Menza dance the ngoma😃hongereni washiriki wote mko vizuri na mumetufunza mengi🙏🙏
@beatricemwajuma5136
@beatricemwajuma5136 6 лет назад
Minza unajuwakucheza ila umekosea kumohacha mtoto akiwa mdogo sana but pole sana mama jay na rafiki yako sadicki watakukumbuka sana nawapenda nyote na minapenda movie yenu imenigusa mubarikiwe nyote ❤❤❤❤❤😍😊😭😭❤❤
@enockmtenga8208
@enockmtenga8208 5 лет назад
Nakupenda xana minza upon vizuri
@mariyaal5366
@mariyaal5366 6 лет назад
Muvi nzur sana ila na ina mafundisho hadi chozi limenitoka hongeren wote mloshiriki
@mwamvuandangwa5352
@mwamvuandangwa5352 6 лет назад
nimelia San jmn BG up
@annen3923
@annen3923 6 лет назад
Aisee mmetisha. movie nzuri Sana nimeipenda. hongera kwa wote
@rocktv6197
@rocktv6197 6 лет назад
nmeielewa sana hii filamu na pia nimeipenda 👏👏👏👏hongera JB na timu yako nzima ila pia nina maoni kutokana na nnacho jifunza kutoka sehem mbali mbali na nilicho kiona naomba awepo director of continuity nmeona kuna mambo yamefutika haraka kama minza kusumbuliwa na maziwa lakin baadae haijaonekana ni tatizo tena kwake uenda hapo ndo utamu filamu ungezidi zaidi ya hapa na pia eneo lingine ni pale sadick anasema lolote linawezekana ngoja tuone kesho af scene iliofuata inaonesha ni mwaka mmoja baadae , ni hayo tu kwa upande wangu.HONGERA SANA WAANDAAJI. PUSH TO THE LIMIT
@AidahMarashi
@AidahMarashi 6 месяцев назад
Mmeweza hadi Mmewwza tena minzaa❤❤❤
@helienuharoun2731
@helienuharoun2731 6 лет назад
Hii movie amsha nimeipenda sana inafundisha inamadili ya kiafrica.
@vivianabraham3200
@vivianabraham3200 4 года назад
Nzuri Sana'a yani mmetengeneza kitu tofauti sio tumezoea akaendq mjini akawa Malaya au akapata bwana tajir hii IPO tofauti na yakufundisha
@muniramsati5345
@muniramsati5345 4 года назад
Jamanii movie nzurii sana wote mmejua kuitendea haki ilaa sadiq umeniliza aisee😭
@sabrjem8946
@sabrjem8946 6 лет назад
Nzuri sanaaaaaaaaaa nimeipenda na inamafunzoo maxuri ndani yake
@linrosa8863
@linrosa8863 6 лет назад
Fantastic film... inaelimisha na hadithi nzuri sana sana. Actors woteee 👌👌👌👏👏👏👏 1st class. Waigizaji na watengenezaji wa hii movie, najivunia kua ni wa kwetu. Well done. Excellent story pia. Sadik na Minza 😍😍👌. .. mama na ma mdogo 😢😢😍😍💖💕💕 Nimelia na kucheka... Hata mume wangu kaangalia na mimi hadi mwisho... Sio kawaida yake 😆😆😊
@fredomutiti6987
@fredomutiti6987 5 лет назад
i like the movie haswa minza na sadick all of you have made my year
@swahiliwood
@swahiliwood 5 лет назад
Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu
@salummohamed4975
@salummohamed4975 6 лет назад
minza shikamooo so kwa kupenda ngoma huko
@moudjunior3458
@moudjunior3458 6 лет назад
hapa unajifunza kitu kikubwa sana "the strongest man in the world is he who stand alone" ikiwa na maana mtu shupavu katika hii dunia ni yule anaye shikilia msimamo wake bila kujali watu wanampinga vipi👏👏
@h.andayi8907
@h.andayi8907 5 лет назад
😇👌💪👍
@gladchitungo8358
@gladchitungo8358 4 года назад
💪💪
@rehemasadick2685
@rehemasadick2685 5 лет назад
Movie nzr big up kwen!! Manzi/ Diana kimario umenkmbusha mbali xana kisha umenitia nguv yakuendelea kupamban umeigza maisha halis niliyoptia.. Tumetofautiana kwnye mapenz ya ngoma. Axnt kwa ujumbe mzur
@khadijashibani5233
@khadijashibani5233 5 лет назад
Minza sio kwa miuno hiyo shosti 😂hongelen sana😍😍
@rafikarifaxani4483
@rafikarifaxani4483 5 лет назад
Diana kasahau kabisaaaa km kaaach mtt jamn nimelia mie mbembeleza mtt kaniliza
@ratifamwarami3045
@ratifamwarami3045 6 лет назад
my minza umekubali kumuacha kwajili UA ngoma ila IPO vzl sana
@sharifahmed6108
@sharifahmed6108 5 лет назад
movie nzury sanaaaa inayofundisha somo muhimu sanaaa katika maisha ya leo tunawashkuru na twatarajia movie nyingine nzury zaidi ya hii
@khadijaakram916
@khadijaakram916 6 лет назад
anapenda ngoma had huruma dooh😀
@yasintaswahasni4747
@yasintaswahasni4747 5 лет назад
Mashaallah Muvi ni nzur sana
@dechaggagirl1614
@dechaggagirl1614 4 года назад
Jmn namiss maisha ya home one day yes in shaa Allah
@neykapoor5871
@neykapoor5871 2 года назад
Jamani waandishi wa tamthilia riwaya na ushairi tupo hapa lakini support hamna🥱🥱🥱
@aishermussah2071
@aishermussah2071 5 лет назад
safii Sana'a Diana & tea mmevaa uhusikaa movie nzuriii......inaelimishaaa
@esterlyova3203
@esterlyova3203 6 лет назад
mmh minza sio kwa kujilamba huko😂😂😂ndio tamu sana au
@joycekasakisya3453
@joycekasakisya3453 6 лет назад
Ester Lyova nakwambia adi nimecheka, maana sio kwa kujilamba kule
@tausak4568
@tausak4568 6 лет назад
Sadiki ongera snaaa kwa bidihi yako huku kata tamaha 😍😍😍🙏🙏🙏 minza Asante Asante 😂😍😍😍😍😍😍🔥🔥🔥😭
@donathasimon9292
@donathasimon9292 6 лет назад
Diana wee ni noma Dada Thea ndo balaa sadick big up hakika mmeweza
@geraldgodfrey3680
@geraldgodfrey3680 6 лет назад
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘,ni nzuuuri saaana muwege mnatoa kama hizii jamaaani
@sizyarajab7627
@sizyarajab7627 6 лет назад
ni nzuri sana
@johnsmmosh8906
@johnsmmosh8906 5 лет назад
Ni kweli kbs
@salmanurein6628
@salmanurein6628 5 лет назад
Wow movie iko smart sana hta upande wa sauti pia haina kasoro mashallah nmependeza +254
@jovindennis3031
@jovindennis3031 6 лет назад
daaah nmetoa choz. mdogoake minza anajua sana kuigiza
@teclaadam3479
@teclaadam3479 3 года назад
Hongereni sana muvi nzuri sana
@beatricemwajuma5136
@beatricemwajuma5136 6 лет назад
Oh my God i really love this movie ❤❤❤❤😘😭
@Drtonysheltone
@Drtonysheltone 5 лет назад
nzuri sana,mama nibebe my long time song,love it sana
@uhktymohamed6526
@uhktymohamed6526 6 лет назад
special thx for all character for the best movie 🙏🙏🙏
@tinakisubi6215
@tinakisubi6215 6 лет назад
Aww aijaniacha salama hii movie ongereni sanaaaa💗💗😘😘😘😘😘😘
@newmelody4189
@newmelody4189 6 лет назад
Jameni nzuri sana mtume zingine 😍😍😍😍
@patrickmwaniki1943
@patrickmwaniki1943 4 года назад
Manze hii movie iko top mbaiya
@asmaafamau5139
@asmaafamau5139 6 лет назад
Movie nzuri hongereni ina mafundisho pia sauti ipo sawa
@happytungibulenya3707
@happytungibulenya3707 6 лет назад
move nzur xn mdada,,, pia infundisha na kusikitisha xna ,,, hongera
@sadasherif136
@sadasherif136 6 лет назад
i wish sadick na minza wangeowana tu. movie nzuri mno
@nawal01
@nawal01 6 лет назад
sada sherif😂😂
@neemajilo4012
@neemajilo4012 6 лет назад
Hongera kwa washiriki wote
@neemamushi8113
@neemamushi8113 6 лет назад
hongera movie picha nzuri sana
@wasatojames3188
@wasatojames3188 6 лет назад
Nice,,move nzur, tamu na unafundisha hongeren sana
@officiallycyra6944
@officiallycyra6944 5 лет назад
Move nzuri imeniliza nakupenda Mama yangu
@iddywalocation1030
@iddywalocation1030 6 лет назад
Napenda nanin jickia furaha Sana kuona mnaigiza uharisia wakitanzania Au maisha yaliyopo tubadilike jamani move zakwenye majumba makubwa namagari wameshagacheza Wakina Kanumba Wakamaliza au zautana shati Wameshaacheza wakina Hemedi wakamaliza sasa nikutafuta mtoko wako big up Sana kwawoteeeeee mlio cheza movie hii Huwa sikomenti ila leo imenibidi
@latifaramadhani6566
@latifaramadhani6566 6 лет назад
Very nice imenifundisha pia nawakubali Sana
@fortunatemathiasbarabara3686
@fortunatemathiasbarabara3686 6 лет назад
nimejikuta nikipenda move za bongo tena mmevaa uhusika wote hongera zenu hasa kwako mwana kimaro
@mariamnzengula7719
@mariamnzengula7719 6 лет назад
saf san
@elviramboje2491
@elviramboje2491 6 лет назад
maisha ya sadick na minza n mwaaaaaa
@emmanuelhadson5763
@emmanuelhadson5763 6 лет назад
filam inafundisha inajenga inarekebisha hongera waandaaji
@zevoicemedia6292
@zevoicemedia6292 4 года назад
nzuri sana hadi raha
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 6 лет назад
Bonge la muvi,Ahsanteee sanaaaa.Sasa mmekua waelewa,mnajitahidi sanaaa
@carrenkapia3921
@carrenkapia3921 6 лет назад
Khadija Juma haaah haaah et waelewa! Nmependa comment yako
@ramadhanikibenga6317
@ramadhanikibenga6317 4 года назад
Safi sana aisee kumbe mnaweza sana wabongo Tea, Minza, Sadick na wote hongera sana sana aisee
@josephineuwase8485
@josephineuwase8485 5 лет назад
Wow nice move naipenda sana mutupatie angine kama iyi
@swahiliwood
@swahiliwood 5 лет назад
Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu
@mariamothman579
@mariamothman579 6 лет назад
ni filamu nzuri sanaa wangekuwa wanafata kama hivyo mmejitaidi hadi mwisho tumeelewa tofauti movie nyingine zinaishia kati hii hadi mwisho mmejitaidi Sanaa minza nakupendafa sanaa we mdada big up na Sadiki 👏
@rebeccasenga4859
@rebeccasenga4859 6 лет назад
Movie zuri Asante sana
@gretamaheri9035
@gretamaheri9035 6 лет назад
nzuri sana, inasikitisha pia inafunza hongeren,
@amneynuhu7462
@amneynuhu7462 4 года назад
Nice ending big up for all crew
@jaqlinemtilenandy
@jaqlinemtilenandy 5 лет назад
Yani hii muv n hatariiii nzur sana!!
@swahiliwood
@swahiliwood 5 лет назад
Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu
@fei3668
@fei3668 6 лет назад
Waoh wamejitahid sana kwenye uhalisia nimeipenda movie kwakwel bigup
@saidabdullah7273
@saidabdullah7273 4 года назад
Yaani huchoki kuiangalia hongereni washiriki wote
@rabiaungando7487
@rabiaungando7487 2 года назад
Bongo tunaikutaji sana dayana kimaro 🙏
@pheonerjanet543
@pheonerjanet543 6 лет назад
wow wow may God bless you all in a mighty way in Jesus name
@gumatohuka8827
@gumatohuka8827 4 года назад
Mardadi sana. Ahsante.
@ayshamanjonjo1227
@ayshamanjonjo1227 6 лет назад
nmempenda mama jay
@agnesspaul2732
@agnesspaul2732 5 лет назад
duuh movie tamu lakin lazm choz litoke,,, love you moo Diana you make it ,,,congrats to oll who participated in this movie Mungu azid kuwabariki
@aminaabdiabdi7112
@aminaabdiabdi7112 5 лет назад
Woow amazing movie
@rechokatani2892
@rechokatani2892 5 лет назад
Safi san my sister Diana mungu akuzidishie ujuzi nimeipenda hii inafundisha
@chuchudodo8315
@chuchudodo8315 Год назад
Nzurii mno🥰🥰
@hawaambarimtoro611
@hawaambarimtoro611 6 лет назад
Asante kwa ujumbe mzuri
@subbiemwaisela6835
@subbiemwaisela6835 6 лет назад
congrats to our Tanzanian actors
@Marzzzzzz20
@Marzzzzzz20 5 лет назад
Wow! Ndumbagwe misayo, Diana kimari kazi nzuri jmni!
@singidasweetheartcutezey4829
@singidasweetheartcutezey4829 5 лет назад
Kila nilichojifunza hapa ntasema, naanzasasa 1, ukiwa na roho mbaya hufanikiwi ona minza katoa pesa yake yote kamtoa sadick bila kujal chchte kwa muda huo
@onesterkabuti1103
@onesterkabuti1103 4 года назад
Nimeipenda sana
Далее
Mgeni Wa Ajabu | Free Full Bongo Movie
1:27:26
Просмотров 108 тыс.
Poa Mambo Bado (More Time Swahili)
1:26:40
Просмотров 406 тыс.
Средневековый киборг
00:39
Просмотров 504 тыс.
I Know You Part 1 ( Hemed Suleiman &Yusuf Mlela)
1:45:47
Просмотров 204 тыс.
Mdundiko kaya asili
0:31
Просмотров 4 тыс.
MSHANGAzI (1) #sarahmashy #kapera
15:09
Просмотров 136 тыс.
DALADALA 01
19:58
Просмотров 190 тыс.
Chumo (Swahili with English Subtitles) - 2011
44:51
Просмотров 469 тыс.
Neria (Swahili Version)
1:37:38
Просмотров 418 тыс.